Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Wengi mmeongopa sana kuhusu uswazi au neno uswazi halijaeleweka kwenu .

Eti uswazi ukute kimba chooni ? Nop wadanganye wa kwenu .

Eti uswazi wana style zao za kunyoa hasa vijana ? Acha uongo uswazi unyoaji wengi uwafuatisha wasanii

Eti uswazi sijui bla bla gani , punguzeni kukariri maisha wakati wengine mmetoka huko vijijini mnakunya kwenye misitu leo mnajifanya kuyashangaa maisha ya uswazi .

Sifa za uswazi ni hizi .

Mazoea yaliyopita mipaka kwa watu wake .

Matusi kwa rika zote si babu wala bibi .

Maisha ya bei za chini sana mfano kupata sukari ya mia .

Watu kuishi chini ya dollar ila maisha yanaenda .

Uchawi hasa kwenye viduka vyao yaani tunaita chuma ulete.

Watu wa huko kupenda masherehe yasiyokwisha tunaita shughuli .

Elimu kwa watoto wa kule sio kipaumbele kwa wazazi .

Ukabaji na wizi uliokithiri .

Kujiita majina ya wasanii wa mbele mara Fatuma kuitwa Fetty Rish .

Kupata vitu vya ndani kwa bei za chini kupita kawaida .

Haya nayaeleza kupitia exprience yangu huko KEKO, TANDIKA , TEMEKE na kwingineko katika viunga vya jiji la dasalam

Mkuu uko keko nilipashindwa in two week bangi zinapulizwa dirashan kwako na ukiwafokea ugomvi
 
Unataka kuja kunitembelea? We jua naishi uswaz inatosha tu. Huku kila siki sherehe kama sio birthday ya mwajuma, basi ngoma ya asha na barabara ya mtaa inafungwa

Huko sherehe mmezibalisha jina et utasikia leo jirani kuna laana [emoji23][emoji23][emoji23] dah nilicheka sana nilipojua maana ya laana
 
Unataka kuja kunitembelea? We jua naishi uswaz inatosha tu. Huku kila siki sherehe kama sio birthday ya mwajuma, basi ngoma ya asha na barabara ya mtaa inafungwa
Nataka nikukaribishe huku kwetu mbagala kiburugwa njia panda ya kutokea buza kwa mparange na buza kwa mama kibonge!!!Ujionee tofauti za uswazi!!!!Karibu sana Nafaka!!!
 
Huko sherehe mmezibalisha jina et utasikia leo jirani kuna laana [emoji23][emoji23][emoji23] dah nilicheka sana nilipojua maana ya laana
Uswaz watu wana pesa acha kabisa. Na kila sherehe mabinti wanapga vijora vipya. Hawawazi kujenga sijui mijumba mikubwa, sijui wanunue magari. Life simple na wako happy tu... Eti laana 🤣🤣
 
Habari za mchana,

Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana kuna.

Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia mtu hila hodi anatoa taarifa nachukua mboga kule nini ugali kidogo nilishangaa ase akaona pembeni kuna matunda akabeba.

Ikabidi nimuulize mwenyeji wangu hivi huku ndio maisha gani haya mnaishi mtu anaingia kama kwake anachukua vitu kiholela holela why akawa anacheka.

Siulizi kwa ubaya hila nataka kujua hizo tabia za kienyeji zinatokaga wapi?

[emoji23][emoji23]So mwana hakutoa jibu n Kwann
 
Uswaz watu wana pesa acha kabisa. Na kila sherehe mabinti wanapga vijora vipya. Hawawazi kujenga sijui mijumba mikubwa, sijui wanunue magari. Life simple na wako happy tu... Eti laana [emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23] hiyo nilisikia kwa mfanyakaz mwezet job ilikuwa jumapili sasa kaja kasema mimi leo sitoki mapema nitakuwa wa mwisho mtaani kuna laana leo [emoji23][emoji23][emoji23] nikastuka laana ndio nini akajibu kwa lafudhi ya uswahilini si kigodoro [emoji23][emoji23]
 
Mademu wa uswahilini hawana maana full mikosi Mimi gheto langu atii mguu Mtu anayeitw demu wa uswazi wamewaharibia watu wengi future ya Maisha.
Unaposema mademu wa uswahilini hawana maana????Unamaanisha nini?????Na unaposema wamewaharibia maisha unamaanisha nini?????Mbona sisi hao hao mademu wa uswazi Mbagala,Buza,Mwananyamala,Keko na Mikocheni A pale king,oko street ndio walitupa connection za kupiga hela ndefu!!!!!Au mademu wa uswazi unamaanisha nini????
 
Back
Top Bottom