Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Mkuu Nelson Jacob lushasi itabidi nifike huko nifanye survey maana huko kutakuwa funika.
Hapana tunaishi kawaida tu kama watanzania wengine!!!Sema watu wasiojua maisha na watu wenye viburi vya mafanikio wanawaona watu wa uswazi kama watu wa hali ya chini saana katika nyanja zote!!!Huwezi amini kwa mfano mimi binafsi kipato changu nawazidi asilimia 90% ya washikaji na masistaduu wanaonidiss nakaa mbagala!!!!Wao wamepanga sinza,kinondoni,mikocheni!!!Afu mimi nina mjengo chamazi!!!
 
Back
Top Bottom