Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu nafasi zipo dada😋😋 timu utaijulia huku hukuUnashabikia team gani??
Uwanja ni comfy Arena white carpet hy... Weeh wanagalauka TU...nyiee😂😂Nimecheka kwa sauti[emoji38][emoji38][emoji38]
Na mechi zilikua ni old traffod[emoji38][emoji38]
Mpaka unajiuliza ina maana mechi zote zile hakutosheka au😆😆😆Uwanja ni comfy Arena white carpet hy... Weeh wanagalauka TU...nyiee😂😂
Analiwa na sele moyo kampa Jabiri shenz Sana😁😁Mpaka unajiuliza ina maana mechi zote zile hakutosheka au😆😆😆
Hapo ulifeli mwanangu 😆😆😆Analiwa na sele moyo kampa Jabiri shenz Sana😁😁
Hapo ulifeli mwanangu 😆😆😆
Sele alikuzidi maujuziiiii aiseee
Kama ndio hivo wewe ulikua unashika kitengo gani maana cha mambo ya ndani kilikushinda😆😆😆Namaanisha kila mtu anachake pale... Dada alikuwa katugeuza Kama wizara.. Hy ya maji yule ya usafiri na uchukuzi 😂😂.
Alaaniwe umbwa yule
Me ndio sele mnyama nilieshika kitengo nyeti ...Michezo na Burudani ila Jabiri alishinda moyo wake 😂😂 . Nashkuru nliupiga mwingi Sana 😂Kama ndio hivo wewe ulikua unashika kitengo gani maana cha mambo ya ndani kilikushinda😆😆😆
Labla aliona mtendaji wa sekta ya ndani ni muhuni akaogopa kuukabidhi moyo akakukabidhi kingine😆😆😆hongeraMe ndio sele mnyama nilieshika kitengo nyeti ...Michezo na Burudani ila Jabiri alishinda moyo wake 😂😂 . Nashkuru nliupiga mwingi Sana 😂
Aliniona Paroko Mushenzi 😁😁Labla aliona mtendaji wa sekta ya ndani ni muhuni akaogopa kuukabidhi moyo akakukabidhi kingine😆😆😆hongera
Aiseeeeee😆😆😆😆ndio sababuAliniona Paroko Mushenzi 😁😁
Labda nibadilike niwe kenge TU Mana siwaaminigi Tena akina Nyie 😁😁Aiseeeeee😆😆😆😆ndio sababu
Badilika ukabidhiwe wizara zote sasa
Why?Bado sijaoa ila mpaka muda huu sitaishi na dream wife.
Wewe umeolewa malkia Carleen?
Tafuta kadada kashamba ukaeke ndani tatizo unatafuta pisi kali haina namna hata ukiwa mamba ni sawa tuu😆Labda nibadilike niwe kenge TU Mana siwaaminigi Tena akina Nyie 😁😁
😁😁😁 Nimeangaliaa Hy pic yako nkafurah sana ... Yani nkiongeza herufi "G" teyari we ndo huyo mdada unaemsema.😂😂Tafuta kadada kashamba ukaeke ndani tatizo unatafuta pisi kali haina namna hata ukiwa mamba ni sawa tuu😆
Shida ndio itaanzia hapo sasa😆😆😆si nimekwambia tafuta kabinti kashamba au… unataka uje kunifungulia thread huku nn😆😆😁😁😁 Nimeangaliaa Hy pic yako nkafurah sana ... Yani nkiongeza herufi "G" teyari we ndo huyo mdada unaemsema.😂😂
Shida ndio itaanzia hapo sasa😆😆😆si nimekwambia tafuta kabinti kashamba au… unataka uje kunifungulia thread huku nn😆😆
Kama huyo ulimshindwa mimi ndio utanipeleka polisi aiseee😆😆😆 ni zaidi ya vuruguuuuuMe napendaga wasumbufu Mana moyo wangu bila ghasia sio moyo kabisa ..... Ongeza "G" hapo mwisho 😂😂