Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

Kuna wale wa kukupigia yani ukigundua hayo matusi anayokupa.
Ndio maana mimi na watukana kwanza kabla wajanitukana
 
Kuna wale wa kukupigia yani ukigundua hayo matusi anayokupa.
Ndio maana mimi na watukana kwanza kabla wajanitukana
Kuna mmoja alijifanya kamtumia mama laki tatu..

Sasa bi mkubwa kila nikimpanga hao matapeli..
Yeye kakazana dhambi kuzurumu
Mara anasema huyu mtu anamgonjwa
Yaani mara mara kibao..

Ile siku maza alinikera sana aiseee nikasema ukituma hiyo pesa usije nitafuta ukasema unataka pesa nikaweka amkwara mzito ndo akapoa...

Kuna shekhe mmoja alipigwa hapa kwa wakala ahahahaha weee ilikua hatar shekhe alikua analia aamini..

Wakala nae analia maana anaona kabisa ule mzigo alio tuma shekhe awezi kulipa.
Hata angempeleka polis hamna kitu angepata..

Wote wakawa wanalia huku wanalaumiana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
AFisa aseeee AJIRA hakuna ndo WATU wamejiajiri huko kutapeli ...
 

Duh hii inaitwa BOTH TEAMS NOT TO SCORE ASEEEEEEE
 
AFisa aseeee AJIRA hakuna ndo WATU wamejiajiri huko kutapeli ...
Shid@ SANAAA mkuuu mbaya unaweza Kuta anawateka kukuibia n NDUGU zakoo wakaribu kabisa wamejuaje namba zako zote tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ