Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

Hii ni plan ya kumvimbisha mtu kichwa na kisha kuntoa kwenye raman.

Angalia saiz Influence ya ZITTO KABWE baada ya kupewa kichwa akaunda chama, chama mpaka kishike hatam na kuaminiwe ni miaka mingi kiasi kwamba waanzilishi hawakifaidi
 
Chama Cha Kibaraka wa Mabwenyenye ya Magharibi (CCKMM)🐒
Et mabwenyenye ya magharibi? Sasa kwani ccm siyo chama cha mabwenyenye?
Unalijua Azimio la ARUSHA, misingi na miiko yake wewe ?
Unajua AZIMIO La Zanzibar misingi na maazimio yake wewe?
Unafikiri ccm bado ni chama cha kijamaa ?
Wajamaa wanatoa RUSHWA?
Wajamaa wanafisadi mali za umma?
Wajamaa wanajilimbikizia mali?
Unwenyenye wa ccm ni mbaya kuliko ubwenyenye wa magharibi wenyewe.
Unapajua msasani kwa mwalimu? Embu kaiangalie nyumba yake na nyumba anayokaa mbunge wa ccm au hata diwani wa dar tu afu uje useme kama kweli ccm siyo chama cha mabwenyenye
Au hujui maana ya bwenyenye?
 
Imetumwa Lissu haondoki chadema hata mfanye Nini muueni Basi mridhike
 
Et mabwenyenye ya magharibi? Sasa kwani ccm siyo chama cha mabwenyenye?
Unalijua Azimio la ARUSHA, misingi na miiko yake wewe ?
Unajua AZIMIO La Zanzibar misingi na maazimio yake wewe?
Unafikiri ccm bado ni chama cha kijamaa ?
Wajamaa wanatoa RUSHWA?
Wajamaa wanafisadi mali za umma?
Wajamaa wanajilimbikizia mali?
Unwenyenye wa ccm ni mbaya kuliko ubwenyenye wa magharibi wenyewe.
Unapajua msasani kwa mwalimu? Embu kaiangalie nyumba yake na nyumba anayokaa mbunge wa ccm au hata diwani wa dar tu afu uje useme kama kweli ccm siyo chama cha mabwenyenye
Au hujui maana ya bwenyenye?
pole kwa kuelemewa na mzigo mzito sana gentleman 🤣

hayo ni maoni na mapendekezo yangu ya dhati kabisa, kwa muungwana alietajwa kwenye hoja mahususi. Haina haja kujificha wakati anaonekana wazi ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Sijui kama unaelewa hata maana ya kibaraka ni nani na anafanya kazi gani?
Anayemlipa mpiga zumari/ ngoma ndiyo huwa ana chagua mwimbo. Wewe 60% ya bajeti yako inatoka magharibi. Hata sindano za chanjo za watoto unategemea kwao. Unamwitaje mwenzio kibaraka huku ukiwaacha watawala?
Jifunze kusoma
 
Back
Top Bottom