Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hiyo itakuwa kikundi cha UANAHARAKATISioni future elekezi kwa Tundu Lissu, upo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Lissu walimuumiza sana hali hiyo imemuumiza sana kiuchumi na kisaikolojia.Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, upo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Pumba hizi! Chawa mpaka utapike!Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, upo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Chama Cha Kibaraka wa Mabwenyenye ya Magharibi (CCKMM)🐒Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, upo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
🤣 🤣 🤣Lisu atakisajili wapi hicho chama? Nyahozya atafunga ofisi kumkimbia.
Uchochezi huuSioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.