Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

mission waliyofaulu UWT ni ya kuiba kura za wapinzani pamoja na kung'oa kucha na meno bila ya ganzi kwa raia wa Tanzania...

tunaona CIA wakifanya mambo MOSSAD pamoja na intelligence zingine...

sasa za TISS zitakuwaje ni siri?

Intelligence ya Saed Kubenea na mwanahalisi yake inaweza ikawa juu sana, Rejea mazungumzo ya Jack Zoka na Zitto kama umesoma nadhani utakubaliana na mimi mkuu morphine...

Jinsi mwanahalisi walivyochambua hata ile issue ya Ramadhani Ighondu, jamaa walikuwa njema walivyoichambua...

naomba uniambie kazi ya TISS ni nini?

bado napenda mimi na kijifamilia changu tuendelee kula ubwabwa na maharage mkuu, sasa ukiniambia niweke mambo wazi hapa kuhusu kazi zao nahofia na mie kusulubiwa nikawa mfano kwa jamii :shut-mouth::fear::tape2::rip:
 
kama unahofia haina shaka mkuu maana katika hizo kazi wapo njema sana usije ukampa kazi Rama...

labda Jason bourne anaweza akaja akachambua mission zao anaweza akawa anajua mission za UWT...
 
Last edited by a moderator:
not one bite at a time otherwise other factors remain constant...

Slow but sure eating an elephant, you can't eat an elephant at one time that is impossible...

No easy day, I'm proceeding with this book slowly up to those chapters...

sory for this,mkuu wa chuo aliposema one bite at a time hamaanishi kumla tembo mara moja,he mean kidogo kidogo mpaka tembo aishe. (one bite at a time..)
 
Nadhani katika vitu ambvyo tunakosea Watanzania ni kuidaharau TISS,sioni ubaya wa taasisi hii japokuwa ina mapungufu kama zilivyo na mapungufu CIA,ISI,MOSAD,KGB NA INTELLIGENCE UNIT NYINGINEZO DUNIANI.

Ni kosa kubwa sana kutaka kuifananisha TISS na CIA,MOSAD etc,TISS inafanya kazi kutokana na nchi yetu ilivyo kiuchumi,kisiasa na kijamii.Pia CIA wanafanya kazi zao kulingana na mazingira yao.hebu tujiulize;je maadui alionao marekani ni sawa tulionao Tanzania?uchumi walionao USA ni sawa na Tanzania?technology waliyonayo USA ni sawa na kwetu?

Ukiangalia hayo yote utagundua TISS wanafanya kazi kubwa sana,huko tunakosema wengi kung'oa watu kucha na kutesa bado ni maneno ya watu tu kwani hakuna mwenye uhakika na hayo mambo.Hata hivyo tuchukulie hayo matukio ni kweli yalifanywa na baadhi ya agents wa TISS,sasa tujiulize;je haiwezi ikatokea mtu mmoja au wachache wasio na maadili ya kazi wakaamua kutumika tofauti na weredi wa kazi zao? Je hata hao CIA,MOSSAD,ISI,KGB etc tunaowaona wamefanya operation ngapi za kuua watu au kuwatesa wale wanaonekana ni kikwazo kwao au kwa viongozi wao? Je wamefanya assassinationa ngapi kwa watu ili tu kulinda maslahi yao au wakubwa zao?kuna ripoti,machapisho mbalimbali yanayoelezea unyama uliofanywa na taasisi hizo,do they still remain fate,clean and not finger pointed?

Sasa kwanini iwe TISS tu?kwa maoni yangu TISS bado wanafanya kazi kubwa sana na yenye kuhitaji kusifiwa kwa kazi zao hizo.

LONG LIVE THE BROTHERHOOD

I LOVE THE WORLD OF INTELLIGENCE
 
TISS wanajidhalilisha wenyewe na ndio maana watanzania wengi tunaidharau hii idara. Hawana jipya kazi kutisha watu huko mitaani kwa mambo yaso na kichwa wala miguu.
 
Sasa una ushauri gani kwa wale ambao hadi Leo wanasema Osama hajakamatwa wala kufa na he's still alive and on the run
hao ndugu yangu ni wazee wenye mawazo finyu na si wasomi wa vitabu wala kufatilia yanayojiri duniani , kumbuka ilifika wakati baadhi ya waislam walimuona osama ni mkombozi wa dini ya kiislam lakini kumbe si kweli , yeye alikuwa anapambana kwa maslahi yake binafsi .
 
View attachment 102557
hii ni nyumba aliyokuwa amefichwa Osama huko Abbottabad Pakistan na Al Kuwaiti
Osama_bin_Laden_hideout-en.svg.png
hiyo ndiyo ramani ya nyumba yote
 
bado napenda mimi na kijifamilia changu tuendelee kula ubwabwa na maharage mkuu, sasa ukiniambia niweke mambo wazi hapa kuhusu kazi zao nahofia na mie kusulubiwa nikawa mfano kwa jamii :shut-mouth::fear::tape2::rip:

Unaogopa kung'olewa kucha, meno na jicho bila ganzi? Na kama wewe ni akina kajamba nani lazima ufe kwani kwenda kutibiwa sauzi yahitaji kunako vijisent
 
kama unahofia haina shaka mkuu maana katika hizo kazi wapo njema sana usije ukampa kazi Rama...

labda Jason bourne anaweza akaja akachambua mission zao anaweza akawa anajua mission za UWT...

Teh teh rama mnamgwaya siku hizi hee? Uzuri wake hujui kuitoa roho ila anakunyorosha tu kiasi kwamba hospital za hapa Tz hazikuwezi kukutibu na ukishindwa kwenda nje ndo mauti utaiona na ukiweza kwenda na ukapona ukirudi kimbelembele na viherehere vyote lazima vikwishe. Sijajua kama atatokea ambae atakomaa kama mandela yani awe teyari kwa lolote
 
Last edited by a moderator:
Nadhani katika vitu ambvyo tunakosea Watanzania ni kuidaharau TISS,sioni ubaya wa taasisi hii japokuwa ina mapungufu kama zilivyo na mapungufu CIA,ISI,MOSAD,KGB NA INTELLIGENCE UNIT NYINGINEZO DUNIANI.

Ni kosa kubwa sana kutaka kuifananisha TISS na CIA,MOSAD etc,TISS inafanya kazi kutokana na nchi yetu ilivyo kiuchumi,kisiasa na kijamii.Pia CIA wanafanya kazi zao kulingana na mazingira yao.hebu tujiulize;je maadui alionao marekani ni sawa tulionao Tanzania?uchumi walionao USA ni sawa na Tanzania?technology waliyonayo USA ni sawa na kwetu?

Ukiangalia hayo yote utagundua TISS wanafanya kazi kubwa sana,huko tunakosema wengi kung'oa watu kucha na kutesa bado ni maneno ya watu tu kwani hakuna mwenye uhakika na hayo mambo.Hata hivyo tuchukulie hayo matukio ni kweli yalifanywa na baadhi ya agents wa TISS,sasa tujiulize;je haiwezi ikatokea mtu mmoja au wachache wasio na maadili ya kazi wakaamua kutumika tofauti na weredi wa kazi zao? Je hata hao CIA,MOSSAD,ISI,KGB etc tunaowaona wamefanya operation ngapi za kuua watu au kuwatesa wale wanaonekana ni kikwazo kwao au kwa viongozi wao? Je wamefanya assassinationa ngapi kwa watu ili tu kulinda maslahi yao au wakubwa zao?kuna ripoti,machapisho mbalimbali yanayoelezea unyama uliofanywa na taasisi hizo,do they still remain fate,clean and not finger pointed?

Sasa kwanini iwe TISS tu?kwa maoni yangu TISS bado wanafanya kazi kubwa sana na yenye kuhitaji kusifiwa kwa kazi zao hizo.

LONG LIVE THE BROTHERHOOD

I LOVE THE WORLD OF INTELLIGENCE

Mkuu embu jiuze ni kwanini wasilalamikiwe enzi za maraisi waliotanguliwa na iwe sasa? Kwanini wawahushe TISS na siyo polic kama walivyowatumu polic CDM? lisemwalo naamini lipo na hasa kwa kipindi hiki ambacho serikali imekuwa ikitumia vyombo vya usalama na ulinzi ktk kujiimarisha kisiasa na ktk hili haliitaji hata punje ya tume kulifanyia uchunguzi
 
kuna movie mpya imetoka mwaka huu inaitwa Zero Dark Thirty inaonyesha jinsi marekani walivyofatilia hadi kugundua na ilikuwaje hadi akakamatwa na kwann serikali ya pakistan hawakujua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu ni hii nyumba aliipanga ama ni ya kwake? Na ramani ilipatikana baada ya kifo chake ama kabla na kusaidi kupatikana kwake?

Kabla ya mission ile ya kwenda kumkamata Osama ina maana walimfuatilia kwa muda mrefu, sasa hadi hiyo nyumba walichukua vipimo vyote na ramani yote...

Ili kwamba plan zilizokuwa zimepangwa ziweze kwenda vyema ilibidi compound yote hapo alipokuwa anaishi Osama na ramani ya compund na vipimo vyote waweze kuvipata na kuvisoma...

Kwa sababu wale Seal team 6 walitumia chopa iweze kutua ilibidi wajue compound yote...

Kwenye hiyo nyumba alikuwa amefichwa na Al Kuwaiti wote yeye na Osama walikufa katika ile operation ya ku muua Osama...

Kulikuwa na plan A, B, C pamoja na D kama sijakosea lakini plan A baada ya ku fail hii ilitokea baada ya ile chopa kutua sivyo na ku crash...

Wakahamia kwenda plan C ndio waliyotumia kama sijakosea...

Kabla ya ile mission wale seal team walipiga tizi ya nguvu walikuwa hawajui wanapiga ile tizi kwa ajili ya mission ipi lakini mwishoni wakaambiwa ni kwa ajili ya Osama...

Kwa hiyo jamaa walijiandaa vyema...
 
Hivi wewe unaamini kweli hiyo nyumba alikuwa anaishi Osama?
kama walio muua wametuonyesha hiyo... we uliye hapo Kariakoo unabisha je unao uthibitisho upi? kwamba sio yenyewe kama uthibitisho unao basi uweeke tuuone...

Hiyo nyumba ipo Abbottabad Pakistan nadhani hadi serikali ya Pakistan ilithibitisha kwa sababu operation ilipigwa hapo na baada ya operation nyumba hiyo ilibomolewa baada ya kufa Osama na mwili wake kuchukuliwa...

Unajua bwana Ritz usibishe vinginevyo njoo na ushahidi mwingine utuambie washikaji walitupiga changa la macho usitake kufananisha Intelligence za wenzetu wa dunia ya kwanza na hii yetu ya kina Rama...

Ebwana jamaa wako njema sana...
 
Last edited by a moderator:
wadau mnaweza pitisha macho hapo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom