Nnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.
Kuna wababe wa jela, watakutesa hadi mwenyewe unajilengesha. Hasa wasimamizi wa misosi. Unapewa chakula kidogo halafu nacho unanyang'anywa na wababe.
Wakati mwingine, ukiwa umelala, kwa mtindo wa kubanana, jamaa analala karibu na wewe kwa lengo hilo. Kwa kuwa huruhusiwi kupiga kelele mkiwa mmelala, basi mzigo unapigwa kimyakimya.
Sina hakika na haya, laikini msimliaji na ambaye yalimkuta alinisimlia.