Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Wewe ulikua gereza za town,et jela ni nyumbani unaumwa mavi wewe...

Jela ni jeraha na kama kufungwa wote tumefungwa na tumekaa jela tofauti..
kama ulibahatika ni wewe labda kama ulifungwa FOX RIVER AMERICA.
 
KULE UTAOGA KILA UCHWAO NA HAKIKISHA HANA NYWELE POPOTE COZ UKIOGA UNAPEWA NAMBA NA ASKARI SELO,!!
JIONI MKIINGIA UNAKABIDHI NAMBA MNAKAGULUWA NYWELE ZA KWAPA,VUZI OLE WAKO WAKUTE NYWELE NI KICHAPO!!
UNAKAGULIWA CHAWA NA KUNGUNI ILI HALI UMEWAKUTA NAZO
Vifaa vya kunyolea wanagawa wenyewe huko?
 
Vifaa vya kunyolea wanagawa wenyewe huko?
Vifaa vya kunyolea vinauzwa km unafedha unamiliki chako pekea yako!!!
Ila km huna fedha kila selo (zaidi ya watu 20-40) kuna kinyoleo cha selo kile cha buku ukimaliza kunyoa unarudisha kwa askari selo kwa ajili ya mtu mwingine kutumia/kuazima.
Ni hatari kwa magonjwa km huna fedha ila watu wanashea coz nyapara akikuta vuzi au nywele za kwapa ni hatari
 
Kule wiki utaona ni miaka
Niliingia Central ya Mkoa Ijumaa saa 12 jioni, J3 mahakamani na kupata dhamana na kutoka.


Siku 2 na nusu hizo tayar nshavurugwa na vilivyonivuruga ni

1. Kutokujua nje ni saa ngapi! Yani unaona mwanga unajua kumekucha kisha unaona giza unajua kumbe usiku tayari (hili ndio lililo nikonfuzi zaidi akili).

2. Kutokujua nn kinaendelea Duniani, yan ukitoka mle unaelezwa huku nje kulitokea hivi, yule vile hiki vile unatoa macho tu! Unakuwa formated kabisa [emoji3]

3. Kumuona askari kama ndio ndugu, mwokozi na Mungu wako, muda huo huo askari anakuchukulia kama limtu libaya sana kuwahi tokea duniani,

Na vinginevyo vingi
 
Back
Top Bottom