Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

Anakupeleka polisi na utailipa polis, kuna rafik yang mmoja alimzunguka dalali alivojua akaenda polis jamaa yang akakamatwa akaambiwa alipe hela ya udalal na ya polis
 
Huyo umemkuta dalal mpole, ungekutana na mtata mbona ungeenda kuitoa polisi, yeye atasema yeye ndio kakuleta hapo means bila yeye usingepajua hapo, napolis wakuda utaitoa tu hela
 
Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.

Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???

Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
We ni Dalali ama UZURI KUWAPA HELA YA ASANTE HAINAGA SHIDA NA HUWA WANAPOKEA WATU WAMGU SANA WALE NAFANYA ISHU YA MAMILIONI KIWANJA UNAMPOOZA TU
 
Mkuu ifike wakati sasa, Kila mtu mzima mwenye akili timamu ana uwezo na utashi wa kuamua kutumia huduma au kuacha. Hii inahusika pia na kwenye huduma ya udalalali wasiosajiliwa. Kwa Sheria zilizopo zinatosha kabisa kushughulika na madalali wa aina hii.
 
Kuna jamaa alioneshwa nyumba na dalali hakuipenda baada ya mwezi, mimi nikawa nimehamia kwenye ile nyumba upande mmoja, upande uliobakia nikamwambia yule jamaa yangu aje apacheki, kuja kumbe ni pale pale.
Akaona isiwe issue, akalipa direct kwa mwenye nyumba.
Yule dalali si akajua, dah ilikuwa shida yan asubuhi na mapema anajihimu pale home kudai chake. Alifululiza kama wiki jamaa akaona bora amlipe tu kuondoa bugudha.

Fanya hivyo ila usiombe ukakutana na madalali wakorofi!
 
Nigekuwa ni mimi nisingemlipa na ningemwambia akanishitaki Mahakamani, nyie ndio mnawapa vibuli hao wahuni.
 
Na nyie madalali muache tabia ya kusifia nyumba/gari wakati hata hujaliona.
Inatia aibu sana tukifika eneo la tukio
 
Na hata hio ya kulipa mwezi mmoja kiutaratibu anatakiwa alipe mwenye nyumba. Amuachie dalali mwezi mmoja katika ile 6!
Ila ujanja unatumika kumtwisha mpangaji gunia la misumari.
Hapo umenena...ndo maana Luna wenye nyumba wanafahamu hili,unakuta anamlipa Dalali na bado Dalali anazunguka anachukua na kwako.
 
Ndio ushakuwa mkataba boss vifungu unavijua kumbe ss we ndio inatakiwa uwaelimishe watu ,Kama mteja amekutana na dalali au madalali mteja akatoa kazi kwa ahadi ya kulipa kiasi fulani cha pesa hiyo kazi itafanyika hapo mteja anapaswa kulipa.

Nadhani hiyo Act umeilewa vizuri binafsi sikuoenda kusoma sheria instead niliprefer engineering sababu sheria unatakiwa huwe soft sana ili kuielewa haitaki kukalili kalili Kama wengi was wasomi wetu wanavyofanya.
 
Kama
Na nyie madalali muache tabia ya kusifia nyumba/gari wakati hata hujaliona.
Inatia aibu sana tukifika eneo la tukio
Kama demu ni wako unaachaje kumsifia kwanza ,na wewe mpaka upelekwe kwenye nyumba na ukalipia na ukaingia thus means umeipenda.
 
Kama unahisi madalali wanafanya kazi rahisi yaani spoon feeders kwa nn utafute dalali akusadie ,tafuta nyumba mwenyewe we jamaa wa ajabu kweli kwani umekatazwa kutafuta pambana kama unaona 200k yako ni big ishu hizo akili za kimasikini mwnye hela hata awazi ,ndio maana binafsi siku hizi mtu akinipigia sim anataka nyumba ya kupanga nikiona anaanza kulia Lia mara ooh 20k au 50k ya service charge sina Nina dusiko namjibu jeuri namuuliza boss unataka nyumba ya 100M harafu hauna 50k ya maji twende site are you serious naachana naye au nampgia dalali mwnzng mmoja njaa njaaa sana namwambia Kuna mteja kimeo njoo upige naye kazi.
Hio ndio inatakiwa yani, hawa madalali wanahisigi hela ni nyepesi sana. Yani nikupe laki 2 kwa kunionesha nyumba tu! Na labda usinikutanishe na mwenye nyumba maana nikikutana nae tu umeisha!
 
Waelimieshe hao,kifupi mpangaji ni mpita njia tu lakini dalali na mwenye nyumba mahusiano yao ni ya kudumu miaka na miaka na Kuna nyumba zinamilikiwa na madalali na funguo anazo dalali mwenye nyumba tunamtumiaga hela tu MPesa au Tigo Pesa Hana habari na nyumba yake.
Kwenye nyumba/Mali hawakubali kupokea pesa directly kutoka kwa mteja mpaka dalali awepo.

Na wao wanawategemea madalali kuwaletea wateja kabla yako na baada yako.
 

Kumbe wewe kaka una dharau hivi.
Nilikua nina mpango nikutafute unicheki nyumba nimeogopa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…