Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Asante sana mkuu ......

Nimekupata kwa uzuri sana!

Huna mpango wwt wewe!
Kujifanya una akili nyingi kumbe huna llt!
Msiwe mnavamia mada bila kujiandaa!
We unadhani hapa kanisani Utaropoka tu bila Kupata Challenge?

Ovyo sana nyie watu.
Kondoo wahed!
 
Huna mpango wwt wewe!
Kujifanya una akili nyingi kumbe huna llt!
Msiwe mnavamia mada bila kujiandaa!
We unadhani hapa kanisani Utaropoka tu bila Kupata Challenge?

Ovyo sana nyie watu.
Kondoo wahed!
Mkuu nimekukosea nini sasa?

Au mimi kusema nimekuelewa ni kosa?
 
Safi sana na swali zuri sana, unajua kwanini nikasema Injili ya Yesu utaipata kwenye Qur'an sababu Qur'an imeongelea kwa ujumla siri yake Yesu kikamilifu na ndio alivyo kuja funza yeye. Yesu anasema yeye hajawahi kusema yeye ni Mungu, Yesu anasema yeye ni binadamu, Yesu anasema yeye na mama yake hawajawahi kuwambia BINADAMU YOYOTE wawafanye wao ni miungu pamoja na Mungu. Kumbuka Qur'an inaelezea kikamilifu story ya mama yake Yesu na Yesu mwenyewe sio hivyo tu imeongelea story ya Yesu kuliko ya Mtume Muhammad mwenyewe. Qur'an ina Sura Al Mariyam, kuna Surat Al Amran hizo Aya zinaongelea tokea Yesu kazaliwaa mpaka siku aliyepaishw ana Mungu, zinaongelea family yote ya Yesu pamoja na Nabii Yahya, na Nabii Zakaria. Na ni ukweli mtupu. Ndio nikakuambia ukitaka ujuwe ukweli wa Injili, fata Qur'an sio vitabu vya kina Paulo. Lazima uwelewe wazi kwenye akili yako Injili imefichwa kwa makusudi. Sababu Yesu Alisha sema atakuja mtume anaitwa Ahmed, ambaye ni Muhammad.









































































 
Tazama hapo chini kwemye post yangu nilipo bold,post yako haijajibu hayo ......
 
Tazama hapo chini kwemye post yangu nilipo bold,post yako haijajibu hayo ......
Kwanza umewahi ku Quote kuna mambo nilikuwa nataka kuyaweka nika paste vibaya, pia kuna sehemu niliandika mpa Yesu ana kufa sio vile, nimekusudia siku kapaishwa na Mungu, nadhani umenielewa. Napo sema Injili ipo ndani ya Qur'an, ni maneno alio ongea Yesu tu ya ukweli sio yale ya uwongo walio sema kina Paulo eti Yesu ni Mungu. Ndio kisa chake kiko kwenye Qur'an sa wapi nimekosea. na aliyo wafundisha wana wa Israel, yeye na Mussa na Ibrahim sa wapi kuna kosa. Alio fundisha Yesu pia yamo kwenye Qur'an au uwongo, sa kosa liko wapi. Injili ya Yesu haionekani, sababu Yesu alisema atakuja mtume baada yake anaitwa Ahmed, ambaye ni Muhammad.
 

Uislamu ni mfumo wa maisha, mnyavyodai nyie... kwa maana hiyo hata Paulo alikuwa ni Muislamu au!?
 
Uislamu ni mfumo wa maisha, mnyavyodai nyie... kwa maana hiyo hata Paulo alikuwa ni Muislamu au!?

We leo utaelewa tu japo unajifanya hamnazo!

Swali sio TUNAVYODAI SISI!

Swali ni NINI MAANA YA UISLAMU kwa tafsiri yake ya ASILI?

Usiniletee madai ya watu wakati TAFSIRI halisi ya NENO UISLAMU ipo!

Km hujui SEMA mimi Mkuu wa chuo cha KATILIKI SIJUI? hilo ni jina tu la Kujipa vyeo ambavyo sina!

Andika hivyo NIKUSAIDIE.
Manake kwa tafsiri yako hapo juu SIO PAULO TU! una maana KILA MTU NI MUISLAMU na Nijuavyo mimi PAULO alikuwa Kafiri 100%.

Nasubiri JIBU!
 
Last edited by a moderator:
Au unamaanisha tafsiri ya Amani, kama ni wahyi, Huyo mnayemwita Mtume Adam alitumwa kwa watu gani!?
 
Who told you that Christians are not baptized in the Holy Spirit?

Now answer my question:
If John the Baptist was a Muslims:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?

I need constructive answer and not muhammadic whining.
 

Ngoja n irudie inawezekana ukanielewa ....

Kwamujibu wa imani ya Kiislam mnaamini vitabu vinne

Quran ambayo amepewa Mtume Mohammad
Injil aliyopewa Isa
Zaburi aliyopewa Daudi
Taurat aliyopewa Musa

Kwa lugha nyepesi hivyo ni vitabu vinne ambavyo nyie mnaviamini na hakuna uhusiano kati ya kimoja na kingine yaani vipo separate ....

Sasa hapa wewe unaniambia kuwa nisome Quran nione injili ya Isa,hili linawezekanaje?
Iweje Injili iwe ndani ya Quran?

Kama injili imo ndani ya Qunan halafu hapo hapo Quran ni kitabu alichopewa mtume Mohammad,kivipi sasa?
Mtume alipewa kitabu kipi kama humo humo kwenye kitabu chake kuna kitabu cha mwingine?

Humo kwenye Quran kuna na habari za Musa na Daudi,kwanini?
Inakuwaje sasa hii iwe kama ilivyo wakati kitabu cha Quran ni kitabu cha mtu mwingine?

Ndio maana nikakuambia kuwa kama ni hivyo kwanini Quran isiitwe biblia?
 

Show me the Injil of Isa. Sina muda na blah blah zako.

Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Injil kwa Isa, nionyeshe ipo wapi hiyo Injil?
Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Taurat kwa Musa, nionyeshe ipo wapi hiyo Taurat?
Kama kweli Allah ni Mungu na aliteremsha Zabur kwa Daudi, nionyeshe ipo wapi hiyo Zabur?

Kumbuka Quran iliteremshwa kwa Muhammad kama mnavyo dai, hivyo, sitegemei wewe kutumia Quran kujibu maswali yangu, unless Quran sasa Imekuwa ni Mkusanyiko wa VITABU kama BIBLIA.

HAYA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE.

Bado haujajibu swali.
 
Au unamaanisha tafsiri ya Amani, kama ni wahyi, Huyo mnayemwita Mtume Adam alitumwa kwa watu gani!?

Utajichanganya mpaka asubuhi hapa!
Na kila unachokiandika ndipo na thamani yako inapozidi kushuka na kiwango chako cha weledi kinazidi kuonekana udhaifu wake.

Sio NINAMAANISHA bla bla bla!

La hasha! Mkuu wa chuo!!!!!!!

Nilichokuuliza WEWE ni kitu KIDOGO MNO!
Nimekuuliza NINI MAANA YA UISLAMU?

Sasa naona Umeshatoa Maelezo mengi tu yalio nje ya swali. Hebu JIBU SWALI HILI.
Na km HUJUI! basi sema "SIJUI".

Kutokujua SIO DHAMBI wala AIBU!
Bali Kujifanya UNAJUA kumbe HUJUI ndio aibu na Fedheha ambayo ndio inayo kuandama hapa.

Hayo ya ADAM tutayajibu kilaini tu lkn KWANZA nijibu Swali langu la AWALI.

NI NINI MAANA YA UISLAMU kwa TAFSIRI yake ya ASILI?

Sio tafsiri za kanisani au Mitaani Au Kwa mzee juma na bakari na Gwajima!

Nasubiri jibu!
 
Last edited by a moderator:
Bod hujajibu swali. Nionyeshe na au zitaje hizo mila za Ibrahim. USIKIMBIE SWALI BANA.

Hivi kuna ugumu gani wa wewe kutuletea link ili tuzisome hizo sifa za Abraham ambazo mtume wako anadai kuwa anazifuata? I mean how hard is that?
 

Kkkkkkk!
Constractive answer my black foot!

Did you ever ask urself why jesus NEVER EVER Prayed in the CHURCH! nor Build the Church Not even his Disciples?

Jesus says Churches are for for SATANS! JUST like PAUL.
He was a Big Satan who claim his Apostleship himself.

The one who will led lots of you into a hell fire! Alongside your demigods.
 

Unakijua kilimchomleta Yesu duniani mkuu?
 
Sifahamu, tueleze sasa...
 

Hawanaga akili hao, hasa huyo mwenye ID ya Ishmael, ndio booya kabisaaa, nadhani virusi vya Kitimoto vimeua sensi zake.
 
Last edited by a moderator:
Show me the Injil of Isa. Sina muda na blah blah zako.


HAYA MSAIDIE ALLAH WAKO NA MTUME WAKE.

Bado haujajibu swali.

Km yesu wa msalabani ni Mungu vipi alikubali kupigwa mpaka akafa?

Km yesu wa msalabani ni Mungu ilikuwaje akubali KUVULIWA NGUO na kuvishwa nepi na viumbe aliowaumba yeye mwenyewe?

Km yesu wa msalabani ni Mungu ilikuwaje akawa Homeless na Jobless maisha yake Yote? Na chakula chake anafanya Kuomba omba! Kwanini asifanye miujiza tu akawa anakula na kulala vizuri?

Km yesu wa msalabani ni Mungu hivi alikuwa anamuomba Mungu yupi amuepushe na kile kikombe cha msalaba?

Na km yesu wa msalaba ni Mungu yule wa Agano la kale ni nani?
Au ni kaka yake na yesu wa msalabani? Ambae yeye alichulia mashoga lkn alipokuja mdogo wake akasema "RUKSA"!?
 
Punguza kuvuta weed, na jibu maswali kama unao ubavu au muite Allah wako aje hapa kama yupo hai akusaidie kujibu maswali. Pathetic muhammadan.

Now answer my questions:
If John the Baptist was a Muslim:
1. Why are you Muslims not baptized?
2. In whose name was he baptizing?


I need constructive answers and not muhammadic whining.
 
Hawanaga akili hao, hasa huyo mwenye ID ya Ishmael, ndio booya kabisaaa, nadhani virusi vya Kitimoto vimeua sensi zake.
Hii ndio booya weye Kafir wa Mifirist.

Surah Al Kahf 86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…