Hii ndo inakamilisha ule msemo wa mbaya ni mbaya tuu hakunaga mbaya nzuriKuto kulipa kisasi ni jambo la kufikirika tu,ila kiuhalisia haliwezekani.
Huwezi kumfurahia aliye kuwa anakupiga vita usifanikiwe kimaisha,ikitokea ni kinafiki tu,tena nina kuwa namlia timing,akijaa tu iliyokuwa nia yake mbaya kwangu na mpatilizia yeye au uzao wake.
Ujamaa ulikuwa mzuri sana, lakini walimwengu wameukataa.Uzi ufungwe hakuna ujamaa tena siku hizi utatafutwa tu ili utatue changamoto fulani
Lakini ndio uhalisia siku hizi ata useme umpigie mtu kumsalimia atakujibu niko bize na kazi baadae
πππππ watu wanakwepa matatizo kwa nguvu zoteUzi ufungwe hakuna ujamaa tena siku hizi utatafutwa tu ili utatue changamoto fulani
Lakini ndio uhalisia siku hizi ata useme umpigie mtu kumsalimia atakujibu niko bize na kazi baadae
Kwa kifupi: Kadiri unavyofanikiwa, ndivyo watu wa aina tofauti tofauti wanavyozidi kujisogeza/ kukuzunguka.Ni kweli inahitaji busara kuwezs kujua kila aina ya watu wanaokuzunguka
Sahihi sanaKwa kifupi: Kadiri unavyofanikiwa, ndivyo watu wa aina tofauti tofauti wanavyozidi kujisogeza/ kukuzunguka.
Busara ndiyo inayokusaidia kujua nani wa kumwamini, nani wa kumweka mbali, na nani wa kushughulika naye kwa tahadhari..
Akiweka ugoko wewe weka chumaKwamba action kwa action akitoa mguu we unaweka πππ
Mkuu Vishu Mtata mimi hii nimeandika tuu lakini haihusiani kabisa na maisha nnayoishiNa wewe usipende kuombaomba, huwa inakera kua ombaomba.
Mkitoboa ndo kama hivi mnakuja kutusema, sometimes tujifunze kujipigania ili usione watu wabaya.
Unaehisi anacho kumbe nae hana, na kuna wale hawawezi kukwambia hana ila ananyausha tu.
Bora nyuki unaweza pona. Secretarybird anakumeza mzima mzima!Uzi wako ni mzuri sana, lakini hapo uliposema usilipe kisasi...
Nyuki usimkumbatie maana atakudinya kwa kale kamwiba kake.
Basi ni ujumbe kwa wale ombaomba wanaodhani kisa una kazi au biashara basi una funguo za benki kuu.Mkuu Vishu Mtata mimi hii nimeandika tuu lakini haihusiani kabisa na maisha nnayoishi
Tunamsemo wetu siku atiπππππ watu wanakwepa matatizo kwa nguvu zote