Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Duh...... Comparison ya mtumishi wa Uma na mama muuza machungwa

Kweli watumishi wana kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Inaonekana wewe Ni wakala wa biashara haramu za binadamu! Uarabuni tunakopajua ndugu zetu wanapofika wananyanganywa passports na simu na kunyanyaswa Hadi kuuwawa, Leo wewe upo upande wao?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Kwa hiyo kuwa kwangu na information za mambo hayo ndio kunapelekea kukufanya unituhumu hilo?

Halafu hoja yako si ilikuwa mie ni mwongo kuzungumzia mshahara wa laki 8 kwa mfanya kazi wa ndani uarabuni? Au umejiona sasa wewe ndio mwongo?

Kisha hiyo kazi/biashara ni biashara halali. Ukiona ni haramu, nenda kawalaumu serikali za Afrika ikiwemo Kenya wanaosapoti watu wakapige kazi huko Uarabuni.

We endelea kupiga kazi hapa hapa Tz upate laki 4, utachomoka tu kimaisha. Na pia ajiri mtumishi wa ndani umlipe 40,000 kwa mwezi.
 
Mkuu Inaonekana wewe Ni wakala wa biashara haramu za binadamu! Uarabuni tunakopajua ndugu zetu wanapofika wananyanganywa passports na simu na kunyanyaswa Hadi kuuwawa, Leo wewe upo upande wao?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Unajifanya kuiita biashara haramu wakati ukipata channel utatukimvia ukakusanye milioni 4 huko kila mwezi.

Biashara za unga ambazo ndio haramu mwafanya vizuri na wala hamnufaiki, mapapa ndio wananufaika.
 
Huelewi chochote kuhusu promotions na hali za watumishi kama elimu siko uliko wekeza maisha yako.
Unadhani kwa nini Rais analipwa zaidi ya mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo unayoyafikiria ndio unayoyafanya wewe,kwanini kukopa kwake haufikirii anaweza akanunua kiwanja? au shamba? au akamsomesha mdogo wake? unakimbilia kumhukum eti amenunua mara gari,au anatumia pesa vibaya kwa kula launch ya 7000,au breakfast ya 3000.

Sikiliza wewe kinachomuumiza mtumishi ni kuwa na chanzo kimoja tu ambapo anatrgemea mshahara kwa siku 30.Mm ni mtumishi mshahara unategemewa kuwasomesha wadogo zako,kuwasomesha wanao,kutoa sadaka,kuwatunza wazazi wako,kutunza familia yako,unatakiwa siku ya siku uishi kwako kwa maana lazima ujenge, ununue kiwanja, hivi huo mshahara utatosha nini?

Kwanini unafikiri walimu walikuwa wanaililia serikali kuwa iwalipe alawances? Ukiangalia police wanalipwa,wanajeshi wanalipwa,madaktari wanalipwa,manerse wanalipwa, lakini waalimu wanaofanya kazi ya kuwatengenezea wataalam hawalipwi.

Unasema suala la kukopa kufanya biashara hivi mda huo wa kusimamia biashara unapatikana wapi? Au mwalimu asiwafundishe vizuri watoto wenu aende kusimamia biashara? Lazima tukae tufikirie namna ya mambo yanavyotakiwa kuwa lasivyo tutaendelea kuwalaumu waalim pasipo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini azae watoto 4 wakati hana kipato cha kuwa accommodate ? Huoni kama ni tatizo hilo ?
Hii mada mpya ndani ya mada mnaitoa wapi!??

Jamani kuna nini

!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…