Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Alikudanganya..ole wake wakutwe watu wanakulana jela hapo ndio utajua kua hicho kitendo hakifai..watakungutwa hatari...wanaoliwa ni kwa sababu ya njaa njaa zao...Amesema aliyefika, nimemwamini. Ila kuniita mpumbavu unanionea.
Ndio bwana mkubwa..!Sasa wewe jichanganye uitwe jina halafu uitike 'naam' Aisee utapigwa salala moja ya hatari sana. Utahisi mgongo umechanika
Ndio kweliVipi wale matajiri kama kina Seth na Rugemalira, nasikia hawa huwa wanakaa sehemu zao VIP ambako kidogo ni nafuu, hawachangamani na wengine. Ni kweli!???
Yeye alipigwa Kwa njia ipiNnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.
Kuna wababe wa jela, watakutesa hadi mwenyewe unajilengesha. Hasa wasimamizi wa misosi. Unapewa chakula kidogo halafu nacho unanyang'anywa na wababe.
Wakati mwingine, ukiwa umelala, kwa mtindo wa kubanana, jamaa analala karibu na wewe kwa lengo hilo. Kwa kuwa huruhusiwi kupiga kelele mkiwa mmelala, basi mzigo unapigwa kimyakimya.
Sina hakika na haya, laikini msimliaji na ambaye yalimkuta alinisimlia.
mambo ya Fernando SucreHivi jela zetu sijui kwa nini hakuna huduma ya kuruhusu manzi wako aje mnapewa chumba maalumu unamgegeda mkimaliza anaondoka unaendelea na kifungo chako
Ila prison break kali sana kuna yule Theodore bagweli T bagmambo ya Fernando Sucre
Na michezo yako ya kula skanka usiombe upite karibu na wale mbwa wa polisi lazima wakudakishe maana wanazijua harufu Walee.. balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ulikua gereza za town,et jela ni nyumbani unaumwa mavi wewe...
Jela ni jeraha na kama kufungwa wote tumefungwa na tumekaa jela tofauti..
kama ulibahatika ni wewe labda kama ulifungwa FOX RIVER AMERICA.
Kule mzee unavukula skanka mwenzio anatoa shati anaupuliza ule moshi kwa spidi ya panga boi,mbwa haambui kituNa michezo yako ya kula skanka usiombe upite karibu na wale mbwa wa polisi lazima wakudakishe maana wanazijua harufu Walee.. balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So anakuonea anakukosea adabuAmesema aliyefika, nimemwamini. Ila kuniita mpumbavu unanionea.
Wewe uko sahihi pia jamaa yup sahihi kwa asilimia zote ni hivi yaani mtu anakutengenzea mazingira magumu jela mpaka unaamua kukata shauri kumpa anachotaka, ni nyapara mpo shamba unashangaa mtu mda wote yupo mgongoni kwako anakushurutisha na bakora za kufa mtu ili ulime faster na askari hawaingilii hayo kwahiyo unaumia lakini shida ni kwamba nyapara anataka hiya sifuri utoe. All in all jela sio shule so usije mpeleka mwanao.Alikudanganya..ole wake wakutwe watu wanakulana jela hapo ndio utajua kua hicho kitendo hakifai..watakungutwa hatari...wanaoliwa ni kwa sababu ya njaa njaa zao...
Hatar sana boeKule mzee unavukula skanka mwenzio anatoa shati anaupuliza ule moshi kwa spidi ya panga boi,mbwa haambui kitu
Nijifunze kitu hapo, ikitokea nimejiridhisha kuwa nyapara ananitesa kisa zero yangu, nikasema kwa askari, inakaaje hiyo?Wewe uko sahihi pia jamaa yup sahihi kwa asilimia zote ni hivi yaani mtu anakutengenzea mazingira magumu jela mpaka unaamua kukata shauri kumpa anachotaka, ni nyapara mpo shamba unashangaa mtu mda wote yupo mgongoni kwako anakushurutisha na bakora za kufa mtu ili ulime faster na askari hawaingilii hayo kwahiyo unaumia lakini shida ni kwamba nyapara anataka hiya sifuri utoe. All in all jela sio shule so usije mpeleka mwanao.
Kwanza kabisa ikithibitika hizo tuhuma dhidi yake ni za kweli basi taratibu za kinidhamu huchukuliwa kwanza kabisa atavuliwa mkanda ambao ndio unamtambulisha kuwa nyapara hivo hatokuwa kuwa nyapara tena atarudi kufanya kazi za kawaida kama mfungwa yeyote wa kawaida pili atapewa adhabu zilizo ainishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za kimagereza, adhabu hizo inaweza kuwa kupigwa rungu kwa mujibu wa sheria na baada ya hapo kukaa gorigota kwa kipindi cha wiki moja mpaka mbili huku akila chakula nusu ya kile ambacho huwa anatakiwa apatiwe siku za kawaida.Nijifunze kitu hapo, ikitokea nimejiridhisha kuwa nyapara ananitesa kisa zero yangu, nikasema kwa askari, inakaaje hiyo?
Watu wanaongelea mahabusu za gerezan we unaongelea mahabusu za kituo Cha polisi. Tofauti kabisaNyie wote waongo.
Mie nilikaa mahabusu pale Urafiki week mbili na situ 3 maisha yalikua kawaida tu.