Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Watu wapo Kariakoo wanabishana na watu waliokuwa huko Abbottabad, wanaita movie za Hollywood... Wanaamini Intelijensia ya kwenye Kahawa zaidi ya reality...Mkuu we Acha tu! Hawa jamaa ni mapoyoyo sn!
Wake za Osama wamethibitisha mume wao kauwawa! Alafu eti wanabisha tu! Nimefatilia Hii mada kila post nimeona kuna shida sn kwa hawa watu na story zao za kwenye kahawa!
Waendelee kubisha mpk leo tuwape fact zingine km wanataka!
Hao watu waliomba tume ya Kimahakama iundwe kwanza ndio waweze kuitoa hiyo Video, Yamkini labda baada ya ombi lao kutotekelezwa ndio maana wameamua kutoitoa...kuna watu wanadai wana video za tukio lakini hawataki kuzitoa sijui tuwaeleweje.
hapana asingefikisha miaka hiyo, sema labda wangekuja kumkamata TISS isingejua hadi wangesikia CNN bado wasingejua TISS wangepatia habari CNN..
Kama intelligence ya Pakistan waliambulia patupu sembuse TISS...
Hao watu waliomba tume ya Kimahakama iundwe kwanza ndio waweze kuitoa hiyo Video, Yamkini labda baada ya ombi lao kutotekelezwa ndio maana wameamua kutoitoa...
Huijui TISS wewe uliza gaidi hatarii Carlos the Jack usalama wa kwanza kumtrace na hatimae kukamatwa na CIA n kina nani TISS iache kama ilivyo
Unapoongelea kitu ambacho hakitekelezi, unatakiwa useme kivipi!? ungedadavua inakuwa vipi ni vigumu kuunda tume ya kimahakama!? kwa maoni yako unapendekeza hiyo video wapewe watuhumiwa tena, Yamkini jamaa waliliona hilo ndio maana wakataka kiundwe kitu ambacho hakipo biased ili waweze kupeleka ushahidi wao......sharti ambalo halitekelezi of course! Anybody can claim to have a video of anything controversial such as matukio ya dr ulimboka, absalom kibanda... halafu adai mpaka tume ya kimahakama iundwe blah blah blah...anyway tumeshazoea siasa za bongo za watu kudai vitu wasivyoweza kuthibitisha.
Muda mrefu hauna mwaka wala tarehe!? hizo habari za kufa kwa ugonjwa umezipata wapi!? Una uhakika gani ya kwamba wewe ndio upo sahihi!? Inamaana wewe ndio unamjua Osama zaidi ya kina Zawahir!? au wakeze!?Osama halisi alishakufa muda mrefu kwa ugonjwa.mazuzu ndo wanadanganywa.
Osama alikua na roho ya aina yake.
Alijua iko siku watamtia mkononi ndio maana hakujisumbua kujilimbikizia mimali.
Mkuu bado unaamini hivyo!? au msimamo wako umebadilika!?
ni nini kilikufanya uamini hivyo mkuu!?Haujabadilika mkuu!
ni nini kilikufanya uamini hivyo mkuu!?
Hapo kuna tatizo gani mkuu!? Kwasababu Obama ni mjaluo wa Kogelo hapo Kisumu...Mambo mengi sana kuanzia jina lenyewe la Osama hadi kuja Obama
Kwani kuna shida na siku mkuu!?Siku iliyotangazwa kifo chake
Lakini operation iliendeshwa Pakistan mkuu...Nchi ya Afghanistan
Inasemekena hata wale seal team six walipiga zoezi lakini walikuwa hawaelewi wanaenda kupiga mission ipi mwishoni ndio wanaambiwa Osama...
Ningependa kujua zaidi kwa hapa...Ile code name ya Osama
FBI ina play role gani kwa hapa!?
Hilo la WTC kuna uzi uliliongela kwa hapa uka reason kwa nini ujengwe msikiti, na ile sehemu kwanini ifananishwe na Maka, Abbottabad ina shida gani tena mkuu!?WTC
OWTC
Maeneo ya kumbukumbu ya WTC
Jina la eneo alilouwawa Osama
Na mengine meeengi sana,yanabishawishi niamini kuwa kuna jambo kubwa sana watu hawalijui hapa
Msimamo wangu ni tifauti sana na wa watu wengi hapa na duniani mkuu!
Unapoongelea kitu ambacho hakitekelezi, unatakiwa useme kivipi!? ungedadavua inakuwa vipi ni vigumu kuunda tume ya kimahakama!? kwa maoni yako unapendekeza hiyo video wapewe watuhumiwa tena, Yamkini jamaa waliliona hilo ndio maana wakataka kiundwe kitu ambacho hakipo biased ili waweze kupeleka ushahidi wao...
kwani ugumu ulikuwa wapi!? lakini labda zilikuwa siasa tu!
Kweli mkuu ila nadhani TISS wangekuwa huru yani bila influence ya kisiasa siyo wabaya wanao uwezo wa kujitosheleza mfano angalia serikali ya awamu ya tatu kama walikuwa wakifanya kazi kwa makelele kibao ila ilikuwa vitendo tu
Kwani serikali hiyo unayo itetea ilichukua hatua gani baada ya ule mlipuko wa bomu kule Soweto, Mbona sikuelewi kwa maana nyingine unasema ya kwamba video haipo na lile tukio ni la uongo au!?hakitekelezeki kwa kuwa huwezi kuiamuru serikali kitu cha kufanya, serikali ingekuwa ya ajabu kweli kukubali sharti la chadema ili tu watoe "video"! kama video hiyo ipo kweli wanashindwa nini kui-upload hata youtube watu tuone kama kweli kuna haja ya hiyo "tume ya kimahakama"? Narudia tena mfano wangu, huwezi kudai una video inamhusisha kikwete kwenye wizi wa meno ya tembo halafu udai utaitoa pale serikali itakapounda tume blah blah blah....kwa nini tukuamini wewe? wewe utakuwa nani mpaka serikali ichukue hatua hiyo? Ni lazima angalau ulete evidence kidogo to support your claims, vinginevyo wewe ndio utaonekana chizi.
Unaposema Uzushi, unamaana ya kwamba wala hata ule mlipuko haukutokea ama!? je hao CCM wenyewe wanafanya siasa ambazo si za uzushi ama!?Chadema tumeshawazoea kwa kufanya siasa based on uzushi:
Kwanza nataka kujua unapotaka kuthibitisha ni kwa namna ipi!? Halafu tukirudi kwa Zitto unataka kusema kipindi kile Saed Kubenea kwenye lile gazeti lake lililofungiwa alipoweka mawasiliano ya Zitto na Jack Zoka pamoja na maeneo na zile namba za simu, unataka kusema ni uongo!? mpaka Zitto Kabwe akayamind makampuni ya simu...Slaa alidai ridhiwani ana malori sijui mangapi, lakini hawezi kuthibitisha, alidai kuna malori ya kura wakati ule, hakuthibitisha...Hata zitto kabwe naye chadema walimzushia kanunuliwa na CCM kwa mabilioni ya fedha...mpaka dr kimei na usalama wa taifa wakahusishwa., lakini hata chembe ya ushahidi hakuna, hata huu waraka wa kitila mkumbo...baada ya chadema kuona kuwa waraka unakubalika kwa watanzania walio na akili timamu, wakadai wao wana mwingine "original", huu tulionao kwenye mitandao umehaririwa! lakini huo wa kwao original mpaka leo hawauweki! ....Chama hiki kinafanya siasa za consipiracies tu....
Lakini pia nashangaa inakuwa vipi haujiulizi ya kwanini mahakama imemkuta hana hatia licha ya huo unaouita ushahidi... Halafu na lengo la Ludovick kurekodi ilikuwa ni nini!?Lakini tukiongelea "video", ipo video ya lwakatare anapanga mipango ya kumteka mwandishi wa habari kwa kosa la kuwa "karibu na zitto", MAELEZO YA VIDEO HII YAKO WAPI? Lwakatare alikuwa anapanga bongo muvi? lwakatare alikuwa anaigiza? Kwa nini chama hiki hakiwezi kueleza hasa maudhui ya video ile watanzania tukaelewa?
Hapo kuna tatizo gani mkuu!? Kwasababu Obama ni mjaluo wa Kogelo hapo Kisumu...
Kwani kuna shida na siku mkuu!?
Lakini operation iliendeshwa Pakistan mkuu...
Inasemekena hata wale seal team six walipiga zoezi lakini walikuwa hawaelewi wanaenda kupiga mission ipi mwishoni ndio wanaambiwa Osama...
Ningependa kujua zaidi kwa hapa...
FBI ina play role gani kwa hapa!?
Hilo la WTC kuna uzi uliliongela kwa hapa uka reason kwa nini ujengwe msikiti, na ile sehemu kwanini ifananishwe na Maka, Abbottabad ina shida gani tena mkuu!?
Mkuu tuombe uzima kesho nitaangalia ya kukujibu nikifika kwenye mashine
Lakini mkuu nikuambie kitu kimoja kuwa haya unayoona yanayokea ni machache sana ni ya halisi ila.mengi ni ya kupangwa kwa sababu maalum
Unaweza ukahitimisha kirahisi tu Obama ni mjaluo lakini usione kitu kingine kwenye hayo majina!
Kwani serikali hiyo unayo itetea ilichukua hatua gani baada ya ule mlipuko wa bomu kule Soweto, Mbona sikuelewi kwa maana nyingine unasema ya kwamba video haipo na lile tukio ni la uongo au!?
Unaposema Uzushi, unamaana ya kwamba wala hata ule mlipuko haukutokea ama!? je hao CCM wenyewe wanafanya siasa ambazo si za uzushi ama!?
Kwanza nataka kujua unapotaka kuthibitisha ni kwa namna ipi!? Halafu tukirudi kwa Zitto unataka kusema kipindi kile Saed Kubenea kwenye lile gazeti lake lililofungiwa alipoweka mawasiliano ya Zitto na Jack Zoka pamoja na maeneo na zile namba za simu, unataka kusema ni uongo!? mpaka Zitto Kabwe akayamind makampuni ya simu...
Vipi mbona huongelei ushahidi wa Mwigulu, vipi ile sio conspiracy!? hauoni ya kwamba hiyo ni double standard!?
Lakini pia nashangaa inakuwa vipi haujiulizi ya kwanini mahakama imemkuta hana hatia licha ya huo unaouita ushahidi... Halafu na lengo la Ludovick kurekodi ilikuwa ni nini!?