Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ujumbe murua
Nilikuwa nimeoa,nashukuru ndio kipindi wife aliongeza upendo zaidiVipi wife au ulikua hujaoa?
Asante mkuu, iliniuma hadi ndugu wa karibu kabisa ambao wengine niliwasomesha,wengine wanapishana home au nawahudumia hukohuko waliko,wengine nawapa mitaji wanaua nawapa tena.Hongera mkuu kama uliweza kuvuka hapo
Tujifunze kujitegemea wenyeweInaumiza zaidi pale ambapo ndugu zako ndo wanakukwepa na sio ndugu tu ni ndugu wa damu ndani ya ukoo ambapo wewe unahisi upo salama kumbe wewe unakuwa kituko na msumbufu kwao ukipatwa na magumu, kingine tusijiendekeze kutegemea watu Sana maana huo mfumo wa ujamaa wanaupinga watu wengi kwa hiyo tujipambanie tu
Mimi Hadi nilowasomesha,mmoja huyo alipata 10m,kanipigia simu kaka tukutane ubungo nikusalimie(katokea mikoani).nikamwambia hapa mfukoni Nina 2000 TU na shemeji Yako mjamzito.Akanijibu tumia hiyo hiyo nitakurejeshea.Inaumiza zaidi pale ambapo ndugu zako ndo wanakukwepa na sio ndugu tu ni ndugu wa damu ndani ya ukoo ambapo wewe unahisi upo salama kumbe wewe unakuwa kituko na msumbufu kwao ukipatwa na magumu, kingine tusijiendekeze kutegemea watu Sana maana huo mfumo wa ujamaa wanaupinga watu wengi kwa hiyo tujipambanie tu
Nashukuru mkuu,ila Kuna wakati wanaume tunapitia magumu sana.Hongera sana mkuu ulipata mwanamke bora
Sipungukiwi na chochote kama hajanigusa. Lakini kama amenigusa lazima nilipe nishinde au tutoke sare.Mkuu kwani ukiamua kujiepusha na mbaya wako utapungukiwa nini
Mkumbatie nyuki. Siyo mzimga.Mkuu mbona mimi huwa nakumbatiaga mizinga kama hobby lakini hata siku moja
Naunga mkono hoja yako 😎.Bora nyuki unaweza pona. Secretarybird anakumeza mzima mzima!