Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

Mke ndio hazeeki? Ujiandae kumlipa msaidizi
 
Tanzania hamna "euthanasia", Tanzania hatuui mtu mpaka ujifie mwenyewe. 😁
Kuna mzee mmoja yeye jua likiwaka walikuwa wanamuanika juani, jua likiwa kali wanamuingiza ndani.
Kwa kizazi hiki cha mirungi na utiyai usitegemee uzeeke mke awe anakuhudumia , huwa wanachukua mabegi wanaenda kwa watoto wao unabaki hapo ukila kucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…