Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

hahahaaa...aisee mwenyezi mungu aingilie katituuu maana sio kwa adhabu hizi
 
" NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO "
 
Wanaomshauri Magufuli wajitafakali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kuna projects nyingi sana zimesimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msemo wa "vyuma vimekaza" imeanzia awamu hii.
Mungu anaona.
 
Usitumie nguvu kumuelewesha mtu mwenye tatizo la ubongo is a yupo hapa hospital ya wagonjwa wa akili Dodoma tunamuuguza. Ni ndg yetu msameheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana narudi hom nikapitia Kkoo, mtaa wa Congo na nin sijui ule kutokea Gerezani. Nikaona kuna fremu inafanyiwa Marekebisho iko tupu!

Maana yake nini, hapo ni mtu biz kaona haitembei kaamua kusepa kufanya mambo mengine. Pia kuna nyumba inauzwa Oysterbay iko karibu kabisa na ofisi za ubalozi wa Zambia, tangu mwezi wa Tisa mwaka jana mpaka leo naliona bango tu panauzwa
 
Maisha ni magumu kinyoko yaani kila nikipiga mishe zinagoma kibaya Zaidi na serikali kupitia NSSF wamenidhulumu pesa zangu
 
Ni kweli kabisa. Serikali ilikuwa inaibiwa mnooo!!! Manunuzi hewa particularly stationery, mambo ya constructions especially barabara (fake BoQs), safari hewa za kikazi, seminars za hovyohovyo zisizo na faida yoyote Bali kupiga pesa, mishahara hewa n.k. Sasa vitu hivi kudhibitiwa ndio unamlaumu MTU kweli? Please revisit your upstears
 
Ni. Kweli kabisa. Kijana anakuwa confirmed kazini jambo LA kwanza akilini ni kukopa gari LA kutembelea!!. Brother huo mshahara utatoshakweli?!!
 
Ufisadi ulikuwa katika nyaja zote. Mfano, Muuza hotel anapewa tender ya kusuply vyakula vya vikao vya serikali vya kulipana posho, obvious kuna overpricing, Mshona nguo anapewa tender ya kusuply sare za wafanyakazi, obvious kuna overpricing etc etc. Mambo yote hayo sasa yamedhibitiwa, mambo yanafanywa kwa uwazi through many channels
 
Chato tu ndo maisha mazuri kwengineko ni vilio na kusaga meno
 
We ng'ombe hapo ufisadi uko wapi sasa
 
Maisha ni yakawaida futa mawazo ya kisiasa kichwani kwako weka mawazo ya kupambana na kutokata tamaa.usipo kua makini unaweza jikuta wewe ndo mgumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SERIOUSLY SAID?
Yeah, Tz watu wa hali ya chini ni wengi so wakiona umefanikiwa hasa hasa kama una kana nafasi serikalini basi wanakuona fisadi na ukiongeza awamu hii wengi wameshuka jumlisha vyeti feki wanaona raisi kafanya powa kwa sababu wamelingana sasa so lazima wamchague tena , ukiongezea point ya elimu bure bila kuangalia faida na hasara zake wao wanachojua hawalipi 20000 ya ada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…