Maisha ya ndoa

Maisha ya ndoa

Wengi hatuna elimu ya ndoa thus tunaingia kwenye ndoa baada ya uteja wa mapenzi.
Ila lazima mchunguzane huliza wale walio oa na kuwafanya wapenzi wao kuwa marafiki kama ndoa wanaiona ngumu
 
Ninyi ndio mnao Watisha vijana wasio kwa kuwapa picha mbaya juu ya ndoa japo ndio kuna ndoa ngumu kutokana kila mtu ana tabia yake pia kwenye mahusiano kabla ya ndoa kuna kuwa na maigizo ila wapeni vijana picha nzuri juu ya ndoa
Sio kwamba tunawatisha ndoa sio lele mama you need to be strong mentally and physically.
 
Maji ukivua nguo sherti uoge sasa unapooga pale ndio unapata kujua yana radha gan ukishapoza upwiru baada ya wiki kadhaa ndio utaelewa vizuri
✍️
Ahahahah acha kunitisha mzee mimi naamini kila kitu ni kuelewana na jinsi bond yenu mlivyo jiwekea kama ukilazimishwa kuao.labda
 
Sio kwamba tunawatisha ndoa sio lele mama you need to be strong mentally and physically.
Ni kweli ndio maana tunasema mwanaume ni kiongozi wa familia akikosea yeye kaivuruga familia ila pia mwanamke pia nae ni kiongozi pia kwahiyo pindi watu hawa wakishindwa kuelewana ndoa ndio inakuwa cchungu mwisho familia inabomoka kutengeneza familia bora inahitajila akili sana na maamuzi magumu
 
Hellow

Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili

Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni mwanaume kutokana a jamii ilivyo mshape na kuonekana kuwa ndio final say au mtoaji maamuzi kwenye familia na pia ni kiongozi wa familia kuna muda mwanaume anakosea au mkewe anaweza kuona kuwa hapa mumewe anaingia chaka anaona madhara mbeleni anapojaribu kutoa ushauri na mwanaume anachukulia ushauri ule nikama amedharuliwa kuwa hana akili anakuwa mkali sana na ndipo tatizo linazaliwa.

Mwanamke anaona yeye hana humuhimu kwenye kufanya maamuzi kwa upande wa familia na matokeo yanapokuja kuwa mazuri mwanaume anavimba kichwa kuwa ameweza ila yanapokuja kuwa mabaya anakuwa mnyonge na pindi mkewe anapojaribu sasa kumfikirisha lile wazo alilo lipendekeza mwanaume huyo anaweza kuwa mkali maradufu sana.

Kwa upande wa mwanamke mwanamke jamii imemtengeneza kuwa mnyonge kwa mwanaume kwahiyo kuna muda huwa anakosea sana lakini mwanaume anapo jarib kumshiirikisha mkewe mke anajiona aanaonewa kwasababu yeye mwanamke na kuamua kwenda kusema nje ya ndoa kuwa ananyanyaswa na mumewe.

Lakini pia mwanamke yeye ameandaliwa kuwa mlezi wa familia kwahiyo inapokuja swala la malezi ya watoto na familia kwa ujumla inapoonekana kuwa mtoto amekengeuka lawama zinaenda kwakwe na baba kujitoa kwe ye janga ilo ila ukweli ni kwamba jukumua la malezi kwa watoto no la wawili mke na mume kuwashape watoto wao vile wao wanatka nakutengeneza rules ambazo ni relevant kwenye malezi ya watoto.

Mwisho hakuna njia sahihi ya kutumia ili ndoa yako iwe na amani ilaamfanye mkeo au mumeo wale rafiki yako maisha ya ndoa utayafurahia ugali kwenye ndoa hausaidi chochote.
Tatizo mnatishana saaaana,ktk kipindi nainjoi ktk maisha yangu no hiki nilichopo kwenye ndoa yaan nna mtu special ambae ndio kila kitu kwangu,nna ubavu wa kuegemea nikiwa na magumu,nna msiri wangu anaeweza kunikamua jipu kwenye kidu# nna mtu ambae anajifanya najitutumua kila nipitapo,nna mtu ambae nikiamka nakuta kaniwekea hela nitumie nnavotaka,aiiiiii.....ndoa ni furaha jmn,upweke inawafanya mtuonee wivu wanandoa mnajifariji kwa kutolea mifano ya walioshindwa,katika vitu Mungu kanipendelea no kunipa huyu Kaka,kukosana kupo lkn upendo hauhesabu mabaya!!! Ndoa Tam Sana bhana,nasikia Raha kuona nna watt watatu wa baba mmoja,Kuna Raha yake!!!
Mke jifunze kumtii mmeo ambae Yesu anamuita kichwa Cha kanisa nawe mke mtii mmeo,mtainjoiiiiii......ombeaneni,sameheaneni,jishusheni!!!!
 
Hongera sana wengi wanatishwa kwa wale walioshindwa na ndoa
 
Ndoa ni photocopy jinsi kila mmoja alivyomuona baba na mama yake walivyoishi,so usioe bila kuchunguza asili yao.
Hapa nakaziaaaa,mama yangu alikuwa anamheshim Sana baba yangu,nami nimeiga lkn rfk yngu mama yake alikuwa anamdharau baba take nae kaiga anamdharau mmewe,Sasa mmewe mnyakyusa jmn anapigwaaa mpk KERO Ila yule dada kujirekebisha kashindwa kbisa
 
Kama wewe ni mwanaume unataka kuoa , oa mwanamke kwa kuangalia sana maisha ya kwao waliishije mama yake na baba yake pia angalia sana tabia za mama yake na kama huyo binti anampenda baba yake au laha..!.

Kama mama yake ni mbovu ,kama misingi ya familia anayotokea ni hovyo na kama binti anamchukia sana baba yake ndugu yangu umehangamia..

Kwa wanawake hivyo hivyo .. watoto wa kiume wanacopy kwa baba zao jinsi ya kuishi na wake zao ila tunaboresha kidogo tuu, pia angalia kama kijana anampenda mama yake na wewe mpende mama wa kijana utaenjoy sana..ila kama kijana anamchukia sana mama yake, baba yake mlevi ,anapiga hovyo mama yake, muhuni muhuni aisee. Binti umepotea..

WAZEE WANASEMAGA MAJI HUFATA MKONDO WAKE, HII KAULI IPO WAZI SANA KAMA SIO LEO BASI NI KESHO

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ili ndoa iwe nuepes mwanamke hatakiwi kuwa jeur na mdomo mdomo mwng, hapo watu wanahesabu miaka labda mwanaume awe punguani sana
 
Kama wewe ni mwanaume unataka kuoa , oa mwanamke kwa kuangalia sana maisha ya kwao waliishije mama yake na baba yake pia angalia sana tabia za mama yake na kama huyo binti anampenda baba yake au laha..!.

Kama mama yake ni mbovu ,kama misingi ya familia anayotokea ni hovyo na kama binti anamchukia sana baba yake ndugu yangu umehangamia..

Kwa wanawake hivyo hivyo .. watoto wa kiume wanacopy kwa baba zao jinsi ya kuishi na wake zao ila tunaboresha kidogo tuu, pia angalia kama kijana anampenda mama yake na wewe mpende mama wa kijana utaenjoy sana..ila kama kijana anamchukia sana mama yake, baba yake mlevi ,anapiga hovyo mama yake, muhuni muhuni aisee. Binti umepotea..

WAZEE WANASEMAGA MAJI HUFATA MKONDO WAKE, HII KAULI IPO WAZI SANA KAMA SIO LEO BASI NI KESHO

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ilo sikupingi hata kidogo
 
Back
Top Bottom