Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Mkuu we Acha tu! Hawa jamaa ni mapoyoyo sn!

Wake za Osama wamethibitisha mume wao kauwawa! Alafu eti wanabisha tu! Nimefatilia Hii mada kila post nimeona kuna shida sn kwa hawa watu na story zao za kwenye kahawa!

Waendelee kubisha mpk leo tuwape fact zingine km wanataka!
Watu wapo Kariakoo wanabishana na watu waliokuwa huko Abbottabad, wanaita movie za Hollywood... Wanaamini Intelijensia ya kwenye Kahawa zaidi ya reality...
 
kuna watu wanadai wana video za tukio lakini hawataki kuzitoa sijui tuwaeleweje.
Hao watu waliomba tume ya Kimahakama iundwe kwanza ndio waweze kuitoa hiyo Video, Yamkini labda baada ya ombi lao kutotekelezwa ndio maana wameamua kutoitoa...
 
Osama halisi alishakufa muda mrefu kwa ugonjwa.mazuzu ndo wanadanganywa.
 
hapana asingefikisha miaka hiyo, sema labda wangekuja kumkamata TISS isingejua hadi wangesikia CNN bado wasingejua TISS wangepatia habari CNN..

Kama intelligence ya Pakistan waliambulia patupu sembuse TISS...

Huijui TISS wewe uliza gaidi hatarii Carlos the Jack usalama wa kwanza kumtrace na hatimae kukamatwa na CIA n kina nani TISS iache kama ilivyo
 
Hao watu waliomba tume ya Kimahakama iundwe kwanza ndio waweze kuitoa hiyo Video, Yamkini labda baada ya ombi lao kutotekelezwa ndio maana wameamua kutoitoa...

...sharti ambalo halitekelezi of course! Anybody can claim to have a video of anything controversial such as matukio ya dr ulimboka, absalom kibanda... halafu adai mpaka tume ya kimahakama iundwe blah blah blah...anyway tumeshazoea siasa za bongo za watu kudai vitu wasivyoweza kuthibitisha.
 
Huijui TISS wewe uliza gaidi hatarii Carlos the Jack usalama wa kwanza kumtrace na hatimae kukamatwa na CIA n kina nani TISS iache kama ilivyo

Unazungumzia hii TISS ya kina Jack Zoka kwamba ni kali au unatania!? Sidhani kama TISS inaweza ikaizidi ISI ya Pakistan, wakati Operation Neptune Spear inaendeshwa hao ISI hawakujua sembuse TISS, kwani kuna mambo mangapi yametendeka humu nchini na hiyo TISS yako ipo!? ni nini walichokifanya TISS au ni ile kina Ramadhan Ighondu kung'oa watu meno bila ganzi...

Hiyo TISS inayofanya mambo kisiasa...
 
...sharti ambalo halitekelezi of course! Anybody can claim to have a video of anything controversial such as matukio ya dr ulimboka, absalom kibanda... halafu adai mpaka tume ya kimahakama iundwe blah blah blah...anyway tumeshazoea siasa za bongo za watu kudai vitu wasivyoweza kuthibitisha.
Unapoongelea kitu ambacho hakitekelezi, unatakiwa useme kivipi!? ungedadavua inakuwa vipi ni vigumu kuunda tume ya kimahakama!? kwa maoni yako unapendekeza hiyo video wapewe watuhumiwa tena, Yamkini jamaa waliliona hilo ndio maana wakataka kiundwe kitu ambacho hakipo biased ili waweze kupeleka ushahidi wao...

kwani ugumu ulikuwa wapi!? lakini labda zilikuwa siasa tu!
 
Osama halisi alishakufa muda mrefu kwa ugonjwa.mazuzu ndo wanadanganywa.
Muda mrefu hauna mwaka wala tarehe!? hizo habari za kufa kwa ugonjwa umezipata wapi!? Una uhakika gani ya kwamba wewe ndio upo sahihi!? Inamaana wewe ndio unamjua Osama zaidi ya kina Zawahir!? au wakeze!?
 
ni nini kilikufanya uamini hivyo mkuu!?

Mambo mengi sana kuanzia jina lenyewe la Osama hadi kuja Obama

Siku iliyotangazwa kifo chake

Nchi ya Afghanistan

CIA

Ile code name ya Osama

FBI

WTC

OWTC

Maeneo ya kumbukumbu ya WTC

Jina la eneo alilouwawa Osama

Na mengine meeengi sana,yanabishawishi niamini kuwa kuna jambo kubwa sana watu hawalijui hapa

Msimamo wangu ni tifauti sana na wa watu wengi hapa na duniani mkuu!
 
Hapo kuna tatizo gani mkuu!? Kwasababu Obama ni mjaluo wa Kogelo hapo Kisumu...

Siku iliyotangazwa kifo chake
Kwani kuna shida na siku mkuu!?

Nchi ya Afghanistan
Lakini operation iliendeshwa Pakistan mkuu...

Inasemekena hata wale seal team six walipiga zoezi lakini walikuwa hawaelewi wanaenda kupiga mission ipi mwishoni ndio wanaambiwa Osama...

Ile code name ya Osama
Ningependa kujua zaidi kwa hapa...

FBI ina play role gani kwa hapa!?

WTC

OWTC

Maeneo ya kumbukumbu ya WTC

Jina la eneo alilouwawa Osama

Na mengine meeengi sana,yanabishawishi niamini kuwa kuna jambo kubwa sana watu hawalijui hapa

Msimamo wangu ni tifauti sana na wa watu wengi hapa na duniani mkuu!
Hilo la WTC kuna uzi uliliongela kwa hapa uka reason kwa nini ujengwe msikiti, na ile sehemu kwanini ifananishwe na Maka, Abbottabad ina shida gani tena mkuu!?
 
Nyie Bado watoto !! Hamtolijua wala hamtolifahamu scenario hili la OBL !! Kwanza paraganyeni... This is beyond your comprehesive !!
 
Unapoongelea kitu ambacho hakitekelezi, unatakiwa useme kivipi!? ungedadavua inakuwa vipi ni vigumu kuunda tume ya kimahakama!? kwa maoni yako unapendekeza hiyo video wapewe watuhumiwa tena, Yamkini jamaa waliliona hilo ndio maana wakataka kiundwe kitu ambacho hakipo biased ili waweze kupeleka ushahidi wao...

kwani ugumu ulikuwa wapi!? lakini labda zilikuwa siasa tu!

hakitekelezeki kwa kuwa huwezi kuiamuru serikali kitu cha kufanya, serikali ingekuwa ya ajabu kweli kukubali sharti la chadema ili tu watoe "video"! kama video hiyo ipo kweli wanashindwa nini kui-upload hata youtube watu tuone kama kweli kuna haja ya hiyo "tume ya kimahakama"? Narudia tena mfano wangu, huwezi kudai una video inamhusisha kikwete kwenye wizi wa meno ya tembo halafu udai utaitoa pale serikali itakapounda tume blah blah blah....kwa nini tukuamini wewe? wewe utakuwa nani mpaka serikali ichukue hatua hiyo? Ni lazima angalau ulete evidence kidogo to support your claims, vinginevyo wewe ndio utaonekana chizi.
Chadema tumeshawazoea kwa kufanya siasa based on uzushi:
Slaa alidai ridhiwani ana malori sijui mangapi, lakini hawezi kuthibitisha, alidai kuna malori ya kura wakati ule, hakuthibitisha...Hata zitto kabwe naye chadema walimzushia kanunuliwa na CCM kwa mabilioni ya fedha...mpaka dr kimei na usalama wa taifa wakahusishwa., lakini hata chembe ya ushahidi hakuna, hata huu waraka wa kitila mkumbo...baada ya chadema kuona kuwa waraka unakubalika kwa watanzania walio na akili timamu, wakadai wao wana mwingine "original", huu tulionao kwenye mitandao umehaririwa! lakini huo wa kwao original mpaka leo hawauweki! ....Chama hiki kinafanya siasa za consipiracies tu....
Lakini tukiongelea "video", ipo video ya lwakatare anapanga mipango ya kumteka mwandishi wa habari kwa kosa la kuwa "karibu na zitto", MAELEZO YA VIDEO HII YAKO WAPI? Lwakatare alikuwa anapanga bongo muvi? lwakatare alikuwa anaigiza? Kwa nini chama hiki hakiwezi kueleza hasa maudhui ya video ile watanzania tukaelewa?
 
Shida ya kuongozwa na majuha wasio na uwezo, matokeo yake nguvu yote ya idara za serikali inakusanywa kutumikia viongozi badala ya taifa.

Kweli Tanzania inabidi ikubali fundisho la kuchagua mijitu jitu tu isiyo kuwa na maono, uwezo wala nia ya kuendeleza taifa. Mijitu inajilazimisha kukaa ikulu na kuchukua nafasi za uongozi kwa anasa zake.

Somo hilo!. Siyo TISS peke yake. Angalia hata jeshi la polisi, vyombo vya polisi, media za serikali, mawaziri mizigo, wote wanatumikia watawala na matumbo yao badala ya taifa.

Kweli mkuu ila nadhani TISS wangekuwa huru yani bila influence ya kisiasa siyo wabaya wanao uwezo wa kujitosheleza mfano angalia serikali ya awamu ya tatu kama walikuwa wakifanya kazi kwa makelele kibao ila ilikuwa vitendo tu
 
hakitekelezeki kwa kuwa huwezi kuiamuru serikali kitu cha kufanya, serikali ingekuwa ya ajabu kweli kukubali sharti la chadema ili tu watoe "video"! kama video hiyo ipo kweli wanashindwa nini kui-upload hata youtube watu tuone kama kweli kuna haja ya hiyo "tume ya kimahakama"? Narudia tena mfano wangu, huwezi kudai una video inamhusisha kikwete kwenye wizi wa meno ya tembo halafu udai utaitoa pale serikali itakapounda tume blah blah blah....kwa nini tukuamini wewe? wewe utakuwa nani mpaka serikali ichukue hatua hiyo? Ni lazima angalau ulete evidence kidogo to support your claims, vinginevyo wewe ndio utaonekana chizi.
Kwani serikali hiyo unayo itetea ilichukua hatua gani baada ya ule mlipuko wa bomu kule Soweto, Mbona sikuelewi kwa maana nyingine unasema ya kwamba video haipo na lile tukio ni la uongo au!?
Chadema tumeshawazoea kwa kufanya siasa based on uzushi:
Unaposema Uzushi, unamaana ya kwamba wala hata ule mlipuko haukutokea ama!? je hao CCM wenyewe wanafanya siasa ambazo si za uzushi ama!?
Slaa alidai ridhiwani ana malori sijui mangapi, lakini hawezi kuthibitisha, alidai kuna malori ya kura wakati ule, hakuthibitisha...Hata zitto kabwe naye chadema walimzushia kanunuliwa na CCM kwa mabilioni ya fedha...mpaka dr kimei na usalama wa taifa wakahusishwa., lakini hata chembe ya ushahidi hakuna, hata huu waraka wa kitila mkumbo...baada ya chadema kuona kuwa waraka unakubalika kwa watanzania walio na akili timamu, wakadai wao wana mwingine "original", huu tulionao kwenye mitandao umehaririwa! lakini huo wa kwao original mpaka leo hawauweki! ....Chama hiki kinafanya siasa za consipiracies tu....
Kwanza nataka kujua unapotaka kuthibitisha ni kwa namna ipi!? Halafu tukirudi kwa Zitto unataka kusema kipindi kile Saed Kubenea kwenye lile gazeti lake lililofungiwa alipoweka mawasiliano ya Zitto na Jack Zoka pamoja na maeneo na zile namba za simu, unataka kusema ni uongo!? mpaka Zitto Kabwe akayamind makampuni ya simu...

Vipi mbona huongelei ushahidi wa Mwigulu, vipi ile sio conspiracy!? hauoni ya kwamba hiyo ni double standard!?
Lakini tukiongelea "video", ipo video ya lwakatare anapanga mipango ya kumteka mwandishi wa habari kwa kosa la kuwa "karibu na zitto", MAELEZO YA VIDEO HII YAKO WAPI? Lwakatare alikuwa anapanga bongo muvi? lwakatare alikuwa anaigiza? Kwa nini chama hiki hakiwezi kueleza hasa maudhui ya video ile watanzania tukaelewa?
Lakini pia nashangaa inakuwa vipi haujiulizi ya kwanini mahakama imemkuta hana hatia licha ya huo unaouita ushahidi... Halafu na lengo la Ludovick kurekodi ilikuwa ni nini!?
 
Hapo kuna tatizo gani mkuu!? Kwasababu Obama ni mjaluo wa Kogelo hapo Kisumu...

Kwani kuna shida na siku mkuu!?

Lakini operation iliendeshwa Pakistan mkuu...

Inasemekena hata wale seal team six walipiga zoezi lakini walikuwa hawaelewi wanaenda kupiga mission ipi mwishoni ndio wanaambiwa Osama...

Ningependa kujua zaidi kwa hapa...

FBI ina play role gani kwa hapa!?

Hilo la WTC kuna uzi uliliongela kwa hapa uka reason kwa nini ujengwe msikiti, na ile sehemu kwanini ifananishwe na Maka, Abbottabad ina shida gani tena mkuu!?

Mkuu tuombe uzima kesho nitaangalia ya kukujibu nikifika kwenye mashine

Lakini mkuu nikuambie kitu kimoja kuwa haya unayoona yanayokea ni machache sana ni ya halisi ila.mengi ni ya kupangwa kwa sababu maalum

Unaweza ukahitimisha kirahisi tu Obama ni mjaluo lakini usione kitu kingine kwenye hayo majina!
 
Okay haina neno mkuu...
 
Kwani serikali hiyo unayo itetea ilichukua hatua gani baada ya ule mlipuko wa bomu kule Soweto, Mbona sikuelewi kwa maana nyingine unasema ya kwamba video haipo na lile tukio ni la uongo au!?

Unaposema Uzushi, unamaana ya kwamba wala hata ule mlipuko haukutokea ama!? je hao CCM wenyewe wanafanya siasa ambazo si za uzushi ama!?

Kwanza nataka kujua unapotaka kuthibitisha ni kwa namna ipi!? Halafu tukirudi kwa Zitto unataka kusema kipindi kile Saed Kubenea kwenye lile gazeti lake lililofungiwa alipoweka mawasiliano ya Zitto na Jack Zoka pamoja na maeneo na zile namba za simu, unataka kusema ni uongo!? mpaka Zitto Kabwe akayamind makampuni ya simu...

Vipi mbona huongelei ushahidi wa Mwigulu, vipi ile sio conspiracy!? hauoni ya kwamba hiyo ni double standard!?

Lakini pia nashangaa inakuwa vipi haujiulizi ya kwanini mahakama imemkuta hana hatia licha ya huo unaouita ushahidi... Halafu na lengo la Ludovick kurekodi ilikuwa ni nini!?

1. sijasema tukio ni uzushi nimeraise doubt juu ya uwapo wa video ambayo haitolewi mpaka kwa masharti maalum. Masharti ambayo ni sawa na kuiamrisha serikali nini cha kufanya bila kuwa na reasonable doubt ya kufanya hivyo. Hivi kweli hata serikali iwe ya haki kiasi gani, unategemea iunde "tume ya kimahakama" just because kiongozi wa upinzani kasema hivyo?

2. Uthibitisho uko wa aina nyingi: unapodai zitto kapokea bilioni 3 toka kwa dr kimei na usalama wa taifa tunahitaji kujua WEWE UMEJUAJE! Una mkanda wa video, una transcript za mazungumzo yao, unaweza kutuonyesha bank statement ya zitto inayoonyesha miamala hiyo to that effect au?
3. Zitto kuwasiliana na jack zoka tatizo liko wapi? zitto ana uhuru wa kuzungumza na yoyote yule. kwani chadema wana uadui na vyombo vya serikali? jack zoka ni usalama wa taifa kwa raia wote including wanachama wa vyama vya upinzani, polisi, jeshi, wizara n.k vyote hivyo ni vya raia wote. Chadema inafanya kana kwamba ukiwa chadema then wewe automatically ni adui wa serikali! Je Chadema kwenye katiba yake inatii sheria za nchi gani? au kuna kipengele kinasema "chadema member shall not talk to usalama wa taifa" humo ndani ambacho ndio zitto kavunja?
vile vile, kama nakumbuka vizuri (nisahihishe kama nakosea), gazeti halikutoa mazungumzo (transcript), bali lilitoa namba za simu na call duration, je unaweza kutuambia walikuwa wanazungumzia nini? au kwa sababu zitto ni "adui wa mbowe" basi "lazima awe anapanga mipango dhidi ya chadema". Bila kujua kilizungumziwa nini the rest is mere speculation. Hivi gazeti likichapisha simply namba za simu na call duration kati ya Mbowe na Kikwete utaconclude hivyo hivyo kuwa Mbowe anauza chama kama ilivyo kwa zitto au?
4. Ushahidi wa mwigulu ambao siuongelei ni upi huo? sijaona video ya mwigulu popote pale, naomba link tafadhali niione kisha ndio nijadili.
5. Mahakama haijadili video kama video inajadili mashataka ambayo video ni ushahidi. Nilichotaka mimi ni maelezo kwa mtu kama wewe kuwa pale lwakatare kwa nini alikuwa anaongea yale? hivi wewe hujiulizi hili swali? Mipango ile haikupi maswali? Mpaka sasa hakuna alternative story ya video ile, kinachoonekana ni lwakatare kupanga mipango miovu baas! Chadema walitakiwa kusema kuwa the real story ni hii: "lwakatare alikuwa anaanda mswada wa bongomuvi", kitu kama hicho! sio kushabikia ushindi wa technicalities za kisheria mahakamani. Mwisho wa siku video iko pale pale bila maelezo.
Pili, Ludovick pia ni mwanachama wa chadema, sababu za yeye kurekodi mimi nisiye chadema siwezi kujua. Lakini je, kama mwananchama wa chadema anapanga mipango ya kuvunja sheria kama ile, si wajibu wa mwanachama wa chadema kuifichua? au mwananchama wa chadema anatakiwa kulinda mipango miovu ya chadema wenzie? Kwangu mimi yoyote aliyefichua video ile ni mwananchi mwema anayetakia mema nchi yetu. Unless of course chadema/lwakatare waseme kuwa lwakatare alikuwa ana-act or something, then aliyefichua ndio tutamuita mchochezi. Lakini kama tunavyojua Chadema hawajawahi kutueleza lwakatare alikuwa anapanga mipango hiyo kwa sababu gani....perhaps ni mipango ya kichama?
 
Back
Top Bottom