Kama wewe ni mwanaume unataka kuoa , oa mwanamke kwa kuangalia sana maisha ya kwao waliishije mama yake na baba yake pia angalia sana tabia za mama yake na kama huyo binti anampenda baba yake au laha..!.
Kama mama yake ni mbovu ,kama misingi ya familia anayotokea ni hovyo na kama binti anamchukia sana baba yake ndugu yangu umehangamia..
Kwa wanawake hivyo hivyo .. watoto wa kiume wanacopy kwa baba zao jinsi ya kuishi na wake zao ila tunaboresha kidogo tuu, pia angalia kama kijana anampenda mama yake na wewe mpende mama wa kijana utaenjoy sana..ila kama kijana anamchukia sana mama yake, baba yake mlevi ,anapiga hovyo mama yake, muhuni muhuni aisee. Binti umepotea..
WAZEE WANASEMAGA MAJI HUFATA MKONDO WAKE, HII KAULI IPO WAZI SANA KAMA SIO LEO BASI NI KESHO
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app