Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

Kuto kulipa kisasi ni jambo la kufikirika tu,ila kiuhalisia haliwezekani.

Huwezi kumfurahia aliye kuwa anakupiga vita usifanikiwe kimaisha,ikitokea ni kinafiki tu,tena nina kuwa namlia timing,akijaa tu iliyokuwa nia yake mbaya kwangu na mpatilizia yeye au uzao wake.
Hii ndo inakamilisha ule msemo wa mbaya ni mbaya tuu hakunaga mbaya nzuri
 
Na wewe usipende kuombaomba, huwa inakera kua ombaomba.

Mkitoboa ndo kama hivi mnakuja kutusema, sometimes tujifunze kujipigania ili usione watu wabaya.

Unaehisi anacho kumbe nae hana, na kuna wale hawawezi kukwambia hana ila ananyausha tu.
 
Umeongea vizuri hapo kwenye Mungu ndo hujaeleweka yote uliyoongea yamenikuta simu nimefunga Ila nipo hewani ukinitext unanipata nikuchambue kwanza una umuhimu nikutafute au nikupotezee.
 
Na wewe usipende kuombaomba, huwa inakera kua ombaomba.

Mkitoboa ndo kama hivi mnakuja kutusema, sometimes tujifunze kujipigania ili usione watu wabaya.

Unaehisi anacho kumbe nae hana, na kuna wale hawawezi kukwambia hana ila ananyausha tu.
Mkuu Vishu Mtata mimi hii nimeandika tuu lakini haihusiani kabisa na maisha nnayoishi
 
Umeongea vizuri hapo kwenye Mungu ndo hujaeleweka yote uliyoongea yamenikuta simu nimefunga Ila nipo hewani ukiinitext unanipata nikuchambue kwanza una umuhimu nikutafute au nikuporezee.
Kwahiyo hupatikani kabisa na mtu yoyote
 
Back
Top Bottom