Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Huu upuuzi usijaribu kuufanya Tena. Ukiwa masikini hupaswi kumsaidia mwenzako utajikuta unakua masikini zaidi na hakuna tija ya utakachokua unakifanya. Surcrifice hao wengine, pambana ujenge kesho njema ili uje usaidie watu effectively.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha magumu Ni kwako tu. Njiani hiku napishana na watu wamenona balaaaah.
Mijini na vijijini watu wanajenga nyumba nzuri za kisasa.

Instagram ladies wote wanaonekana maisha wameyapatia. Sionagi sura inayolala njaa kule

Mtaani napishana na ndiga kali kanoma . Waliomo ndani wote Wana vitambi .

Kumbi zote za starehe daily zimejaa . Washua na walala hoi ni kula bata kwa kwenda mbele

Makanisani na misikitini sadaka zinatolewa daily. Sadaka ya kujimaliza, kikumi, ya maendeleo, mavuno na malimbuko zote wanatoa.

English medium school zote zimejaa watoto. Wote wanalipa mamilioni na usafiri unakua covered

Chuoni vijana wote mambo Safi. Wote wanaonekana wakishua.


Sasa hapa utanishawishi vipi eti maisha Ni magumu????


Fungua macho sister
Fanya maamzi magumu, ondoa limitations zako na uchukue hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisomeshwa kwa HESLB nikapata kazi , baada ya ongezeko la makato ya Bodi ya mkopo niliacha kazi ..Bora nipambane kimpango wangu kuliko kunyonywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha unatakiwa utumie akili kubwa kuishi kwenye ajira,ila kuwepo kwenye ajira ni security kubwa ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ahahaaa....kazi kweli kweli

Security kivip mkuu wakati

-you are taxed when you earn Tena kabla hujaupokea mshahara wako
-you are taxed when you pay or you buy something
-Na ukistaafu vilevile you are taxed.

Kwakifupi kuwepo Kwenye ajira ni utumwa na ugonjwa mkubwa sana....na wengi hujuta na kuugua adi kufa kabla ya sku zao wakati wakistaafu.
 
Mnalipa gharama za usaliti kwa Taifa, mlipolipitisha lile taahira mlifikri mtapona? Tena hata hayo makato hayatoshi, waongeze bwana ili pesa yetu irudi haraka! Watumishi wa umma huwa hamjielewi!
 
Baadhi ya watu wanaamini kwamba serikali ni solution ya matatizo yao...

Kuna msemo mmoja uliwai semwa na rais mmoja hv...
" Government is not solution to your problems, government is a problem..."

Hivi Kama serikali inakujali ww mtumishi wa uma,embu jiulize hv...

- kabla hujapokea pesa yako na kupanga matumizi yako,serikali inachukua kodi yao tena kwa base ileile.(haikwepeki hii)

-afu tena apo apo ukipokea mshahara wako ukataka ukanunu kitu kuna Kodi unakutana nayo,unalipa haikwepeki.

-pia ukitaka ukasave vichenji vilivyobakia bank kule nako kuna Kodi,unalipia.

Bado apo Kwenye kustaafu hawajachukua chao.

Unajikuta maisha yako yote adi inaingia kaburini unaitumikia serikali....na wanakuacha choka mbaya.

Embu mfikirie mfanya biashara anavyoenjoy life.

-kodi yake anakatwa baada ya kujilipa yy kwanza na kufanya gharama zake...ile faida inayobaki ndo anaenda chargiwa kodi.
Na apo endapo atapata hasara anasamehewa Kodi, apa wengi wajanja wanaojua kucheza laugh game ndo wanaenjoy.

-serikali ikipandisha Kodi na hao wanapandsha Bei vitu kulingana na gharama walizo nunua hvyo vtu (they only focus on their profite),so apa anae umia ni final consumer ambaye huyo mtumishi wa serikali na watu wengne

-Akitaka kusave pesa yake huwa anaangalia upande wa assets zake (anafanya investment)

Lakini upande huu una risks sana ambao sio kila mmoja anaweza kuzimanage...it needs the right knowledge unless utumie ndumba ambapo si nzuri kwa uhai wako.
 
Laki nne take home huwezi ishi mjini tusitaniane!!
 
Kwani wewe ulitaka usikatwe deni lako? Ulipata elimu ya juu kwa mkopo, bank pia ulikopa kwa hiari yako, other taxes ni kawaida.

Sioni rais anaingiaje kwenye issues zako personal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaaahaa...hata sio walimu tu, mi ofisini kwetu, staff kibao ( hasa hawa wenye umri mkubwa ) wamechukua mikopo mizito mizito wameenda kujenga vijumba, karibia wote maana wanaigana balaa..

Kimbembe mwisho wa mwezi kupokea laki ya saccos, usiombe wana stress hao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niko ofisni sasa hivi watumishi wenzangu wanalalamika hapa hatari kweli mkuu asikie kilio cha watu hawa
 
Boss nipe ajira hapo rangitatu.
 
Tuwe wakweli mishahara serikalini ni midogo,just imagine graduate mzima baada ya kukaa miaka chungu nzima darasani na msoto wrote ule anakuja kulipwa chini ya million mmoja! Kweli?
point
 
Umejaribu kujiuliza sababu za maana zinazoweza kuwa zimepelekea yeye kukopa au umewazia ununuzi wa Noah tu?
Hata kama atakuwa amejenga gorofa,malalamiko ameyaleta hapa ya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…