Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Hakunaga dream wife wala dream husband..hizo ni crap illusions tuu people create in their mind..exists only in virtual imaginary world ...not in real world..yan unajiumbia ka mtu kako ambako hakapo kwenye dunia unayoishi..

Duniani tuna deal na real matters..watu halis sio hawa wa visualization...

Dream money is real... haya mengine nadhan ni ya kuachana nayo yajipambanie yenyewe
 
Kama ndio hivo wewe ulikua unashika kitengo gani maana cha mambo ya ndani kilikushinda😆😆😆
Me ndio sele mnyama nilieshika kitengo nyeti ...Michezo na Burudani ila Jabiri alishinda moyo wake 😂😂 . Nashkuru nliupiga mwingi Sana 😂
 
😁😁😁 Nimeangaliaa Hy pic yako nkafurah sana ... Yani nkiongeza herufi "G" teyari we ndo huyo mdada unaemsema.😂😂
Shida ndio itaanzia hapo sasa😆😆😆si nimekwambia tafuta kabinti kashamba au… unataka uje kunifungulia thread huku nn😆😆
 
Back
Top Bottom