Karibu nafasi zipo dadaππ timu utaijulia huku hukuUnashabikia team gani??
Uwanja ni comfy Arena white carpet hy... Weeh wanagalauka TU...nyieeππNimecheka kwa sauti[emoji38][emoji38][emoji38]
Na mechi zilikua ni old traffod[emoji38][emoji38]
Mpaka unajiuliza ina maana mechi zote zile hakutosheka auπππUwanja ni comfy Arena white carpet hy... Weeh wanagalauka TU...nyieeππ
Analiwa na sele moyo kampa Jabiri shenz SanaππMpaka unajiuliza ina maana mechi zote zile hakutosheka auπππ
Hapo ulifeli mwanangu πππAnaliwa na sele moyo kampa Jabiri shenz Sanaππ
Hapo ulifeli mwanangu πππ
Sele alikuzidi maujuziiiii aiseee
Kama ndio hivo wewe ulikua unashika kitengo gani maana cha mambo ya ndani kilikushindaπππNamaanisha kila mtu anachake pale... Dada alikuwa katugeuza Kama wizara.. Hy ya maji yule ya usafiri na uchukuzi ππ.
Alaaniwe umbwa yule
Me ndio sele mnyama nilieshika kitengo nyeti ...Michezo na Burudani ila Jabiri alishinda moyo wake ππ . Nashkuru nliupiga mwingi Sana πKama ndio hivo wewe ulikua unashika kitengo gani maana cha mambo ya ndani kilikushindaπππ
Labla aliona mtendaji wa sekta ya ndani ni muhuni akaogopa kuukabidhi moyo akakukabidhi kingineπππhongeraMe ndio sele mnyama nilieshika kitengo nyeti ...Michezo na Burudani ila Jabiri alishinda moyo wake ππ . Nashkuru nliupiga mwingi Sana π
Aliniona Paroko Mushenzi ππLabla aliona mtendaji wa sekta ya ndani ni muhuni akaogopa kuukabidhi moyo akakukabidhi kingineπππhongera
Aiseeeeeeππππndio sababuAliniona Paroko Mushenzi ππ
Labda nibadilike niwe kenge TU Mana siwaaminigi Tena akina Nyie ππAiseeeeeeππππndio sababu
Badilika ukabidhiwe wizara zote sasa
Why?Bado sijaoa ila mpaka muda huu sitaishi na dream wife.
Wewe umeolewa malkia Carleen?
Tafuta kadada kashamba ukaeke ndani tatizo unatafuta pisi kali haina namna hata ukiwa mamba ni sawa tuuπLabda nibadilike niwe kenge TU Mana siwaaminigi Tena akina Nyie ππ
πππ Nimeangaliaa Hy pic yako nkafurah sana ... Yani nkiongeza herufi "G" teyari we ndo huyo mdada unaemsema.ππTafuta kadada kashamba ukaeke ndani tatizo unatafuta pisi kali haina namna hata ukiwa mamba ni sawa tuuπ
Shida ndio itaanzia hapo sasaπππsi nimekwambia tafuta kabinti kashamba auβ¦ unataka uje kunifungulia thread huku nnπππππ Nimeangaliaa Hy pic yako nkafurah sana ... Yani nkiongeza herufi "G" teyari we ndo huyo mdada unaemsema.ππ
Shida ndio itaanzia hapo sasaπππsi nimekwambia tafuta kabinti kashamba auβ¦ unataka uje kunifungulia thread huku nnππ
Kama huyo ulimshindwa mimi ndio utanipeleka polisi aiseeeπππ ni zaidi ya vuruguuuuuMe napendaga wasumbufu Mana moyo wangu bila ghasia sio moyo kabisa ..... Ongeza "G" hapo mwisho ππ