Kuna mmoja alijifanya kamtumia mama laki tatu..Kuna wale wa kukupigia yani ukigundua hayo matusi anayokupa.
Ndio maana mimi na watukana kwanza kabla wajanitukana
Wanaweka vi NUKTA vi alama kama mkato Ili isiwe ngumu kutambulika.....Ni kweli kabisa mkuu
Kuna hii meseji nimeipata muda huu, naona wameweka vialama alama.
Inaonekana ni wabobezi wa teknolojia.
View attachment 3339305
AFisa aseeee AJIRA hakuna ndo WATU wamejiajiri huko kutapeli ...MKuu hii channel n ndefu sana sana sana
M nalaini NNE simu mbili
Kila asbh line zote zinatumiwa msg ya freemasson
Leo wamenitest jamaa
WA
Tumetuma laki Tanoo kutoka kwa wakala BARAKA mhando
Hahahaaaaaaaaaaaa nilivhowajibu
(🥴😮💨😄😜😡🤐🔒)
No comment
MKuu hii channel n ndefu sana sana sana
M nalaini NNE simu mbili
Kila asbh line zote zinatumiwa msg ya freemasson
Leo wamenitest jamaa
WA
Tumetuma laki Tanoo kutoka kwa wakala BARAKA mhando
Hahahaaaaaaaaaaaa nilivhowajibu
(🥴😮💨😄😜😡🤐🔒)
No comment
Duh hii inaitwa BOTH TEAMS NOT TO SCORE ASEEEEEEEKuna mmoja alijifanya kamtumia mama laki tatu..
Sasa bi mkubwa kila nikimpanga hao matapeli..
Yeye kakazana dhambi kuzurumu
Mara anasema huyu mtu anamgonjwa
Yaani mara mara kibao..
Ile siku maza alinikera sana aiseee nikasema ukituma hiyo pesa usije nitafuta ukasema unataka pesa nikaweka amkwara mzito ndo akapoa...
Kuna shekhe mmoja alipigwa hapa kwa wakala ahahahaha weee ilikua hatar shekhe alikua analia aamini..
Wakala nae analia maana anaona kabisa ule mzigo alio tuma shekhe awezi kulipa.
Hata angempeleka polis hamna kitu angepata..
Wote wakawa wanalia huku wanalaumiana 😂😂😂😂
Kumbee!Wanaweka vi NUKTA vi alama kama mkato Ili isiwe ngumu kutambulika.....
Shid@ SANAAA mkuuu mbaya unaweza Kuta anawateka kukuibia n NDUGU zakoo wakaribu kabisa wamejuaje namba zako zote tatuAFisa aseeee AJIRA hakuna ndo WATU wamejiajiri huko kutapeli ...