Kumbe nimechekesha😀
Imenibidi nicheke maana sioni kama nasumbuliwa na upweke wa kukosa mwanamke. Zamani sana nilikuwa na nawaza kwamba furaha inaweza pia kuletwa na ndoa au mahusiano mazuri. Si hivyo kwa aslimia Mia moja. Nimekuwa na nimeona watu wengi walivyoteswa na mahusiano. Wengine watu wa kariba kabisa wakiwa na maisha mazuri ila kwa sasa ni kama hawakuwahi kabisa kufanikiwa. Wana maisha magumu kabisa na wenza wao wakawaacha. Sina hilo wazo kwa sasa na halinipi shida. Nashukuru.Kumbe nimechekesha😀
You kill everything kinachoweza kupumuaLife is purposeless which makes it even much boring.
Pesa itakupa furaha ya muda mfupi tu kwa sababu utaweza kukidhi mahitaji ya hapa na pale, lakini hiyo sio furaha ya kweli.
Hata uwe na magari na majumba huwezi kupata furaha ya kweli, utakuwa unajifariji tu huku ukiyaangalia matofali na kuta za nyumba na kujipiga kifua kuwa wewe ni mwamba lakini hakuna lolote.
Ukipata pesa hakikisha unakula kuku, kitimoto za kutosha kisha gida bia mbili za nguvu.
Maisha bila BIA yana faida gani?
Kula BIA.
Cc: mshamba_mwingine Poor Brain
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Basi tuambie shida nini😀Imenibidi nicheke maana sioni kama nasumbuliwa na upweke wa kukosa mwanamke. Zamani sana nilikuwa na nawaza kwamba furaha inaweza pia kuletwa na ndoa au mahusiano mazuri. Si hivyo kwa aslimia Mia moja. Nimekuwa na nimeona watu wengi walivyoteswa na mahusiano. Wengine watu wa kariba kabisa wakiwa na maisha mazuri ila kwa sasa ni kama hawakuwahi kabisa kufanikiwa. Wana maisha magumu kabisa na wenza wao wakawaacha. Sina hilo wazo kwa sasa na halinipi shida. Nashukuru.
Nakubaliana na wewe mkuu , Watu wanashindwa kujua Mafanikio ya kimahusiano pamoja na kuridhika ndio chanzo kikuu cha furaha.Purposeful life naona wengi mmeoongelea lakini purpose hutengeneza expectations na struggles zisizokwisha.
Kwa upande wangu naona watu ambao hawana purpose wala expectations kubwa katika maisha huku wakiwa hawa_fake maisha ili kulinda hadhi fulani. Watu kama hawa wakipata chakula, nyumba na watoto kwenda shule. Wanaridhika na kufurahia maisha
Sisi tunaotaka MORE kwenye maisha ndio huwa wapweke kwa kuendeshwa na kupata na kukosa
Nakubali kwa kiasi.Purposeful life naona wengi mmeoongelea lakini purpose hutengeneza expectations na struggles zisizokwisha.
Kwa upande wangu naona watu ambao hawana purpose wala expectations kubwa katika maisha huku wakiwa hawa_fake maisha ili kulinda hadhi fulani. Watu kama hawa wakipata chakula, nyumba na watoto kwenda shule. Wanaridhika na kufurahia maisha
Sisi tunaotaka MORE kwenye maisha ndio huwa wapweke kwa kuendeshwa na kupata na kukosa
Furaha yangu naipata kwa watoto wangu. Muda wangu wote wa ziada natumia na watoto wangu for real wanqnipq pumziko bahati nzuri age na watoto wangu ni wadogo.Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
😂Basi tuambie shida nini😀
Furaha ni wewe mwenyewe, furaha unaitengeneza mwenyewe, hailetwi na mke wala mme wala rafiki.
Jitengenezee furaha yako, furaha yako unaitengenezaje?? Kuwa na pesa? Basi zitafute sana....furaha yako ni kuzagamua?? Nenda kafanye. Furaha yako ni nini??
Aisee! Mdio maana natamani nijitafute nipate furaha mimi kwanza.Furaha yako ni wewe mwenyewe.
Huna furaha wakati uko single, je ukioa itakuwaje? Labda upate mke mwema.
Kabisa na hapo bado hujaangalia classmate wana ndinga kali, flights za kugusa na majumba. Unaanza kuchanganyikiwa kwa kujiona failureNakubali kwa kiasi.
Ukienda kijijini, mtu analima chakula ana watoto, nyumba, Azam tv ana furaha na amani kushinda sisi. Watoto wanamzunguka, mkewe yupo home muda wote wanaongea kilugha na kuangalia sinema zetu. Mara kaenda ktk kikundi, kanisani, shamba wiki imeisha. Hata JF au twita haijui. Ana furaha na amani. Sasa tazama sisi wenye dreams kila siku unaona ulichelewa kusoma. Elimu haijakulipa. Ccm mizinguo. Mbowe dikteta. Mshahara mdogo, mke anakiburi, mume anazingua, marafiki wanafiki, ndugu wanafiki yaani kila kitu ni stress. Hauwezi kuwa na furaha.