Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

hii ishu kuna mtu alishawahi kusema si kweli kabda uende ukiwa na tabia hzo na akasema kuwa ukifumwa askari mahereza huwa hawatanii
jela mpaka leo watu wanakazwa
kikubwa njaa inawaponza wengi
fikiria mlo mmoja siku nzima tena tonge tu ,halafu unaona kuna wanaokula milo mitatu ndicho kinachowaponza wengi.

tabia ya pili wale mahabusu kukusachi ukiingia ndani wanakuvua kila kitu labda kuwe na mjela jela maarufu anakujua
 
Hatupaswi kuongea masuala kama haya Kwa muktadha wa kusifiaa.

MATENDO HAYO NI LAZIMA YAPIGWE VITA, NA JESHI LA MAGEREZA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI, VINAWAJIBIKA KUHAKIKISHA KWAMBA,UHUNI KAMA HUU HAUFANYIKI.
Sasa mbona unafangika sana na jeshi la magereza lipo haki za binaadam wapo nini wanafanya.?
 
jela mpaka leo watu wanakazwa
kikubwa njaa inawaponza wengi
fikiria mlo mmoja siku nzima tena tonge tu ,halafu unaona kuna wanaokula milo mitatu ndicho kinachowaponza wengi.

tabia ya pili wale mahabusu kukusachi ukiingia ndani wanakuvua kila kitu labda kuwe na mjela jela maarufu anakujua
Mkuu umefungwa lini na wapi!?? Ulichokisema umejaza snaa CHUMVI mkuu nani yaan hadi uvuliwe nguo Gerezaa wapi hadi wanakuvua boksa upo tu!?? Wanakusachi yaan upite wasikupekuwe askari sasa wanaenda kusachi nini hao mahabusu au wafungwa!??

Suala la kuliwa ni unatongozwa na sio eti kinguvu yaan jamaa anakuimbisha kama anavyoimbisha Demu ukilegea anakula

Ulichogusia tena ndio nawasisitiza humu Mwanaume usipende kula kula sana na vyabule utafi.rwa kule!!
 
Jela ingia kibabe , ukicheka na nyani utavunwa na bua
 
Asikuongopee mtu jela/mahabusu mpaka leo watu wanabanduliwa
ukiwa mnyonge fastaa wanakufanya demu wao. na akishaanza mmoja wanaambizana msururu watakugombania sana kila mmoja atataka kuchovya

jela/mahabusu unavuliwa ubingwa pale tu unapoingia ,vijana watakuvamia kukusachi kama una chochote kitu wakupore ,watakusachi kila kona wakikosa watakuvua hata boksa wavae wao wakikuona bado mnyonge mnyonge wanakupelekea moto.

jela usiwe na tamaa na vitu vya watu
chakula jela ni mara moja tu kwa siku na tonge moja tu ukipenda vyakula vya watu wanakukaribisha ila usiku jiandae kuliwa utaliwa utaliwa tena utaliwa tena na tena
kuna dogo alikuwa anajifanya muhuni sana mtaani kapelekwa jela wamemla sana mpaka kahamishwa selo maana nyuma papo wazi sana .

Epuka kupelekwa jela epuka makosa ya kijinga jinga kupeleka jela jela hakufai
Umeyajuaje hayo ya dogo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda jela za huko kwenu DRC....
 
Ndio umetoka?pole kwa yaliyokukuta,ungekausha tu
 
Wewe unachoongelea ni jela za marekani hiz itunaziona kwenye muvi,

Jela za bongo wafungwa wanaishi kistaarabu sio kama hizo muvi ulizocheki

Jela za bongo jaribu kuiga huo upuuzi wa kufi*a kama wamarekani ndio utajua hujui.

kitendo hiki wanakiita kunyatia, ole wakooooo!!!

Maafande watakupa kipigo kizito sana na kesho wanaamka na wewe utapigwa kama paka alieiba samaki za idi / pasaka.

wanaofi*wa wapo jela kama ilivyo huku mitaani ila wengi ni kwa hiari yao ndio tabia yao
 
Mkuu umefungwa lini na wapi!?? Ulichokisema umejaza snaa CHUMVI mkuu nani yaan hadi uvuliwe nguo Gerezaa wapi hadi wanakuvua boksa upo tu!?? Wanakusachi yaan upite wasikupekuwe askari sasa wanaenda kusachi nini hao mahabusu au wafungwa!??

Suala la kuliwa ni unatongozwa na sio eti kinguvu yaan jamaa anakuimbisha kama anavyoimbisha Demu ukilegea anakula

Ulichogusia tena ndio nawasisitiza humu Mwanaume usipende kula kula sana na vyabule utafi.rwa kule!!
Pale maaskari wanakuvua tu mkanda na wanakuandikisha vitu ulivyonavyo
kuna watu wanaficha ela kwenye boksa kwa iyo ukiingia lazima uvuliwe boksa hizo haswa wakikukamata usiku.
 
Back
Top Bottom