Et mabwenyenye ya magharibi? Sasa kwani ccm siyo chama cha mabwenyenye?
Unalijua Azimio la ARUSHA, misingi na miiko yake wewe ?
Unajua AZIMIO La Zanzibar misingi na maazimio yake wewe?
Unafikiri ccm bado ni chama cha kijamaa ?
Wajamaa wanatoa RUSHWA?
Wajamaa wanafisadi mali za umma?
Wajamaa wanajilimbikizia mali?
Unwenyenye wa ccm ni mbaya kuliko ubwenyenye wa magharibi wenyewe.
Unapajua msasani kwa mwalimu? Embu kaiangalie nyumba yake na nyumba anayokaa mbunge wa ccm au hata diwani wa dar tu afu uje useme kama kweli ccm siyo chama cha mabwenyenye
Au hujui maana ya bwenyenye?