Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Ukiridhika na maisha ya uswahilini..you're done..unaukaribisha umasikini

Uswahilini iwe kama stepping stone kipindi cha kujitafuta ili mambo yakikaa fresh unahamia sehemu zilizotulia lakini kamwe usiridhike na kuishi uswazi
Jamii nyingi ya uswahilini ni jamii ya kiislamu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
kipimo cha uswazi ni kelele , pilikapilika ya watu mara huyu kapita huku mara yule kule, wanawake wanavaa madelaa, duka flani linauzwa sigara hadi panadol, nyumba hazijapangiliwa , vijana na syltle zao za nywele, unamka asubuhi unarudi jion vijana wapo tu wanakula story za mafanikio na watu waliofanikiwa wanazungumzwa sana huko na hatari kuliko zote ni videmu vya huko ukipiga mtupo huru tu kesho unamka na UTI, ila pamoja na shida zote hizo uswaz ni sehemu ya watu wenye furaha na wengi wana vipaji vya asil
UTI haimbukizwi kwa njia ya kujamiana
 
Mimi nilikuwa nikivaa suruali za vitambaa na mashati mikono mirefu. Siku moja moja napiga tai. Niliitwa majina mengi sana, baba mchungaji, mwinjilist nk. Nilikuwa naonekana tofauti kabisa katikati ya vijana wa uswazi. Nilichofaidi uswazi ni papuchi... nisingekuwa na aibu kuna familia ilikuwa nile mabinti na mama yao. Kwa mama nilijizuia sana... pia uswazi raha yake ni upatikanaji wa huduma ndogondogo. Msosi, vinywaji, vocha na mambo mengine madogo madogo hupatikana muda wowote.
 
Uswazi ukiwa na buku jex unashiba vizuri tu
 
Uswazi kwetu!
Supu za mimba za ng'ombe!
Sembe la hamira mboga pandu na nyanya masalo, ukichoma ngulu unalaaniwa mtaa!
mzima
mlango wa chooni pazia la kipande cha junia au kiroba! Kona ya mti nyeusi kwa kukokona! Ukiingia utakutana na makimba mengine kama koni, makimba mengine gololi zilizo changanyika na damu na makamasi.....
Ukisha yaruka makimba ili unye salama urojo wa mavi usikurukie unafunika na gazeti....
Uswazi kwetu....!
Nasty af
 
Kaka basiiiii umeeleweka🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂Naijeria kama naijeria!!!!!Kijichi sehemu poa sana kaka
Kijichi ni sehemu poa sana,basi tu!! Kutamu sana,jioni nilikuwa naenda zangu kule chini beach kupunga upepo,kule kwa Filikunjombe kwa chini! Daah yalikuwa matamu sana yale maisha na x wangu Sophia
 
Kijichi ni sehemu poa sana,basi tu!! Kutamu sana,jioni nilikuwa naenda zangu kule chini beach kupunga upepo,kule kwa Filikunjombe kwa chini! Daah yalikuwa matamu sana yale maisha na x wangu Sophia
Kaka kijichi ni sehemu poa sema ipo underrated!!!Daah umenikumbusha yule dada mke wa Mh D Filikunjombe alikua mnyonge sana jamaa alipopata ile ajali!!!!Kule beach kila jioni tulikua tunapeleka mbwa evening walk!!!Shout to my homiez Raheem the thuggie a.k.a baba midogi🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom