Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

nafikiri katika mashambulizi ya WTC Al Qaeda walihusika na kiongozi wao kwa kipindi hicho alikuwa Osama bin Laden kwa hiyo moja kwa moja Osama alihusika...

hata milipuko ya balozi za Marekani huku Tanzania na Kenya mwaka 1998 Mtandao wa Al Qaeda ulihusika...

kwa hiyo Osama moja kwa moja alikuwa anahusika na Mashambulizi mbali mbali na mtandao wake wa Al Qaeda...

Vinginevyo ulete uthibitisho kwamba alikuwa hausiki ulete na uthibitisho akikana kwamba hausiki au akisema yeye hausiki wanamsingizia tu...

Unapo zungumzia mashambulizi ya EA alqaida walikiri kuwa wamefanya
Lakini WTC ww mwenyewe unafikiri kuwa wamefanya ila hujathibitisha na uthibitisho wako ni wa kufata media.
Kwann EA wakiri na WTC wasikiri kuwa wamefanya?
Hyo ni karata ya ku invade Afgan
 
kuhusiana na WTC unaweza kusoma bandiko la FUHRER ameeleza kwa kirefu zaidi...

kwani we uthibitisho wako unatokana na nini zaidi ya media?
 
Last edited by a moderator:
Umenichekesha sana leo
mkuu VUVUZELA watu wana imani za ajabu hadi mkewe Osama kathibitisha lakini watu wa vijiweni wenyewe wanakanusha tu, yaani story za vijiweni zinachekesha na kufurahisha sana...

lakini inabidi twende nao mdogo mdogo hivyo hivyo...

tukizidi kujadili na kuchambua zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Wazo la kushambulia WTC halikuwala Osama ila lilikuwa la KSM ndio alimpelekea Osama wakati yupo Afg enzi zataleban. KSM alihitaji support kutoka kwa Osama ya foot soldiers wa kufanya ilemission na financial support.
kidogo nina mashaka,kama wazo lilikuwa la KSM inakwaje aliyesakwa zaidi na anayejulikana ni Osama?
 
Preta there is this book "No Easy Day" an account by one of the Navy Seal - UBL Mission. Story yake matches to what FUHRER is putting forth...
Kwa mfano from chpt 10 anasimulia....

Al-Kuwait

Kipo on pdf naweza kipandisha hapa kwa watakaopenda kusoma​

Mkuu tupia hiyo PDF au tupe link tuifuate.
 
Kweli mkuu ila nadhani TISS wangekuwa huru yani bila influence ya kisiasa siyo wabaya wanao uwezo wa kujitosheleza mfano angalia serikali ya awamu ya tatu kama walikuwa wakifanya kazi kwa makelele kibao ila ilikuwa vitendo tu

TISS wote wale ni mazao ya UVCCM! Wapo kwa maslahi ya chama chao!
 
Mkuu wa chuo jaribu kupitisha macho kwa hii kitu...huwezi acha kusoma mwanzo mwisho...Utakuta kuna dada wa CIA kwa 10yrs yeye kazi yake ilkuwa kuchambua intel za OSAMA tu
mkuu RealMan naendelea kukisoma hichi kitabu kina kurasa 173 na chapter 19... lakini haya maneno yamenifurahisha sana The only easy day was yesterday.
—N a vy S EAL P h i l o so p h y
Long live the Brotherhood.

png;base64,iVBORw0KGgoAAAANSUhEUgAAAcYAAAKuCAIAAAC0TyvUAAADoUlEQVR4nO3BgQAAAADDoPlTn AGVQEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADwDRTwAAQXvrw8AAAAASUVORK5CYII=
 
Last edited by a moderator:
Osama_bin_Laden_compound1.jpg
Hiyo nyumba ndio Osama alikuwa anaishi huko Abbottabad ndipo alipokuwa amefichwa na Al Kuwaiti
 
kumbe unakubaliana kwamba UWT imekaa kisiasa yaani ki ccm ccm, kwa hiyo inabidi UWT ijitofautishe na kina green guard...

inabidi kweli ikae ki usalama wa taifa, yaani inafikia TISS inachemka mpaka wanakuja FBI...

unaweza ukaniambia TISS waliweza kufaulu wapi?

Siwezi nikakuambia walifaulu wapi kwa sababu utaratibu wa utendaji na ripoti zao ni siri(hakuna mtanzania asiyejua hili).

kuhusu FBI kuja kutusaidia kupepeleza tukio fulani sioni ajabu kwani mara kadhaa vijana wetu wa kitanzania wamekua wakienda kufunzwa huko nchi kwao marekani na sehemu zingine duniani. Pia hua wanakuja kutufunza mbinu mbali mbali nchini kwetu ingawa haiwekwi wazi kwa sababu wanazozijua wahusika.
 
Kama wewe unahitaj uthibitisho wa kwamba osama anakataa kwamba hajafanaya yeye shambulio la WTC bas. . Kabla ulitakiwa useme uthibitisho uliowah kusikia kwamba osama kakubal. . .kwamba yeye ndo kashambulia WTC
 
mission waliyofaulu UWT ni ya kuiba kura za wapinzani pamoja na kung'oa kucha na meno bila ya ganzi kwa raia wa Tanzania...

tunaona CIA wakifanya mambo MOSSAD pamoja na intelligence zingine...

sasa za TISS zitakuwaje ni siri?

Intelligence ya Saed Kubenea na mwanahalisi yake inaweza ikawa juu sana, Rejea mazungumzo ya Jack Zoka na Zitto kama umesoma nadhani utakubaliana na mimi mkuu morphine...

Jinsi mwanahalisi walivyochambua hata ile issue ya Ramadhani Ighondu, jamaa walikuwa njema walivyoichambua...

naomba uniambie kazi ya TISS ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe unahitaj uthibitisho wa kwamba osama anakataa kwamba hajafanaya yeye shambulio la WTC bas. . Kabla ulitakiwa useme uthibitisho uliowah kusikia kwamba osama kakubal. . .kwamba yeye ndo kashambulia WTC
iliripotiwa kwamba mtandao wa kundi la Al Qaeda ulihusika na mlipuko wa Septemba Eleven...

Na kiongozi wa kundi hilo alikuwa ni Osama bin Laden au wewe una uhakika Osama hakuhusika?
 
mkuu RealMan naendelea kukisoma hichi kitabu kina kurasa 173 na chapter 19... lakini haya maneno yamenifurahisha sana The only easy day was yesterday.
—N a vy S EAL P h i l o so p h y
Long live the Brotherhood.

png;base64,iVBORw0KGgoAAAANSUhEUgAAAcYAAAKuCAIAAAC0TyvUAAADoUlEQVR4nO3BgQAAAADDoPlTn AGVQEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADwDRTwAAQXvrw8AAAAASUVORK5CYII=
how do you eat an elephant?.......one bite at a time.....
 
Last edited by a moderator:
[Acha uwongo, mbona report ya mission yake ilishawekwa wazi tokea alipouwawa kaisome acha stori za vijiweni. Taarifa za Osama zilitolewa na detainee watatu wa alqueda waliopo Guantanamo. wa kwanza ni Mastermind wa 9/11 Khaleed Sheikh Mohamed (KSM), huyu ndie alimtaja Courier wa Osama ajulikanaye kwa jina la Al Kuwait ambaye ndiye anaebeba maelekezo na mawasiliano yote kutoka kwa osama na kupeleka kwa foot soldiers, Wa pili kumtaja Al Kuwait ni Abu Zubeida, Huyu Abu zubeida pamoja na Ramzi Yousef ndio waliolipua WTC kabla ya 9/11. Abu zubeida kwanza aliteswa na CIA kwa kutumia Enhanced Interogation techniques kama water borne akagoma kutoa information yoyote, mpaka CIA wakamtishia kumkabidhi kwa intelligence ya Saudi Arabia wakiamini ataogopa maana Saudi Arabia wanajulikana kwa kutesa, wakashangaa anawaambia wampeleke Saudi. Hapo ndio CIA wakacheza trick wakampakiza kwenye ndege na kuzunguka naye muda mrefu angani wakijifanya wanampeleka Saudi Arabia mwisho wakatua naye sehemu hukohuko marekani wakawachukua maofisa wa CIA waarabu wakiwa na nguo za jeshi la Saudi Arabia wakaanza kumuuliza maswali hapo ndio akamtaja Al Kuwait, halafu akawataja wafadhili wa Osama akiwepo Mtoto wa mfalme wa Saudi, Generali wa Jeshi la Saudi na maofisa wengine wawili wa serikali ya Saudi na akawapa namba ya motto wa mfalme wampigie ili awaamrishe wamwachie. watu wote waliotajwa na Abu zubeida CIA waliwaua kuanzia mtoto wa mfalme alikutwa amekufa akiwa vacation, yule General wa jeshi alikutwa amekufa jangwani kwa kiu na kukosa maji na wale maofisa wote. Huo ndio ukawa mwanzo wa Osama kukosa hela (financial suffocation). wakaanza kumfuatilia Al Kuwait Pakistani wakamtrace akitokea sokoni hadi nyumba aliyokuwa akienda Abbottabad. Osama aliishiwa hela mpaka wake zake walikuwa wanaenda kwa sonara wanauza mikufu na herein zao ili wapate hela ya kula. Ndio CIA wakamkodia nyumba karibu na nyumba ya Osama Afisa wake aliyekuwa anafanya kazi katika Shirika la Save the Children ambalo lilikuwa linafanya kampeni ya kinga ya magonjwa ya watoto. Na sio kwamba eti marekani walikuwa wanachukua DNA za watoto na ku-match na za Osama huo ni uwongo kwa sababu kinga iliyokuwa inaratibiwa na Save the Children ilikuwa ni ya Matone sasa kuwapa watoto matone uta-extract vipi DNA. Aliyebaki sasa ni second in command wa alqaeda daktari wa Misri Ayman Al Zawahil ambaye naye inaaminika amejificha kwenye mpaka wa Afg na Pak.]
Huyu mtoto sio yule aliyekutwa amekufa hotelini bongo?
 
how do you eat an elephant?.......one bite at a time.....
not one bite at a time otherwise other factors remain constant...

Slow but sure eating an elephant, you can't eat an elephant at one time that is impossible...

No easy day, I'm proceeding with this book slowly up to those chapters...
 
Back
Top Bottom