Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Hapa dar es salaam hakuna sehemu ambaya hakuna uswahilini hakuna.naalafu watu humu na drama sana wenyewe kukaa uswahilini ya kimara ubungo na mbezi wanaona wako ushuani[emoji16]

Nionyeshe uswahilinj ya Upanga
 
Ai
Aisee
 
Humu wengi ni waigizaji wa maisha ya kifahari kumbe wote Uswazi Moja,mtoa mada wewe ni Mswazi komredi kindakindaki kama mimi tu usipakatae kwenu nakuzoom tu inavyojikana.
Ushahidi, mada iliyoongelea mtu, kushika miliini kumi ya pamoja, watu wengi walitoa ushuda wa kuto shika 10 M, ya pamoja.

Niliwashangaa wanavyoziponda IST zetu, hata leo ukisoma maoni ya wachangiaji wengi utaona kumbe, member's wengi humu ni Watu wa maisha mazuri.
 
Huko kwenu Uzunguni, mtua akivaa suruali isyo ya kitambaa mnamuutaje.
 
SISI TUSHAZOEA MAISHA HAYO,KULA PEMBEZONI WA CHOO,KULALA BARAZANI NA BOXER,HUYU ANASIKILIZA TAARABU,HUYU ANACHEKI MOVIE YANI KELELE HADI RAHA,KUMTONGOZA MAMA MWENYE NYUMBA ILI AKPUNGUZIE KODI,NYIE WATOTO WA KISHUA ACHENI KUJA USWAZI HUKU HAKUWAFAI HIVI ULISHAWAHI KULA UGALI NA CHUMVI??
 
Ukiridhika na maisha ya uswahilini..you're done..unaukaribisha umasikini

Uswahilini iwe kama stepping stone kipindi cha kujitafuta ili mambo yakikaa fresh unahamia sehemu zilizotulia lakini kamwe usiridhike na kuishi uswazi
Kwa hapa dar ukiondoa upanga, obey, masaki, posta, mikochen, mbezi beach, ununio, kinondoni,,,, je ni maeneo gan ambayo ni middle class ambapo ni pazuri kuishi?

NB, :isiwe kimara, tegeta, & tabata.
 
Bila kusahau "uswahilin kila uchochoro utaopita kuna harufu ya mavi balaa. Mfano manzese hata ukiwa kwny gari, ukifika maeneo yale utajua nko manzese mana hali ya hewa inabadilika kabisa.
 
Kwa hapa dar ukiondoa upanga, obey, masaki, posta, mikochen, mbezi beach, ununio, kinondoni,,,, je ni maeneo gan ambayo ni middle class ambapo ni pazuri kuishi?

NB, :isiwe kimara, tegeta, & tabata.
Sijaelewa mantiki ya swali lako lakini ngoja nijibu

Kuna sehemu nyingi tu kama Sinza,Mbezi,Goba,Kawe nk.
 
Ukiishi kisomi uswazi unajikuta mpweke sana
 
Umeamua kututusi wakazi wa kwa aziz ally? Ungeongelea tabia za kiswahili bila kutaja mitaa sio wote huku tuna tabia hizo
SIJAPENDA
 
Bila kusahau "uswahilin kila uchochoro utaopita kuna harufu ya mavi balaa. Mfano manzese hata ukiwa kwny gari, ukifika maeneo yale utajua nko manzese mana hali ya hewa inabadilika kabisa.
Na kunanuka umaskini mno. Akili za watu wa uswahilini sio za kusogea mbele. Wengi wetu tukipata hela tunahama uswazi. Ukiendelea kukaa unarudishwa nyuma kifikra.
 
Kipindi bado najitafuta miaka ya nyuma kidogo nilikua napenda sana kuishi uswazi maana hakuna anaenifuatilia ila ukizoea kule ebhana dah maisha ya kawaida unayaona magumu.

Ilifika stage nikawa nalala mlango wazi muda wote usiku nakula bhange na hakuna kenge alikua anasogelea mlango ila nikaja kubadilika bi mkubwa alikuja kunitembelea akanishauri kukaa kule ni kujipotezea malengo hapo ndipo nikastuka na kuyaaga maisha ya uswazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…