Ha hahaha hizo sio namba zangu , Mimi nimetumiwa sms zenye namba , nime screenshot , nikaleta huku jukwaaani tucheke , tufundishane maisha ...those are not my numbers bro .Lexus SUV nakupigia hupokei mkuu😅😅View attachment 3338522
Sanaaa aseee nime screenshot TU hiyo sms niliyotumiwa ila sio namba zangu....just za matapeliTCRA wanakazi kubwa sana ya kufanya.
Hao wahuni wamegundua TCRA wanafanya word censoring, kwahiyo wanaongezea vialama ili iwe ngumu kuwa censored. Nadhani njia bora ni kuwakamata hawa jamaa.
ni wewe mkuu😅😅Ha hahaha hizo sio namba zangu , Mimi nimetumiwa sms zenye namba , nime screenshot , nikaleta huku jukwaaani tucheke , tufundishane maisha ...those are not my numbers bro .
Ni kweli kabisa mkuuTCRA wanakazi kubwa sana ya kufanya.
Hao wahuni wamegundua TCRA wanafanya word censoring, kwahiyo wanaongezea vialama ili iwe ngumu kuwa censored. Nadhani njia bora ni kuwakamata hawa jamaa.
Ndio mkuu, Wameweka kwenye namba hapo. Unajua wasomi ni wengi na ajira hakuna. Kwahiyo wanaofanya hivi niwajuvi wa teknolojia. Kikubwa tuwe aware na tusifanye maamuzi ya kukurupuka tunapokutana na hizi jumbe.Ni kweli kabisa mkuu
Kuna hii meseji nimeipata muda huu, naona wameweka vialama alama.
Inaonekana ni wabobezi wa teknolojia.
View attachment 3339305
Sahihi kabisa.Ndio mkuu, Wameweka kwenye namba hapo. Unajua wasomi ni wengi na ajira hakuna. Kwahiyo wanaofanya hivi niwajuvi wa teknolojia. Kikubwa tuwe aware na tusifanye maamuzi ya kukurupuka tunapokutana na hizi jumbe.
😀😀😀Freemason kasajiliwa kwa alama za vidole....
No reform no election