Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

Gospel KTV

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
343
Reaction score
493
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.

Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?

Unamhitaji Yesu ndugu yangu usijifanye mjanja. Yesu atakusaidia wakati wa shida au taabu yako.

Methanol 7:
24 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;

25 mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba.

26 Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga;

27 mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
 
Naam Mtumishi:
Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima:
Yohana (Joh) 8:24
Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.
I said therefore unto you, that ye shall die in your sins: for if ye believe not that I am he, ye shall die in your sins.

Wanamacho lakini hawaoni
Wanamasikio lakini hawasikii
Tuliwapigieni ngoma lakini hamkucheza
 
Amina sana mtumishi
 
... zaka na sadaka vimekuwa kero na kikwazo katika nyumba za ibada! Somo kuu limekuwa UTOAJI na UTAJIRI badala ya WOKOVU!
 
Back
Top Bottom