Mkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikia

Bwana mdogo ni teacher. Ana alikuwa na saving zake million 10. Huyu jamaa mwaka juzi alivyooanza kuleta uzi humu kaanzi Ukraine, katoka Ukraine kaingia Poland halafu baada ya wiki akaleta threads zingine yuko Norway.
Mimi nimeishi na nipo Norway miaka 12 sasa hivi. Na kabla ya Norway nilisoma Ukraine baadaye nikajiachia Hungary. Tulitaka kujiachia Ujerumani lakini tukadakwa mpakani tukajikuta tunaomba hifadhi Hungary.
Bwana mdogo nimemsaidia sana visa ya Hungary imeshindikana.
Yupo humu jamvin. Aliposoma uzi wa jamaa akamfua pm.. Jamaa akamuambia yani huku kazi nyingi na mademu kibao ukifika tu wanakugombania wanapenda waafrika sana na unaoa na unapara passport.
Dogo nikamuonya ampotezee jamaa anamdanganya siyo kirahisi kihivyo. Nilisikitika sana bwana mdogo kunitangaza eti sitaki kumsaidia kuja ulaya.
Jamaa akawapanga akawadanganya ana jamaa yake yuko Dar kumbe ndo yeye atafute na wengine waende kwake na milioni 7 kila mmoja atawasaidia visa ya Poland halafu wakifika Poland anawavusha Norway.
Nikamuonya tena bwana mdogo. Ila Inasikitisha sana jamaa kala 14 m
Tatizo watu wanapenda sana mteremko! Mtu badala afate njia halali ya kuomba visa ama permit ye anataka mtu mwingine tena asiemjua ndio amfanyie kazi hiyo,
Je ulijua wanalipa kodi kiasi gani ili hayo maisha yawe ya raha?Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.
Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.
Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.
Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.
Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].
Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.
Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.
Tz ukilipa kodi inatumiwa kununua wapinzani !!! Silipagi aisee nawakwepa hawa TraJe ulijua wanalipa kodi kiasi gani ili hayo maisha yawe ya raha?
TZ wakiambiwa kulipa kodi kila mmoja anafungua macho kama wameona ziraili!!!
We umewasaidia wangapi kufika hapo mpaka sasa?Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.
Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.
Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.
Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.
Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].
Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.
Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.
Mm natafuta mshikaji mwenye akili za kijasusi kama zangu tuzamie chimbo lolote lile tunalo ona tunaweza kutoboa maisha. PM me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinauwezo mkubwa ila hiyo ni mbinu ya kukamilisha mishen yangu mkuu.Kwamba akili zako za kijasusi hazina uwezo pasipo kusaidiwa na akili zingine?
Wonders shall never cease!
-Kaveli-
Umri kusogea ni kuanzia miaka mingapi?Kama una issue zako zinakuingizia hela kidogo na umri wako umesogea achana na hayo mawazo. You gonna end up frustrated. Been there done that.
Ukishauacha ujana.Umri kusogea ni kuanzia miaka mingapi?
Previously on Per Diem...Ni ughaibuni tena. 'Per Diem' on Air again.
-Kaveli-