Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

Siku Aziz Ki akisajiliwa na Pamba, chama hicho ndio kitasajiliwa
 
Majina ni mengi kama PARTY OF TANZANIA PROGRESSIVE, CHAMA CHA WATANZANIA, NATIONAL DEMOCRATIC PARTY, CONGRESS FOR NATIONAL DEMOCRACY
 
Kwa kuwa wafuasi wa chadema wanaitwa nyumbu, wafuasi wa hiki chama sijui wataitwaje?
Btw, lisu hana charisma ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa chama. Kuropokaropoka tu haimfanyi mtu kuwa kiongozi mzuri.
 
Back
Top Bottom