Uzuri wa hizi fact hata ukizibishia leo kuna sikuutazikubali tu, wewe uko huku Tanzania unabisha Osama hakuuwawa, wakati wakezake osama wanajulikana na watoto wa osama wanajulikana na wote wanathibitishawalikuwa na baba yao na ni kweli aliuwawa hivi tukuamini wewe ulioko hukuTanzania na stori zako za vijiweni. Wake zake osama walimkinga asipigwe risasina navy seals wakapigwa wao za miguuni na osama akapigwa risasi mbiliwanathibitisha kuwa ni kweli osama kauwawa, wewe huku Tz unabisha.
Halafu sikusema osama kakubali kuwa ndiye aliyepangamashambulizi ya WTC, aliyekubali kuwa yeye ndiyo brain behind 9/11 ni KSM naRamzi walipohojiwa na mwandishi wa Aljazeera. Wazo la kushambulia WTC halikuwala Osama ila lilikuwa la KSM ndio alimpelekea Osama wakati yupo Afg enzi zataleban. KSM alihitaji support kutoka kwa Osama ya foot soldiers wa kufanya ilemission na financial support. Na ile tactic ya kuzibamiza ndege kwenye majengo,KSM aliitoa kwenye vita kuu ya pili ambapo Japanese suicide pilots walikuwawanaruka na ndege zenye milipuko na kwenda kujibamiza kwenye manowari zamajeshi ya washirika na kuzizamisha, hii staili ilijulikana kama kamikaze,walifanikiwa kuzamisha manowari nyingi za kivita na kuuwa askari zaidi ya 5000wa majeshi ya washirika (alied troops). KSM aliona sifa za ile mission ya WTCzinaenda kwa Osama wakati lile lilikuwa wazo lake ndio maana akaamua kumwitaYule mwandishi wa Aljazeera ili kuweka record straight. Ukienda nchi za kiarabuwanaoitwa magaidi na marekani kule ni mashujaa (martyrs) ndio maana hata waowanaoneana wivu mwingine anapopata sifa kama unamkumbuka Abu Musab Al Zaqawialipata sifa sana wakati wa vita ya Iraqi maana ndiye aliyeongoza mapambano yaAlqaeda katika ukanda ule, sifa ziliongezeka zaidi pale alipomteka na kumchinjakama kuku askari wa marekani aliyekuwa anaendesha kifaru. Osama alipoona AlZaqawi anapata umaarufu sana akamuonya kuwa mambo anayoyafanya yanaenda kinyumena mafundisho ya kuran hivyo kabla hajafanya kitu chochote lazima aombe kibali kutokakwake. Lakini ukiangalia kilichomsukuma kutoa onyo kwa Zaqawi ni wivu kuwaatamzidi umaarufu maana kama ni kuchinja makafili (infidels) jeshi la mujahdeenla Afghan lililokuwa linaongozwa na kina Mular Omar na Osama ndilo lilikuwalinawachinja makafili na traitors kama unakumbuka Yule tribal lord wa NothernAlliance alivyokamatwa na kuchinjwa Ijumaa baada ya swala kule Kandahar wakatiwa uvamizi wa Marekani kule Afghanstan.
Issue ya doble agent inatumika sana katika hizimission ili ku-infiltrate enemy territory ingawa sometimes inback-fire.Successful mission mojawapo iliyotumia double agent ni ile iliyomuua yule imamwa yemen mzaliwa wa marekani Anwar Al Awlaki. Huyu alikuwa anatafutwa namarekani kwa kuhusika kwake na 9/11 ambapo ilikuja kujuikana kuwa hijackerswatatu wa 9/11 walikuwa wanasali kwenye msikiti wake. Vilevile moja waoalieongoza flight 77 alikuwa na namba yake kwenye diary yake. Huyu imamalikimbilia yemen akajificha huko. Kilichomponza ni kuwa mahubiri yake mengialikuwa anayapost kwenye U-tube mpaka kuna wakati CIA waliomba kibali congressili waondoe baadhi ya mahubiri yake yaliyokuwa yana-incite jihad kwenye utube.Sasa alipokuwa yemen CIA kwa kushirikiana na Danish Intelligence Agency PETwakam-recruit kijana mmoja wa denmak ajulikanaye kama Storm aende akazoeanenaye. Yule kijana akajifanya nye ni sympathizer wa jihadi akawa naye anachangiakwenye mahubiri anayotoa Anwar kwenye internet mwishowe akaenda yemen kukutanana Anwar. Anwar akamweleza kuwa anapanga kushambulia kwenye ma-supermarketmakubwa marekani kwa kutumia biological weapons. Baada ya mahusiano ya mudamrefu Anwar akamwomba amnunulie Flash am-downloadie magazeti ya marekani iliajue wanamwandikaje kwa kuwa yeye alikuwa mafichoni. Hapo ndipo CIA wakampaStorm flash disc yenye tracking micro-chip. Wiki moja tokea ampe ile flash CIAwalituma drone ikamuua akiwa kwenye gari na wenzake watatu baadae kakamuua namtoto wake.
Lakini hii technique yak u-recruit doble agent huwasometimes inaback-fire kwa sababu huwa subjected to loyality. Si unakumbukakule Afghanstani kwenye base ya marekani ya kupambana na mitandao ya kigaidi yaalqaeda, Haqqan na talebani inayojulikana kama CAMP CHAPMAN kilinuka mwaka2009. CIA na Jordanian Intelligency walim-recruit Jordanian doctor aliyekuwaanasympathize na Alqaeda aliyejulikana kama Humam Khalil Abu-Mulal al-Balawiakawa TRIPLE AGENT, Huyu anatoka kijiji kimoja na Alqaeda leader inMesopotamia Abu Musab Al Zarqawi. Sasa Al Balawi alifanya kazi na CIA na kuwapataarifa za ukweli walipo wapiganaji wa Alqaeda na ikawa ni kweli CIA wakitumadrone inawaua. Si wakamwamini, akawaambia yeye atawafanikishia CIA kumuua aukumkamata Ayman Al Zawahil, CIA wakaingia mkenge akawa akiingia kwenye base yaoya chapman hawamsachi. Siku akawadanganya anataarifa muhimu sana kuhusiana naAl Zawahil hivyo anahitaji kuonana na top officials wa CIA, Basi yule mamaambaye alikuwa Chief of operation katika ile base anaitwa Jennifer Lynne Matthews akawaita hadimaafisa wengine wa CIA kutoka Kabul, alipofika getini hakusachiwa ingawa kunamageti matatu, maofisa wote wakatoka kumpokea nje, kumbe kajifunga bomu la kilo15 akalilipua aliua watu 9 palepale na wengine kadhaa kujeruhiwa. Hii ndio riskya ku-recruit double agent hauwezi kujua loyality yake ipo kwa nani. Mara baadaya kujitoa muhanga na kuuwa maofisa wa CIA, Al Balawi alionekana kwenye videofootage iliyorushwa kwenye channel za TV Pakistani akiongea kuwa amefanya liletukioa kama kulipiza kisasi cha kiongozi wa Alqaeda Pakistani Baitullah Mehsud aliyeuwawa na CIA kwa drone