jela mpaka leo watu wanakazwahii ishu kuna mtu alishawahi kusema si kweli kabda uende ukiwa na tabia hzo na akasema kuwa ukifumwa askari mahereza huwa hawatanii
kikubwa njaa inawaponza wengi
fikiria mlo mmoja siku nzima tena tonge tu ,halafu unaona kuna wanaokula milo mitatu ndicho kinachowaponza wengi.
tabia ya pili wale mahabusu kukusachi ukiingia ndani wanakuvua kila kitu labda kuwe na mjela jela maarufu anakujua