Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Mkuu Mimi Ni mwanafuzi mnufaika wa HESLB, kumbe wanakata bila huruma?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk

Mkuu ulidhani hawakati [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
.. Meanwhile wakati mkilalama kuhusu hicho kidogo mnachopata kuna mshenzi mmona anayelala juu ya mawe anaumia roho sana kuona jinsi serekale inavyotenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuwalipa mishahara watumishi.




Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka ujibiwe nini kwa komenti hii!!? Nafikiri wewe ni mshenzi zaidi yake.
 
Duh ila income tax kubwa [emoji119]. Bora niuze viatu na pochi insta silipi kodi.mzigo nakaa nao nyumbani. Hapo ni sawa unamfanyia kazi mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.
Income tax na loan board..

Baba yetu alegeze hapo tu..

HESLB irudi 8%

Income afanye kama Kenya.
 
Nenda Kenya
Rudi kwenu.
 
13 now
.. Ni aibu.

Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.

Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Kwahyo hapo ukilipwa hyo hela hakuna hela nyingine unayopokea kutoka serikalini?
Posho labda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Asante Mungu kwa baraka zako ulizonipatia na usinipe kiburi cha kusahau fadhila zako na uwakumbuke waja wako wapitiao madhila mbali mbali.
 
Asante Mungu kwa baraka zako ulizonipatia na usinipe kiburi cha kusahau fadhila zako na uwakumbuke waja wako wapitiao madhila mbali mbali.
Ahsante kaka. Tuombeane na Mungu akubariki.
 
Ni Mwalimu nani huyo naomba kumjua, pengine huku mtaani anakula raha
 
Shukuru Mungu kila mwezi una uhakika wa hicho kiasi cha pesa.

Kuna watu hawana uhakika wa kula, kuna watu wamehitimu chuo 2011 hadi leo 2020 hawana ajira.

Mshukuru Mungu kwa hapo ulipo.
Walimu wa mwisho kuajiriwa wote ni waliohitimu 2014..
Kuanzia 2015 Serikali imekua ikiajiri kwa mafungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…