umenikumbusha bro!Nmekaa kaa kizushi mtaa wa Nigeria! Karibu na makaburini pale
Umeongea ukweli mtupuu.. wengi humu hawajui maana ya uswazi.kuna kipindi niliishi kinondoni moscow. haya aliyoyasema mtoa mada hakuna..huko vijana ni wazembe wanapenda vitongaa.. na hakuna kuogopana..mambo ya kuibiana miaka hii hakuna huku unaweza tembea hata saa tisa na hukabwi.watu wamestarabika.nilishakaa na maofisa nyeti kabisa na familia zao zipo hapo mpaka kesho.watu wanaishi kwa upendo.imani za kishirikina zipo kwa wingi..vijana wao wengi wapo south africa au mabara ya ulaya mpaka kesho wanachukuana.Wengi mmeongopa sana kuhusu uswazi au neno uswazi halijaeleweka kwenu .
Eti uswazi ukute kimba chooni ? Nop wadanganye wa kwenu .
Eti uswazi wana style zao za kunyoa hasa vijana ? Acha uongo uswazi unyoaji wengi uwafuatisha wasanii
Eti uswazi sijui bla bla gani , punguzeni kukariri maisha wakati wengine mmetoka huko vijijini mnakunya kwenye misitu leo mnajifanya kuyashangaa maisha ya uswazi .
Sifa za uswazi ni hizi .
Mazoea yaliyopita mipaka kwa watu wake .
Matusi kwa rika zote si babu wala bibi .
Maisha ya bei za chini sana mfano kupata sukari ya mia .
Watu kuishi chini ya dollar ila maisha yanaenda .
Uchawi hasa kwenye viduka vyao yaani tunaita chuma ulete.
Watu wa huko kupenda masherehe yasiyokwisha tunaita shughuli .
Elimu kwa watoto wa kule sio kipaumbele kwa wazazi .
Ukabaji na wizi uliokithiri .
Kujiita majina ya wasanii wa mbele mara Fatuma kuitwa Fetty Rish .
Kupata vitu vya ndani kwa bei za chini kupita kawaida .
Uwepo wa watu ambao ni wababe wa mtaa yaani unaweza ibiwa usiku asubuhi ukaripoti kwa hawa wababe na ukapata mali yako safi .
Uswazi hakuna mtu atakuuliza unafanya kazi gani ? Zaidi usiwe mtu official sana kimavazi sababu watakuita wa kishua na pia watakuhisi ni usalama sababu hiyo kazi sio mtoto wala mkubwa wote wanaijua .
Uswazi kila ukipiga story na watu wa huko si ajabu kila mtu kukuambia ana nduguye ni afisa usalama
Uswazi sio polisi wala baka baka yaani wajeda hawaogopwi na pia wanakaa vijiweni kula story na wana mtaa ikabidi hata ganja wanavuta wote
Cc .keko magereza na askari wake hasa vijana .
Uswazi hawaogopi cheo chako ila wanaogopa hela yako kwa msemo wa dolari zako tu .
Uswazi kila familia ina ndugu alizamia nje hajarudi mpaka leo .
Uswazi kwa dar wengi ni waislamu isipokuwa wachache sana hasa watu kuja waliowahi mjini zama zile
Uswazi ishi na rika zote vizuri hutajutia ila ukijitia huna muda na wana mtaa huwezi kuendelea utaibiwa mpaka ukome
Uswazi si ajabu choo kimoja kutumika na nyumba tatu kwa mpigo na ratiba ya usafi inazihusu nyumba zote .
Ukifika uswazi usikubali kusema unatoka mkoa gani sema ni wa dar utaheshimika kiasi chake ila kujitabanaisha mkoa utokao wao uanza kukuhisi wewe ni mshamba .
Oya jamani dar asilimia 80% ni uswazi japo kila sehemu inatofautiana uswahili wake hivyo msijipe presha wengi wenu mnaishi uswahilini tu ila hamjajua tu.
Haya nayaeleza kupitia exprience yangu huko KEKO, TANDIKA , TEMEKE na kwingineko katika viunga vya jiji la dasalam
Wale wa Masaki tukutane hapa tukumbushane enzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe wa kishua!!!Sisi wazawa wa Nigeria
,π€£π€£π€£π€£πUnajikataa sasa kakaSio mshua mimi[emoji23][emoji23]
Kivipi Mkuu, tuambie tujifunzeMademu wa uswahilini hawana maana full mikosi Mimi gheto langu atii mguu Mtu anayeitw demu wa uswazi wamewaharibia watu wengi future ya Maisha.
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Unajikataa sasa kaka
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nasty af
Usinywe choya ukaangusha gari! itafunguliwa boot hadi....mi naishi vingunguti machinjioni jamani, raha za kule we acha tu.
Natural beuty wakati ndo wanaongoza kwa mikorogo?,[emoji1787]Binafsi naishi uswazi mademu wa huku wananikosha sana, kwanza wamejaliwa alafu natural beauty pili ule uvaaji wao hatar sana tatu sio ngumu kuwapata hasa ukiwa mcheshi.
Morocco Ni uswazi? Angekusogeza Mwananyamala ungebadili kauli.Nilikuwa natafuta chumba maeneo ya morocco duh nikapelekwa huko ambapo chumba bei rahisi hila sasa pamekaa kichafu sana theni watu wamekaa vibalazani wote wanakushangaa wewe
Fix...umenikumbusha bro!
Kuna siku nilikuwuwa na dem hela ya gesti iliunganishwa jwa malipo ya demu hivyo tukaenda kwenye machaka ya makaburini!
Wakati nakula mzigo akaja msera akaa pembeni kidogo sana akaanza kuvuta bange!
Nikamwambia demu tuhame, akasema nikiinuka silali tena nasepa!
Nikaona isiwe tabu....
Yule msela Akaanza kuinuiza, bange nipe nguvu sitaki ujinga, firauni alikojoa pakaota mmea mtakatifu ukaitwa bange, anaesema bange haramu haramu yeye na mamake!......
Uswazi kwetu!
Morocco Ni uswazi? Angekusogeza Mwananyamala ungebadili kauli.
Kijichi ni ushuani kabisa brother, maana ni zone moja kuanzia mgeninani hadi mikwambe kigamboni. Zinafanana kuanzia barabara, mpangilio wa nyumba, maduka hadi wenyeji wenyeweKaka kijichi ni sehemu poa sema ipo underrated!!!Daah umenikumbusha yule dada mke wa Mh D Filikunjombe alikua mnyonge sana jamaa alipopata ile ajali!!!!Kule beach kila jioni tulikua tunapeleka mbwa evening walk!!!Shout to my homiez Raheem the thuggie a.k.a baba midogiπ€£π€£π€£π€£ππππ
Mwananyamala.Kuna upande wanapanaitwa bwawani