Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

Its good that some senses are now getting into many "proletariat" class nicknamed as wanyonge. May be by October THE CORRECT decision will be made!
 
Mkuu si kila mwenye dhiki kajitakia. Mazingira ni moja ya sababu zinazoweza mfanya mtu kuwa alivyo. Jiulize aliyeharibiwa nyumba yake na mafuriko (Lindi) au tetemeko (Kagera). Kivipi huyo ni mzembe?
 
Naam,ni jambo jema sasa wote tunazungumza kauli moja. Hii Serikali ya MKONO WA CHUMA ikiachwa iendelee kutawala itavuruga uchumi wetu zaidi ya hali ilivyo kwa sasa.
Msipochukua hatua yeyote ile, Bashite ataendelea kuwatambia namna ANAVYOKULA RAHA kuliko mtu yeyote hapa nchini
 
Mzee unajua picha moja inauzwa Sh ngapi ShutterStock?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka wa nne sasa niko kitaa tu, jua langu mvua yangu

NB: nimekaa darasani miaka 16 haha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa uko mkoa gani..

Sent using mijikamimi
 
Watu hawana hela hizo nyanya utamuuzia nani? Hela haipo kwenye mzunguko mimi nafanya biashara ya samaki sokoni pagumu raia hawana kitu utamuizia nani? kama watu wa pharmacy wanalalamika hakuna wateja that's means watanzania wanaugua lkn wanajikaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimeacha kwenda kanisani na nimewapa tangazo wasiniletee na hayo mabahasha yao.
WAKITAKA KUNUNUA GARI LA KANISA WANAOMBA MICHANGO/HELA KUTOKA KWA WAUMINI ILA MUUMINI AKITAKA GARI WANASEMA WATAMUOMBEA MWAKA HUU USIISHE BILA KUMILIKI GARI.SISI TUNAPELEKA HELA WAO WANATUPA MAOMBI ETI
Hawamu hii imetupunguzia upendo na huruma myoyoni mwetu mpaka sadaka hatutoi skuiz kma zaman

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We upo Tanzania hii au? Maana hata mtoto asiyetafuta hela anaelewa utofauti, kama unafanya biashara yoyote lazima unaona utofauti mkubwa na hata kwenye makampuni binafsi mengi yamepunguza wafanyakazi, nadhani kilimo huijui vizuri na kama unaijua basi kwa namna ambayo sio ya kitanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] usinichekeshe itakuwa mwarobaini unafanya kazi haswaa, yaani hali ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua kuna watu ni wapuuzi sana wanaona kma wanao complain ni wazembe hawajitumi , mimi sijawah kua fisadi nafanya biashara zangu lkn ukwel ni kwamba hali ni tight sana mtaani watu wana vuja jasho lkn tuna ambulia kukopeshana na awamu hii imezalisha ttzo la watu kutokua waaminifu .
[emoji23][emoji23] usinichekeshe itakuwa mwarobaini unafanya kazi haswaa, yaani hali ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…