RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kama Una uwezo tembea ujue dunia ikojeHahahaha...! Ila lazima niende kwakweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Una uwezo tembea ujue dunia ikojeHahahaha...! Ila lazima niende kwakweli!
Sina hakika kama ntarudiKama Una uwezo tembea ujue dunia ikoje
Nakuhakikishia utarudi mbio labda kama unayoandika sio kweli.Sina hakika kama ntarudi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukute sasa per diem mwenyewe yupo sisi kwa sisi hapo Manzese, Kigogo mwembe Jando, kwa binti Kahenga Luanga au Buza Kwa Lulenge.
Heee...kwahiyo anagoogle mipicha anatuma JF[emoji849][emoji849]Huyu jamaa alianzaga kwenye ile id yake nyingine akiwa ukraine halafu akafika Norway. Alichoharibu akaposti picha za mtu yuko Helsinki finland akisema yuko Norway. Watu humu jamvini wakamshutukizia wakamsambulia nakumuambia hizo picha ni za Finland siyo Norway. Toka siku iyo kaingia mitini. Sasa hivi kaja vingine
Mkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikiaIkiwa anadanganya au anasema kweli nn kwako kinakufanya life lisisonge..? Hahaa wanadamu
Hela si unapata?Relief mm kama unaweza nishika mkono do the needful!...maisha ya bongo nimechoka et
pointless hata hapa bongo tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.wenye nacho anambagua asiekua nacho na mwenye position flan anamdharau wa chini.bora uonekani mbwa ulaya ukitafuta maisha bora.kuliko kubaki tz ukiitwa mnyonge ukiwa kwenye ajira tembo mshahara sungura.Wazungu wana ubaguzi sana dhidi ya ngozi nyeusi, sema labda kama una hulka ya kujikombakomba.....vinginevyo utaboreka zaidi ukilinganisha kuishi na jamii ya weusi wenzako..
Uliachoandika ndio maujanja yakufik ulaya?!Shida inaanzia kwa wananchi alafu ndio twende kwa viongozi
Wananchi wanajali Sana siasa kuliko hata wanasiasa.
Alhamudulilah..ila maisha ya huku we huoni yanachosha? Tired
Haya kawe mbwa ulaya...tatizo hawahitaji mbwa koko..pointless hata hapa bongo tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.wenye nacho anambagua asiekua nacho na mwenye position flan anamdharau wa chini.bora uonekani mbwa ulaya ukitafuta maisha bora.kuliko kubaki tz ukiitwa mnyonge ukiwa kwenye ajira tembo mshahara sungura.
kuna ule wizi wa kulowa nguo kama samaki - boxer inapitia dirishani ha ha ha - Bongo balaaSasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba
Hahahahaaaaa......mkuu mwache mwenzio akajaribu bahati yake......😃😃😃Nakuhakikishia utarudi mbio labda kama unayoandika sio kweli.
Nadra sana kunikuta naandika uongo uongo mkuu... hainip ahueni yyt ile .kwani huko nje shida kubwa ni nn? Usinipe habari za upweke sijui kutengwa! Mm ndo maisha yangu yako hvyo ..nipe sababu zingine!Nakuhakikishia utarudi mbio labda kama unayoandika sio kweli.
Mna shida sehemu si bure! Kweli kbs mna shida! Mm sijawa desperate kias hicho nimpe mtu hela aisee neverMkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikia
Acha kujidanganya, ukienda huko unakuwa mtumwa wa mfumo na ni vigumu kutoboa kwa ngozi nyeusi. Pesa unayopata inaishia kulipia nyumba na bili za maji, umeme, gesi, hapo inabidi upige vibarua kama mbwa na wakati mwingine kazi za usiku na baridi kali. Kupata kazi kwenye mfumo rasmi wa ajira ni ngumu labda uwe kichwa hasa.....wengi ambao mna wenge mnakuwa hamjawahi kufika, mmepashuhudia ulaya kwenye TV au kusimuliwa na watu kama mleta mada...Nadra sana kunikuta naandika uongo uongo mkuu... hainip ahueni yyt ile .kwani huko nje shida kubwa ni nn? Usinipe habari za upweke sijui kutengwa! Mm ndo maisha yangu yako hvyo ..nipe sababu zingine!
Kinachonisukuma kwenda huko wanalipwa vyema sana..sina kazi nayoishindwa sijui nione kjnyaa nop..sina hizo! Imagine ww unakzania walau kwa mwezi upate faida ya 3m.
Lakini wenzetu hako ni kamshahara ka masiku ..!imagine!
Hakuna shida yoyote mkuu tena hela ipo nje nje. Nenda tu, ila ninachosema ni hiki KAMA UNA UWEZO WA KUINGIZA PESA YA KUENDESHA MAISHA YAKO BILA MAWAZO NA UMRI UMESOGEA USIENDE. Ila kama maisha yako ya kuungaunga huna famili,umri bado chini ya 30yrs nenda kabahatishe.Nadra sana kunikuta naandika uongo uongo mkuu... hainip ahueni yyt ile .kwani huko nje shida kubwa ni nn? Usinipe habari za upweke sijui kutengwa! Mm ndo maisha yangu yako hvyo ..nipe sababu zingine!
Kinachonisukuma kwenda huko wanalipwa vyema sana..sina kazi nayoishindwa sijui nione kjnyaa nop..sina hizo! Imagine ww unakzania walau kwa mwezi upate faida ya 3m.
Lakini wenzetu hako ni kamshahara ka masiku ..!imagine!