Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Sasa una ushauri gani kwa wale ambao hadi Leo wanasema Osama hajakamatwa wala kufa na he's still alive and on the run
wenyewe waendelee kuamini hivyo mpaka mwisho mwishowe watakata tamaa. Na wataamini kweli amekufa...
 
huo uwezekano upo kuwa wala hata hajauawa na kuna uwezekano alikua anafanya yote kwa niaba ya marekani,ndo maana baada ya tukio la sptember 11,anga la marekani lilifungwa kwa ndege za kiraia kwa zaidi ya wiki tatu hakukuwa na ruksa ya ndege ya abiria kuingia au kutoka marekani,lakini serikali ya marekani iliruhusu saudi arabia itume ndege zake kuja kuwachukua raia wa saudi arabia wakiwemo family ya bin laden na kuwarudisha saud.
Kwanini ndege ya saudia peke yake iliruhusiwa kutua marekani na kuondoka na raia wake wakati kwanza ilijulikana wazi kwamba kati ya wateka ndege 19 waliofanya tukio la september11, 15 walikua raia wa saudi arabia.
Just google..saudi arabia citizen removed from US after 9/11.
mkuu, anafanya hayo yote kwa niaba ya Marekani kulipua ndani ya Marekani kweli? Vinginevyo uniambie kwamba labda yeye hakuhusika kulipua pamoja na mtandao wake wa Al Qaeda!

halafu unaposema kwa niaba ya Marekani yamkini asingefanya kwa niaba ya Marekani, Marekani wenyewe wangeripua majengo yaliyomo kwenye nchi yao?

Unaongelea vipi milipuko ya balozi za Marekani ndani ya nchi za Tanzania na Kenya? Au ni wenyewe Marekani wanahusika?
 
madam thread haiondoki nitaleta after i do datamining.afterall thread nimeiona kwa ghafla..jamaa nimemchallenge sababu alikua haweki source,ina maana angeweka source tungeweza kufuata ili kupata uhakika wa anachokisema
nimekusoma mkuu, tupo tunasubiria... ila mimi sio madam!
 
hii summary yako bado sijakubaliana na ww, kwa kutaka kufananisha TISS na CIA kuna bonde kubwa sana kati yetu kuanzia utaratibu wa utendaji mpaka zana za utendaji kazi.

Jaribu kufuatilia matatizo yanayowakumba CIA japo upate mwanga kidogo ingawa inaweza kua ngumu kupata taarifa hasa ukizingatia wanahusika na kuchuja taarifa za mfumo wa digital kama za humu kwny Internet. Hivyo wanaweza pandikiza taarifa yeyote ambayo watataka wewe uisome na kuamini.

Labda katiba mpya inaweza kuleta mabadiliko katika utendaji wa TISS ila uelewa wangu mdogo hawa jamaa zetu wanafanya kazi katika mazingira magumu na ya utata wa kuhatarisha hata maisha yao japo ni siri wanayoitunza baada ya kiapo kikali.
ni kweli mkuu morphine gap linaweza kuwa ni kubwa na hapa tupo tunachambua na kujadili, kwahiyo kila mmoja anaweza kuja na utambuzi wake...

lakini ngojea nikuulize swali we unauonaje utendaji wa TISS licha ya hayo mazingira magumu unayosema na nini kifanyike?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu morphine gap linaweza kuwa ni kubwa na hapa tupo tunachambua na kujadili, kwahiyo kila mmoja anaweza kuja na utambuzi wake...

lakini ngojea nikuulize swali we unauonaje utendaji wa TISS licha ya hayo mazingira magumu unayosema na nini kifanyike?

wanajitahidi kadri ya uwezo wao japo wanabanwa na nguvu ya viongozi/ wanasiasa katika katika utekelezaji mambo ya msingi.
 
wanajitahidi kadri ya uwezo wao japo wanabanwa na nguvu ya viongozi/ wanasiasa katika katika utekelezaji mambo ya msingi.
kumbe unakubaliana kwamba UWT imekaa kisiasa yaani ki ccm ccm, kwa hiyo inabidi UWT ijitofautishe na kina green guard...

inabidi kweli ikae ki usalama wa taifa, yaani inafikia TISS inachemka mpaka wanakuja FBI...

unaweza ukaniambia TISS waliweza kufaulu wapi?
 
Uzuri wa hizi fact hata ukizibishia leo kuna sikuutazikubali tu, wewe uko huku Tanzania unabisha Osama hakuuwawa, wakati wakezake osama wanajulikana na watoto wa osama wanajulikana na wote wanathibitishawalikuwa na baba yao na ni kweli aliuwawa hivi tukuamini wewe ulioko hukuTanzania na stori zako za vijiweni. Wake zake osama walimkinga asipigwe risasina navy seals wakapigwa wao za miguuni na osama akapigwa risasi mbiliwanathibitisha kuwa ni kweli osama kauwawa, wewe huku Tz unabisha.

Halafu sikusema osama kakubali kuwa ndiye aliyepangamashambulizi ya WTC, aliyekubali kuwa yeye ndiyo brain behind 9/11 ni KSM naRamzi walipohojiwa na mwandishi wa Aljazeera. Wazo la kushambulia WTC halikuwala Osama ila lilikuwa la KSM ndio alimpelekea Osama wakati yupo Afg enzi zataleban. KSM alihitaji support kutoka kwa Osama ya foot soldiers wa kufanya ilemission na financial support. Na ile tactic ya kuzibamiza ndege kwenye majengo,KSM aliitoa kwenye vita kuu ya pili ambapo Japanese suicide pilots walikuwawanaruka na ndege zenye milipuko na kwenda kujibamiza kwenye manowari zamajeshi ya washirika na kuzizamisha, hii staili ilijulikana kama “kamikaze”,walifanikiwa kuzamisha manowari nyingi za kivita na kuuwa askari zaidi ya 5000wa majeshi ya washirika (alied troops). KSM aliona sifa za ile mission ya WTCzinaenda kwa Osama wakati lile lilikuwa wazo lake ndio maana akaamua kumwitaYule mwandishi wa Aljazeera ili kuweka record straight. Ukienda nchi za kiarabuwanaoitwa magaidi na marekani kule ni mashujaa (martyrs) ndio maana hata waowanaoneana wivu mwingine anapopata sifa kama unamkumbuka Abu Musab Al Zaqawialipata sifa sana wakati wa vita ya Iraqi maana ndiye aliyeongoza mapambano yaAlqaeda katika ukanda ule, sifa ziliongezeka zaidi pale alipomteka na kumchinjakama kuku askari wa marekani aliyekuwa anaendesha kifaru. Osama alipoona AlZaqawi anapata umaarufu sana akamuonya kuwa mambo anayoyafanya yanaenda kinyumena mafundisho ya kuran hivyo kabla hajafanya kitu chochote lazima aombe kibali kutokakwake. Lakini ukiangalia kilichomsukuma kutoa onyo kwa Zaqawi ni wivu kuwaatamzidi umaarufu maana kama ni kuchinja makafili (infidels) jeshi la mujahdeenla Afghan lililokuwa linaongozwa na kina Mular Omar na Osama ndilo lilikuwalinawachinja makafili na traitors kama unakumbuka Yule tribal lord wa NothernAlliance alivyokamatwa na kuchinjwa Ijumaa baada ya swala kule Kandahar wakatiwa uvamizi wa Marekani kule Afghanstan.

Issue ya doble agent inatumika sana katika hizimission ili ku-infiltrate enemy territory ingawa sometimes inback-fire.Successful mission mojawapo iliyotumia double agent ni ile iliyomuua yule imamwa yemen mzaliwa wa marekani Anwar Al Awlaki. Huyu alikuwa anatafutwa namarekani kwa kuhusika kwake na 9/11 ambapo ilikuja kujuikana kuwa hijackerswatatu wa 9/11 walikuwa wanasali kwenye msikiti wake. Vilevile moja waoalieongoza flight 77 alikuwa na namba yake kwenye diary yake. Huyu imamalikimbilia yemen akajificha huko. Kilichomponza ni kuwa mahubiri yake mengialikuwa anayapost kwenye U-tube mpaka kuna wakati CIA waliomba kibali congressili waondoe baadhi ya mahubiri yake yaliyokuwa yana-incite jihad kwenye utube.Sasa alipokuwa yemen CIA kwa kushirikiana na Danish Intelligence Agency PETwakam-recruit kijana mmoja wa denmak ajulikanaye kama Storm aende akazoeanenaye. Yule kijana akajifanya nye ni sympathizer wa jihadi akawa naye anachangiakwenye mahubiri anayotoa Anwar kwenye internet mwishowe akaenda yemen kukutanana Anwar. Anwar akamweleza kuwa anapanga kushambulia kwenye ma-supermarketmakubwa marekani kwa kutumia biological weapons. Baada ya mahusiano ya mudamrefu Anwar akamwomba amnunulie Flash am-downloadie magazeti ya marekani iliajue wanamwandikaje kwa kuwa yeye alikuwa mafichoni. Hapo ndipo CIA wakampaStorm flash disc yenye tracking micro-chip. Wiki moja tokea ampe ile flash CIAwalituma drone ikamuua akiwa kwenye gari na wenzake watatu baadae kakamuua namtoto wake.

Lakini hii technique yak u-recruit doble agent huwasometimes inaback-fire kwa sababu huwa subjected to loyality. Si unakumbukakule Afghanstani kwenye base ya marekani ya kupambana na mitandao ya kigaidi yaalqaeda, Haqqan na talebani inayojulikana kama CAMP CHAPMAN kilinuka mwaka2009. CIA na Jordanian Intelligency walim-recruit Jordanian doctor aliyekuwaanasympathize na Alqaeda aliyejulikana kama Humam Khalil Abu-Mulal al-Balawiakawa “TRIPLE AGENT”, Huyu anatoka kijiji kimoja na Alqaeda leader inMesopotamia Abu Musab Al Zarqawi. Sasa Al Balawi alifanya kazi na CIA na kuwapataarifa za ukweli walipo wapiganaji wa Alqaeda na ikawa ni kweli CIA wakitumadrone inawaua. Si wakamwamini, akawaambia yeye atawafanikishia CIA kumuua aukumkamata Ayman Al Zawahil, CIA wakaingia mkenge akawa akiingia kwenye base yaoya chapman hawamsachi. Siku akawadanganya anataarifa muhimu sana kuhusiana naAl Zawahil hivyo anahitaji kuonana na top officials wa CIA, Basi yule mamaambaye alikuwa Chief of operation katika ile base anaitwa Jennifer Lynne Matthews akawaita hadimaafisa wengine wa CIA kutoka Kabul, alipofika getini hakusachiwa ingawa kunamageti matatu, maofisa wote wakatoka kumpokea nje, kumbe kajifunga bomu la kilo15 akalilipua aliua watu 9 palepale na wengine kadhaa kujeruhiwa. Hii ndio riskya ku-recruit double agent hauwezi kujua loyality yake ipo kwa nani. Mara baadaya kujitoa muhanga na kuuwa maofisa wa CIA, Al Balawi alionekana kwenye videofootage iliyorushwa kwenye channel za TV Pakistani akiongea kuwa amefanya liletukioa kama kulipiza kisasi cha kiongozi wa Alqaeda Pakistani Baitullah Mehsud aliyeuwawa na CIA kwa drone
 
mkuu FUHRER tunaomba uendelee kutuletea mambo, inaonekana una vitu vingi sana shusha vitu mkuu...

safi sana...
 
Last edited by a moderator:
Nafuatiia kwa makini sana haya mazungumzo. hawa jamaa wa CIA ni noma na inaonekana wote si vilaza na wala hawajaajiriwa kwa kujuana kama mtoto wa mjomba N.K nadhani wameangalia uwezo wa akili. TISS ina mengi ya kujifunza hapo
 
Ripoti nzima ya Abbotabad Commission iko wapi? Al Jazeera walisema wanayo...mwenye nayo atuwekee tufanye kujielimisha
 
Nafuatiia kwa makini sana haya mazungumzo. hawa jamaa wa CIA ni noma na inaonekana wote si vilaza na wala hawajaajiriwa kwa kujuana kama mtoto wa mjomba N.K nadhani wameangalia uwezo wa akili. TISS ina mengi ya kujifunza hapo
ni kweli mkuu, Inabidi TISS wajifunze hapo kitu sio kwenda kwenye mabaa na kuanza kutamba mi ni usalama...

CIA wako njema sio vilaza, pale ni uwezo tu hakuna mambo ya kuwekwa na mjomba...
 
Preta there is this book "No Easy Day" an account by one of the Navy Seal - UBL Mission. Story yake matches to what FUHRER is putting forth...
Kwa mfano from chpt 10 anasimulia....



Al-Kuwait






Kipo on pdf naweza kipandisha hapa kwa watakaopenda kusoma​

Kipandishe kwa manufaa ya wote
 
nyie mnaangaika hiyo ilikua plan tu ya kwenda Afriganstan ili kukuza uchum wa marekan
na bahat yetu viongoz wa Tz sio wabsh coz mpaka hapa tungekua tushavurugika kama musri na hao wengne
 
nyie mnaangaika hiyo ilikua plan tu ya kwenda Afriganstan ili kukuza uchum wa marekan
na bahat yetu viongoz wa Tz sio wabsh coz mpaka hapa tungekua tushavurugika kama musri na hao wengne
mbona hujaeleweka, unaweza kudadafua kwa urefu zaidi?
 
Back
Top Bottom