To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sijawahi na sitowahi katu😂 mbona mnaweza sana ila vizuri kama haupigi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi na sitowahi katu😂 mbona mnaweza sana ila vizuri kama haupigi
Kuna jela ukiwahiSijawahi na sitowahi katu
Nipo Urafiki hapa karibu na Ofisi ya Shabib naona limepita Doka likitokea police station nafkiri linaenda chukua wadauMaisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna
Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani
- Kupigwa na wababe
- Kunyang'anywa chakula
- Kuteswa
- Kubakwa n.k ni hapana
"Kwaya kwa waimbaji n.k
- Television ipo
- Draft/bao lipo
- Mpira wa miguu upo
Vile vile watu wanapiga ibada kila siku jioni na asubuhi dini zote kuu mbili kwa muda wao. Na pia baadhi ya watu wanasali/swali haswa kwakuwa tegemeo lao lililobaki ni Mungu tu kuwatoa huko.
Changamoto kubwa ni kisaikolojia
Ile hali ya kupangiwa kila kitu kula, kulala, kuamka, kazi ngumu, adhabu, kuhesabiwa inakera sana unaweza rukwa na akili. Maisha ya mahabusu/ ufungwani ili uishi kwa amani fuata taratibu na sheria zao bila shuruti. Ujuaji na ubishi utabondwa/ utataabika sana[emoji23][emoji23]
- Kukosa uhuru
- Kutoona familia/marafiki
- Papuchi hakuna
- Msosi ni ugali mwaka tena ni mchana tu hakuna supper[emoji23]
- Asubuhi uji bila sugar mwaka
Jela ni kubaya, kugumu usijempeleka mtu kwa kumwonea/kumbambikia kesi ni laana. Pia kama kuna kesi yeyote ambayo unahisi itakupeleka jela jitahidi sana mmalizane uraiani usijepelekwa huko.
Mtu anaonesha ubabe mtaani na kusema "jela siogopi nimeshakaa kwani jela kitu gani??" Ujue huyo mjinga hajawahi pelekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB: Ni machache niliyojua kwa jela hii na kila jela kuna mambo yake
MWISHO
Kule ni nyumbani kwa wote wakati wowote, omba Mungu akuepushe na kule kuzimu ndogo.
Sawa, mekuelewaKuna jela ukiwahi
Asee Afande Alfred Gewe mfyom wa babati kijijini kwao kuna totoz kalii.Jela jela siyo mchezo watu wanapata mateso kulala kwa marungu ,kula kwa mijeledi ,chechela sege dansi nondo gereza inside ndichi ngombe lupango kunapoteketeza.
Yeyote kumfika hukumu inaweza au mkono wa sheria kidogo kuteleza, wanaokwenda jela siyo wote wana hatia wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa....."Hallow afande gewe ebu libambike kesi ya mauaji tupate kidogo kaulaji".
Wakikukera achana nao, maisha mafupi kujipa stressMi nikikerwa huwa napiga wanaume...sa itakuwaje
Kuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Wapi hukoKuna jamaa aliwekwa mahabusu na alisema wazi ukisinzia tuu unakuta umeloa
Msala ganKuna jamaa yetu kipindi tuko chuo alifanya msala akatiwa hatiani akaswekwa ndani. Jamaa ni nunda tena wale madogo wa chuga. Siku moja tuka jiorganize watu kadhaa tukamtembelee jamaa alikua analia tu kimoyomoyo nikasema huyu keshanyooshwa huko.
Hiyo ilinipa picha halisi namna kule ndani kulivyo. Jela sio poa
Toa storyJela sio mchezo ndugu zangu. Nilimweka dogo mmoja Rumande tuu siku tatu nilipokwenda kumuona nikafuta kesi. Hapo ni Rumande tuu [emoji16]
Ulikuwa mshambaSiku hapo msimbazi center ilala nakunja kona wale jamaa wa boda na mabunduki yao hawa hapa wanapiga mkono, paki pembeni vp kunani?
"We umetuchomekea siku ya usalamabarabarani, "
hata sijui mi nimekunja kona yangu niendelee na safari.
Hapo nimepaki africenter ikabidi niwashtue "e bwana mi nna kiu tupate japo moja moja huku tukiongea.
Wakavua magwanda zama bar.
Mule kuelewana nikawapa walichotaka, tunatoka wamevaa migwanda yao wako "si tutazuga gari yako ilikua mbovu tunacheck usalama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]e bana fungua bonet,check oil nawakasukuma ile gari[emoji1787],
gari chaser ilikua one kick drive automatic haina ubovu wowote service nimefanya full siku 5 tu zimepita
Mind you hapo nimepigwa buku 40 tayari bila kosa,
Sukuma kidogo nikawasha imewaka eeh?
Mimi yaah asante sana maafande.[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo nyoso sana full comedy
Huyo Naondoka tunapungiana mkono km hakuna lililotokea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu ibariki Tanzania [emoji120]
Analeta injili kwenye mambo mazito.Unajidanganya wewe
Hii ya sindano na kapumbu uongoKule kuna vyumba spesho kwenda kukubinya mapumbu,kuponda visigino kwa rungu kama la bezbol, kukuwekea nyaya za umeme kene mti na kuchoneka sindano chini ya kucha.
Kupima Ngoma mahabusu yapolisi au mahakamaNakumbuka nilingia mahabusu ijumaa..siku ambayo mahakama inafanya KAZI mwisho saa9..barua za waeka dhamana Wang wawil zote zilikua zimekosewa kdgo..Hakim akasema zikarekebishwe..MDA huo ni saa nane..mpk warud wakakuta nshapelekwa mahabusu teari..nakumbuka siku iyo watuhumiwa wote tulikua wapya Yani tunaingizwa mahabusu mara ya kwanzA baada ya kukosa mdhamana..Yule askar magereza alietupokea siku iyo alikua kalewa kshnz
Anatukana ovyo asa mtuhumiwa mmoja akaulizwa unaitwa nan..akusikia vzur askar bila kupotza MDA alimtoa wenge wa mambata mpk wafungwa na mahabusu wote waligeuka kuangalia nn kimetokea mana lile mbata lilikua kama bomu[emoji16][emoji16]..
Kingine kilichoniboa ni Ile biashara ya kuvuliwa nguo zote unabak uchi mnakaguliwa msiingie na vitu vya kuzuru wengne..kingine ni kupimwa Ngoma taka usitake kama unayo unaanzishiwa doz apoapo
Maliwaton Hamna faragha unakata Gogo uku mnaona..nashukuru nlitoka j3 kuanzia siku iyo niliaapa kuwa mtiifu mtaan nisije rud tena mule..kesi yangu ulikua ni Traffic case..