ni kioo cha jamii, mafanikio yake tutayatumia kama hamasa na kuanguka kwake pia kutatumika kama darasa! hivyo thread haijaja kama kumdhihaki, hapana!Kwahiyo mnamtangaza mwenzenu kuwa kachoka ?
Kwani kuna watu wa ngapi ambao wamechoka mithili ya Ali Choki & Co?
Kikubwa pumzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kachoka kitambo hata kipindi bendi zinawika kiasi chake maana 2007/2008 nishakutana nae kibanda umiza Komakoma tumekalia wote mabenchi tunaangalia kabumbu nikasema duh si Muumini huyu huwa namuona kwenye chideo akiwa kwenye majumba makali makali..Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
Huu ndio ukweli,mwenzao Bella anaendelea na maisha yake maana kila sehemu anafit.Mapedeshee wengi waliokuwa wanaziwezisha hizi bendi wamepigwa pini na huu utawala wa jpm.unaweza kuhusisha na kufulia kwa wanamziki hawa
Sent from my iPhone using JamiiForums
🤣🤣🤣🤣🤣Mwijuma Muumini anapatikana kwenye Mghahawa Bubu pale Mtoni Mtongani,anamsaidia Mmama kuuza chakula,ujira wake ukiwa ni kupewa msosi wa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badi Bakulee....jogoo la mjiniKhadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.
Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
JIRANIyupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
''Chuki binafsi haifai eeh...tuiacheni jamanii italeta tafarani''Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.
Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
Ndumba zimegoma
Daaah inasikitisha sana.Mwijuma Muumini anapatikana kwenye Mghahawa Bubu pale Mtoni Mtongani,anamsaidia Mmama kuuza chakula,ujira wake ukiwa ni kupewa msosi wa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile kama hakufanya la maana,nitamshangaa,kipindi ambacho kiukweli muziki ulikuwa juu na walipata visenti kiasi.
Mfano mzuri ni kama Cosmas Thobias Chidumule amewekeza, matatizo ya pesa ya kula hana
Huyu huyu ambae wakati alivyokuwa Mdogo hakujua maana ya mapenzi?Mwijuma Muumini anapatikana kwenye Mghahawa Bubu pale Mtoni Mtongani,anamsaidia Mmama kuuza chakula,ujira wake ukiwa ni kupewa msosi wa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mzuri ni kama Cosmas Thobias Chidumule amewekeza, matatizo ya pesa ya kula hana
Leo nimebet nikishinda nitakushitua kesho asubuh broIna maana choki hawezi hata kujaribu bahati yake kwenye kubet
Asha Baraka ndio alikuwa anapiga pesa, wao walifaidi mademu na bia.
Huyu huyu ambae wakati alivyokuwa Mdogo hakujua maana ya mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app