Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Mie nauliza
1 ni speech gani ya Osama aliyokubali kwa matamshi yake kuwa anahusika na 9/11.
2 Bush alitangaza zawadi nono kwa atakaye toa taarifa/kumkamata Osama dead o alive.
Iweje ipangwe mission ya kumuua na kumzikia baharini eti wamefuata sheria za kislam,muislam gani aliezikwa au kazika baharini?
Zaidi ya firauni aliekufa majini na akarudishwa ufukweni kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili awe fundisho kwa bin adam.
Naombeni majibu?
 
Marekani ana mikwala,uwongo na fitna nyingi kwenye siasa yake kwa maslahi yake na shoga zake.
Pamoja na kufa kwa Osama marekani hana ushindi Afgan wala Iraq na leo tunaskia Mali,Somalia,Nigeria.
Mbona hawaishi kama sio fitna?
 

Ahsante kaka
 
nafikiri katika mashambulizi ya WTC Al Qaeda walihusika na kiongozi wao kwa kipindi hicho alikuwa Osama bin Laden kwa hiyo moja kwa moja Osama alihusika...

hata milipuko ya balozi za Marekani huku Tanzania na Kenya mwaka 1998 Mtandao wa Al Qaeda ulihusika...

kwa hiyo Osama moja kwa moja alikuwa anahusika na Mashambulizi mbali mbali na mtandao wake wa Al Qaeda...

Vinginevyo ulete uthibitisho kwamba alikuwa hausiki ulete na uthibitisho akikana kwamba hausiki au akisema yeye hausiki wanamsingizia tu...
 
Marekani ana mikwala,uwongo na fitna nyingi kwenye siasa yake kwa maslahi yake na shoga zake.
Pamoja na kufa kwa Osama marekani hana ushindi Afgan wala Iraq na leo tunaskia Mali,Somalia,Nigeria.
Mbona hawaishi kama sio fitna?
Sidhani kama Marekani ana mikwara kama unavyosema jamaa wapo makini na mambo yao...

kama unavyosema huko Nigeria kuna kikundi cha Boko haram lakini wenyewe wanapambana na wanigeria wenzao! vivyo hivyo kwa Al Shaabab ya Somalia pamoja na wale jamaa wa Mali lakini kule Mali naona Wafaransa wapo kule...
 
Last edited by a moderator:
mkuu FUHRER nipo nakusoma vizuri sana kama ulivyosema nipo kwa makini nafuatilia hizo mambo utakazokuwa unaweka...

Tupo pamoja sana, inabidi tuweze kujifunza kwa hizo Intelligence zilizofanikiwa za wenzetu wa dunia ya kwanza huko...

Inabidi TISS yetu iweze kujitofautisha na green guard ya CCM iweze kuwa makini sio kwa ajili ya kutumikia chama ila iwe kwa ajili ya taifa zima...

na kina Ramadhani Ighondu wajifunze zaidi waachane na mbinu za kung'oa watu kucha pamoja na meno bila ya ganzi...

kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama tu, ni somo zuri kwa kina Jack Zoka na wenzake, TISS isitumike kwa kuiba kura za wapinzani bali iwe kwa maslahi ya Taifa kwa ujumla

Pamoja sana...
 
Last edited by a moderator:
kweli penye nia pana njia, huu ufafanuzi umesaidia sana.

kuna novel nyingi kumhusu osama ziliandikwa haraka sana baada ya osama kuuliwa ili kuchuma pesa,huyo jamaa huyo jamaa ufafanuzi wake unaweza kuwa ameutoa kwenye finction novel.licha ya kutoweka link pia hataki kutuambia huyo mwana wa mfalume ni nani aliekua akimfinance bin laden,na alikufa lini ili tufanye search,na uzuri watoto wa marehemu king saud bin abdila aziz wanajulikana na mmojawapo ndo king abdullah wa saud.
 
elungata upo sahihi kabisa mkuu.jamaa is a good narrator na ninamfatilia vizuri sana.lakini haweki source au majina ya vitabu anavyosoma/alivyosoma ili mwisho wa siku nasi tuvitafute.hala hala asije tu akaja na porojo za "i get all these info from an inside CIA and ISI source or intelligence agencies/zile mambo za chanzo ni mimi mwenyewe".wenye hekima hapa jf watamdharau.
 
wakuu Elungata pamoja na kadoda11 leteni vitu kama mnavyo ili tuweze kuchambua tuone tupate ulinganifu...

Msiishie kuponda tu kuhusiana na source shusheni mambo wakuu...

Hata katika school of thought huwa zipo nyingi, au katika model huwa zipo mbali mbali mtu anapinga halafu anakuja na ya kwake inaweza kukubalika au isikubalike...

Sasa na nyie mngeshusha vitu sio mnasubiri mtu achemke halafu mpinge bila ya kuleta mbadala...

Kama vitabu au source zina fiction mngeleta mkasema hizi source hazina fiction, au mngesema hizo source unavyotoa hivyo vitu ina fiction maana imeandikwa hivyo...

Ndio maana kuna theory kama za Helicentric na Geocentric... Tuigeni kutoka huko kwa muktadha kama huu...
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna hata dizain ya movie........nipo very interested kufuatilia........more news plz......
Preta there is this book "No Easy Day" an account by one of the Navy Seal - UBL Mission. Story yake matches to what FUHRER is putting forth...
Kwa mfano from chpt 10 anasimulia....

Walt and Charlie came in next. They both had big grins on their faces.
"You called it," I said to Charlie. "How did they find him?"​
"One of his couriers," Charlie said. "He has two guys working for him."

Al-Kuwait




Kipo on pdf naweza kipandisha hapa kwa watakaopenda kusoma​
 
Mkuu wa chuo jaribu kupitisha macho kwa hii kitu...huwezi acha kusoma mwanzo mwisho...Utakuta kuna dada wa CIA kwa 10yrs yeye kazi yake ilkuwa kuchambua intel za OSAMA tu
 

Attachments

Last edited by a moderator:

Sasa una ushauri gani kwa wale ambao hadi Leo wanasema Osama hajakamatwa wala kufa na he's still alive and on the run
 
Sasa una ushauri gani kwa wale ambao hadi Leo wanasema Osama hajakamatwa wala kufa na he's still alive and on the run

huo uwezekano upo kuwa wala hata hajauawa na kuna uwezekano alikua anafanya yote kwa niaba ya marekani,ndo maana baada ya tukio la sptember 11,anga la marekani lilifungwa kwa ndege za kiraia kwa zaidi ya wiki tatu hakukuwa na ruksa ya ndege ya abiria kuingia au kutoka marekani,lakini serikali ya marekani iliruhusu saudi arabia itume ndege zake kuja kuwachukua raia wa saudi arabia wakiwemo family ya bin laden na kuwarudisha saud.
Kwanini ndege ya saudia peke yake iliruhusiwa kutua marekani na kuondoka na raia wake wakati kwanza ilijulikana wazi kwamba kati ya wateka ndege 19 waliofanya tukio la september11, 15 walikua raia wa saudi arabia.
Just google..saudi arabia citizen removed from US after 9/11.
 

madam thread haiondoki nitaleta after i do datamining.afterall thread nimeiona kwa ghafla..jamaa nimemchallenge sababu alikua haweki source,ina maana angeweka source tungeweza kufuata ili kupata uhakika wa anachokisema
 
Last edited by a moderator:

navy seal wengi tu waliandika baada ya tukio la abbotabad akiwemo yule anaedai ndo alimtwanga risasi bin laden,lakini ujue kuwa Navy seal ni watu ambao walipewa mission wakaonyeshwa target wakaenda kufanya walichotumwa..intelligence na process zote zilizofanywa hadi wakapin point alipojificha binladen hawezi akawa nazo huyo navy seal,wao walipewa jukumu la kwenda kumkamata binladen baada ya intelligence kuwa wamefanya kazi zao.kwahiyo hicho kitabu hakiwezi kuwa reliable source.
 

hii summary yako bado sijakubaliana na ww, kwa kutaka kufananisha TISS na CIA kuna bonde kubwa sana kati yetu kuanzia utaratibu wa utendaji mpaka zana za utendaji kazi.

Jaribu kufuatilia matatizo yanayowakumba CIA japo upate mwanga kidogo ingawa inaweza kua ngumu kupata taarifa hasa ukizingatia wanahusika na kuchuja taarifa za mfumo wa digital kama za humu kwny Internet. Hivyo wanaweza pandikiza taarifa yeyote ambayo watataka wewe uisome na kuamini.

Labda katiba mpya inaweza kuleta mabadiliko katika utendaji wa TISS ila uelewa wangu mdogo hawa jamaa zetu wanafanya kazi katika mazingira magumu na ya utata wa kuhatarisha hata maisha yao japo ni siri wanayoitunza baada ya kiapo kikali.
 
Asante Fuhrer. Na pia movie iliyotengenezwa kutoka kwenye hayo maelezo ni 'ZERO DARK THIRTY'
Ni movie nzuri kuiangalia...
 
madam thread haiondoki nitaleta after i do datamining.afterall thread nimeiona kwa ghafla..jamaa nimemchallenge sababu alikua haweki source,ina maana angeweka source tungeweza kufuata ili kupata uhakika wa anachokisema

Elungata naona na wewe unazunguka palepale...unaomba uwekewe source yet wewe hufanyi hivyo..

Umesoma vitabu vingapi vya navy seals walokwenda kwenye hii mission....they were 23 na mbwa wa 24. Ni wangapi kati yao wameandika vitabu...tuwekee hapa pls!!!

Ila kama ulisoma "No Easy Day" kisha usome hii ripoti ya Commission then add a little of your intelligence (Knowledge) utajua the book has an "on hands experience" on this mission.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…