Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Kwahiyo mnamtangaza mwenzenu kuwa kachoka ?

Kwani kuna watu wa ngapi ambao wamechoka mithili ya Ali Choki & Co?

Kikubwa pumzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kioo cha jamii, mafanikio yake tutayatumia kama hamasa na kuanguka kwake pia kutatumika kama darasa! hivyo thread haijaja kama kumdhihaki, hapana!
 
Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
Huyo kachoka kitambo hata kipindi bendi zinawika kiasi chake maana 2007/2008 nishakutana nae kibanda umiza Komakoma tumekalia wote mabenchi tunaangalia kabumbu nikasema duh si Muumini huyu huwa namuona kwenye chideo akiwa kwenye majumba makali makali..
 
Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.

Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
Badi Bakulee....jogoo la mjini

Khadija kimobitel

Luiza Mbutu

Waziri Sonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
JIRANI

Jiranii...jirani eeh, kiila unachokitaka jiranie Mimi ninakupatia, lakini kila nikuombacho jirani eeh ...wewe wanikatalia...

''sasa nikueleweje jiranieee....sasa nikueleweje ndugue''

Daah.... mwaka 2000 - 2001.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.

Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
''Chuki binafsi haifai eeh...tuiacheni jamanii italeta tafarani''

Baba, mama nawaelezaee......tuiacheni jamanii italeta tafarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa zamani hasa muziki wa dansi zama hizi hawana chao, wakati umewatupa mkono na wengi wamefulia.

"Wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo na wagumu walishahusudu, kwa ajili ya malumbano mwishoni ikafa kibudu* Shabiki piga simu changia mawazo yako, ni nani tutamlaumu kama rap itasizi kwa kuendekeza upuuzi* Nani tumchune ngozi, producer alorikodi, ama labda dj anopiga kwenye kipindi*"
By Afande Sele - Mtazamo.

Wakati ukuta, hata bibi alikuwa binti.

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Mfano mzuri ni kama Cosmas Thobias Chidumule amewekeza, matatizo ya pesa ya kula hana

Chidumule kawekeza wapi? Baada ya kuokoka naona mambo za dunia aliacha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom