Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 983
ndio maana kila baada ya mda huwa nabadilisha namba
Nimejifunza hili kwa njia ngumu sana!Kama huongezi thamani kwa mtu hakuna mwenye mpango na wewe
Naam kuna wapuuzi lazima walambishwe vumbi akili ziwakae sawa wasije kujiona washindiLazima discipline tuirudishe kwa namna yoyote 😀😀😀
Maisha ya sasa ukiyaangalia utagundua marafiki zako wengi mnakutana kwenye matukio kama sherehe au misiba, hii inaashiria upendo na ukaribu wa watu unapungua siku hadi sikuNaam kuna wapuuzi lazima walambishwe vumbi akili ziwakae sawa wasije kujiona washindi
Mchawi pesa sio 😀😀Ushajua wabaya alafu unataka urafiki waje.We unachotafuta kuzikwa hai.View attachment 3626535
ni kweli watu wanakuja kwako kwasababu kuna vitu wanategemea kupata wasipopata wanakuchukia na kutaka kukuagusha binadamu wabinafsiWatu wanataka uhakika wa mambo yao wakiona husomeki wanakimbia
Jamaa ako huyo anajifunza kwa njia ngumu sana sahv nafikiri atabadilika tuuKuna jamaa yangu alikuwa nazo, zimemuishia hana dili saivi anafanya vibarua kwenye viwanda vya mpunga. Wakati ana mpumba sikuwahi kusikia simu zake ila kwa sasa ananipigia kila siku mara tatu, asubuhi, mchana na jioni. Anaona kwangu anaweza kupata hata buku tano akale na familia yake. Kuna watu wakiwa na hela huwa na kibri sana kiasi cha kudharau watu waliowazidi kipato
Huu Uzi mzuri sana,maisha yaliwahi nigeuka kwa miaka kumi.marafiki hadi baadhi ya ndugu walinigeuka,sa hivi wamebaki na aibu TU.