Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Ili atuaminishe?? Kama mtu hataki kuamini si basi na asiamini. Anyways najua mwana atafanya ulivyomwambia.Kama upo Norway kweli piga picha mkononi ukiwa umeshika gazeti mojawapo la kila siku la Norway Verden Gang, au Aftenposten😎
Tukamshambuliaa kwa mitusi ya nguoni hahahahaAnafanya kazi/vibarua bandarini.... alisema juzi na picha akatuma.
Tukamshambuliaa kwa mitusi ya nguoni hahahaha
Kwamba alitafuta 2M ya Qnet. Wabongo Sisi wacha tu
Kwa kweli.Mwamba amepapenda sana Norway huyu harudi tena home, nashauri atumiwe vitu vyake vyote huko
Ukifanikiwa na mimi nipigie pandeNa sisi wengine atupendi mkuu mm kama unaweza nisaidia nije uko niwe mbeba box ntashukuru sana
🙌🙌! Hivi hiyo kitaalamu tunaiitaje? Hahahaa aisee....usipoweza ishi Bongo basi Africa hutaishi .full of neg...Tukamshambuliaa kwa mitusi ya nguoni hahahaha
Kwamba alitafuta 2M ya Qnet. Wabongo Sisi wacha tu
Yaani wana wanapenda kuwa negative sana humu. Mara utaambiwa mshamba, mara sijui una show offs mara sijui hivi mara vile. Full of negativities🙌🙌! Hivi hiyo kitaalamu tunaiitaje? Hahahaa aisee....usipoweza ishi Bongo basi Africa hutaishi .full of neg...
Nimekwazika last line!khaa..Ulaya na Marekani kwa upande wangu napendea vitu vitatu tu:
1. Huduma bora za afya. Yaani mtu unaweza kupata shambulizi la kiharusi (stroke) dakika tano ambulance imeshafika ushapigwa MRI tatizo limeshafahamika wanakufungua ubongo mara moja. Na karibu kila hospitali ina uwezo wa kufanya haya maoperesheni magumu hata kama ni kwa dharula.
2. Kutokuwa na rushwa hizi za kijinga. Unahamia kwenye nyumba unapiga simu tu au unalog kwenye mitandao yao unalipa na kila kitu chapu chapu - maji, umeme, mtandao...kila kitu kishafanyika. Yaani unaweza kufanya karibu kila kitu mwenyewe tu tena haraka haraka ushapata huduma. Kinachonichoshaga bongo ni huu utaratibu wa rushwa na nepotism karibu kila sehemu utakayohitaji huduma. Kitu kidogo utazungushwa weee mpaka uchoke.
3. Elimu elimu elimu - hasa kwa sisi wenye watoto....
Mengine yote kwangu huwa simaindi sana kwa sababu huwa naona ni ya kawaida tu. Na nyumbani daima ni nyumbani bana ala!!!
Siri yao kuu ni kuwekeza sana kwenye elimu. Halafu wanafanya kazi sana hakuna longo longo na wanalipa kodi si mchezo. Na hawana huu ufisadi na rushwa kama hii ya kwetu huku. Kodi kweli unalipa na huduma unapata za hali ya juu kuanzia mashuleni, mahospitalini, mabarabara, miji n.k. Na una uhuru wa kuhoji karibu kila kitu.Hongera mkuu. Kweli huko ni kizuri sana. Ikiwa umeweka lengo maalumu utaweza kujifunza vitu vingi ambavyo vitakusaidia utakaporudi. Nyumbani ni nyumbani. Hao wenzetu kuna ambao waliumia sana kuweza kuletaabadiliko hayo. Nasi huku tunapambana usikae sana muda mrefu hujaja mabadiliko yetu yatakushtua.
Fafanua bageshi.Nimekwazika last line!khaa..
Hahaa kwamb eti nyumbani ni nyumbani😶!huo msemo nadhani ushapitwa na wakati...! Hahaaa ..unarudije Africa na mashida yote hayFafanua bageshi.
Unarudi ili uzitatue. Kama kila mtu anakwepa tutabaki nazo kwa muda sanaHahaa kwamb eti nyumbani ni nyumbani😶!huo msemo nadhani ushapitwa na wakati...! Hahaaa ..unarudije Africa na mashida yote hay
Uwe muelewa na wwwe. Yeye kama kaenda awamu hii na analeta mrejesho alichoona huko , shida iko wapi?JF bhana utafikiri watu wameanza kwenda Ulaya awamu ya tano!
Inategemea na mtu na mtu kwa sababu hatufanani. Kwangu mimi nyumbani ni nyumbani tu; na duniani huko huwa nakwenda tu kuosha macho na kurudi. Ni uamuzi tu nadhani; malengo ya mtu na anavyoyachukulia maisha [emoji1545][emoji1545]Hahaa kwamb eti nyumbani ni nyumbani[emoji55]!huo msemo nadhani ushapitwa na wakati...! Hahaaa ..unarudije Africa na mashida yote hay
Ngoja na mimi nijibanze hapa ningoje jibu......Ulaya ulaya tu ,lami kama zote.
Nipe dili mkuu,vipi ukiwa na miaka 50 kuna kazi za kufanya huko?