Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Unajua ile cell ikoje,ni kama darasa hivi kubwa lililo tupu..sasa kulala mnaelekeza vichwa ukutani pande zote mbili katikati mnaacha njia,na mwisho wa cell ndio kuna toilet...sema hakuna magodoro mnalalala chini kwenye sakafu japo yapo machache,mbaya zaidi wanachanganya wafungwa na mahabusu..
 
Daaaah ndo ulale pale usawa wa toilet
 
Zamani niliendaga police kuchukua loss report kabla hizi za kidijitali hazijaja,
Mahabusu wamejazana humo zaidi ya kumi kwenye hicho kichumba nawaona,
Kikaletwa chakula cha flani, flani anaitwa na askari haitiki, hadi mahabusu wakawa wanaita jamani flani, kimya,
Mmoja alikuwa mbele muda wote akasema ni mimi hapa nakiomba,
Askari akasema sio wewe,
Mahabusu wengine wakawa wanacheka,
Mara wataniane na askari,
Inshort tangia nimeingia pale hadi natoka kulikuwa na vibe flani hivi you'd think they're having a good time in there [emoji28][emoji28]
Ukiingizwa hapo ndani ndio utajua sio vibe ni kulazimisha kupoteza mfadhaiko, vibe kifungoni wapi na wapi.

Na inaanzaga hivo hivo utan utani tu, mara hakimu anatamka aende jela miaka 15.
 
Daaaaah pole zake ila sidhani km ni kweli coz hata km celo kumejaa,wakati wa kulala Askari celo anawapanga kichwa juu mwingine chini!!
Sasa mtu alale mpk afanyiwe unajisi huyo ni mjinga sana
Nnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.

Kuna wababe wa jela, watakutesa hadi mwenyewe unajilengesha. Hasa wasimamizi wa misosi. Unapewa chakula kidogo halafu nacho unanyang'anywa na wababe.

Wakati mwingine, ukiwa umelala, kwa mtindo wa kubanana, jamaa analala karibu na wewe kwa lengo hilo. Kwa kuwa huruhusiwi kupiga kelele mkiwa mmelala, basi mzigo unapigwa kimyakimya.

Sina hakika na haya, laikini msimliaji na ambaye yalimkuta alinisimlia.
 
Wadada Hawa Hawa wa bongo?? Ukishaenda jela tu kwake huna maana tena!! [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hawa wadada tu hata mke nenda jela uone.

Ndo maana mi nashangaa mtu anayempa kipaumbele mwanamke maishani mwake kumweka nafasi ya kwanza

Hawa wakikupa utamu wewe wachilimbe kisawasawa piga shoo ya nguvu ni masnitch sana.
 
Nnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.

Kuna wababe wa jela, watakutesa hadi mwenyewe unajilengesha. Hasa wasimamizi wa misosi. Unapewa chakula kidogo halafu nacho unanyang'anywa na wababe.

Wakati mwingine, ukiwa umelala, kwa mtindo wa kubanana, jamaa analala karibu na wewe kwa lengo hilo. Kwa kuwa huruhusiwi kupiga kelele mkiwa mmelala, basi mzigo unapigwa kimyakimya.

Sina hakika na haya, laikini msimliaji na ambaye yalimkuta alinisimlia.
Kama umeamini utakuwa ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom